Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,689
- 3,264
Habari. Kati ya Instagram na facebook ni upi mtandao mzuri wa kuweka matangazo ya kulipia?
Wakili wa shetani hetani duh sijui uliwaza nn kujiita hvoHabari. Kati ya Instagram na facebook ni upi mtandao mzuri wa kuweka matangazo ya kulipia?