Kwanza ifahamike kuwa, shule bure imeongeza ujinga mkubwa miongoni mwa wanafunzi tangu tu huduma hii ilipoanzishwa na serikali
Lengo na maksudi ya Serikali na nia yake, ilikuwa ni njema na nzuri mno, ni kuwasaidia watu wote bila kujali umasikini wao, wasome na wawe na elimu kwa kila mtu
Hata...
Matokeo yapo kama hivi
Civ C
Bio C
Chem B
English B
Phy D
Math D
History B
Kisw B
Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
Kijana kamaliza degree yake akiwa na 23, mindset yake imekuwa tuned kujiona yeye ni special keki kwamba inabidi asubiri kazi za ofisini zenye ulaji mnono, ujinga huu huwa wanajazana sana vyuoni.
kijana anamaliza chuo yupo kitaa anazungusha barua kwa kutafsiri msemo "one day yes" ndivyo sivyo...
Marekani ambayo kabla kupata uhuru mwaka 1776 , ilitawaliwana Uingereza na wakapata Rais wa kwanza George Washington.
Tangu wapate uhuru, haijawahi kutokea Rais yeyote , awe msomi wa chuo, daktari wa hospitali[MD] au wa falsafa phD,au mjuzi wa hesabu [CPA] ambaye amewahi kujinasibu na prefix ya...
Nilipokuwa darasa la Saba mwaka 2011, tulishuhudia mwanafunzi mwenzetu akisitishwa masomo ili arudi nyumbani Skonge kwa ajili ya ndoa. Hii ilikuwa mshangao mkubwa kwetu sote, hasa ikizingatiwa kuwa tulikuwa tunakaribia mitihani ya mwisho ya NECTA na wazazi wake tayari walikuwa wamemlipia ada...
Meneja wa Huduma za Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Andrew Kisaka amesema kauli yake imepotoshwa kuhusu wasomaji wa Magazeti kwenye Redio akisema hakumaanisha usomaji wa mbwembwe bali wasomaji kusoma na kuingia ndani.
Akizungumza leo asubuhi na Kipindi cha Good Morning cha...
Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250
Tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo
Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu degree ya udaktari Kairuki Is it worth it ?
MBUNGE MARTHA, NAJMA NA TWEVE WAIBANA SERIKALI BUNGENI KUTOA ELIMU KWA WATANZANIA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA
"Tuna zaidi ya Watanzania asilimia 16 hawajui kusoma na kuandika. Ni upi mkakati wa Serikali wa kuhakikisha tunatenga bajeti kwenda kuhudumia watanzania ambao wanapata elimu kwenye...
Habari ya muda wanajamvi. Nimejaribu kufuatilia udahili wa vyuo vikuu kwa miaka mitano nikagundua hamasa ya watu kusoma master's degree imepungua sana.
Hata mtaani ni wachache sana utasikia wanasema wanataka kusoma Master, ukilinganisha na miaka 10 iliyopita hasa 2010 hadi 2015 hamasa ilikuwa...
Salam wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba msaada jinsi ya kusoma hizi Mita maana muda mwingine nahisi wananibambika bili.
Matumizi ya kawaida tu ya maji na hapo ni familia ya watu wanne tu lakini jana wamenitumia bili elfu thelathini.
Ningesema pengine labda kwakuwa nilipanda...
Nina ndoto ya kusoma nje ya nchi naombeni ushauri kwa wale mliowahi kunufaika na full funded scholarship.
Mliwezaje na vitu gani nianze kujiandaa navyo ili niweze kupata na mimi nitimize ndoto yangu?🙏🙏
Anachokifanya Sadio Mane kwa mkewe kinaweza kumgharimu sana. Maana dunia hii ni tambara bovu, linaweza kuchanika mahala asipotarajia.
Eti kamruhusu mkewe aende chuo akaendelee na masomo ili hali wamefunga ndoa hivi majuzi tu. Na mke hana mimba wala nini.
.
Vyuoni kuna wakware waliopinda...
Hizi shule(mzumbe,pugu,kisimiri,ilboru,kibaha and the likes) japokua siku izi nyingi zimepoteza sifa zake aisee kama una moyo mwepesi usiende huko unaweza kupata depression au pressure ukashindwa kusoma
Miaka Hio mwisho wa miaka ya 2000 niliripoti Moja ya shule tajwa hapo combination ya pcm...
Huwezi msikia padre au Askofu wa Katoliki anasema eti yeye hajazaliwa kupingana na Serikali. Maana yake hata serikali ikisema bomoeni makanisa yeye atasapoti tu mana hajazaliwa kupingana na serikali. Ndo mana watu wenye akili kama akina protease lugambwa tangu awe cardinal hajawahi kusema...
Kwenye hizi novel nilisoma, niligundua kuwa mwanaume asipokua na pesa hujifanya ana mapenzi ya dhati mno
Na akishaipata huenda kwa wanawake wa type yake.
Kwakuyagundua haya.
Nawaambia wanawake wenzangu acha kuanza 0 (zero) na mwanaume.
Kwasababu akipata atakukimbia tu.
Happy new year.
Kwenye hizi novel nilisoma,niligundua kuwa mwanaume asipokua na pesa hujifanya Ana mapenzi ya dhati mno
Na akishaipata huenda kwa wanawake wa type yake,!
Kwakuyagundua haya,
Nawaambia wanawake wenzangu acha kuanza 0 (zero) na mwanaume........
Kwasababu akipata atakukimbia tuuuuu
Happy new year
Hali halisi ndivyo ilivyo, wala sijui ni nini kinachoendelea huko ulaya na Marekani lakini watanzania wengi wanakwepana, hata kama wanaishi mji moja ni nadra sana ku mingle, kutembeleana, kujuliana hali na kutengeneza long term relationships, kuwa pamoja labda itokee mtz kafariki ndio watachanga...
Moja ya kitu ambacho hupaswi kukiruhusu ni siku yako kupita bila kusoma biblia yako na kutafakari.
Tumekuandalia kundi zuri la wasap la kusoma biblia kila siku na kutafakari, sio hivyo tu, unapata ufafanuzi au uchambuzi wa sura moja ya biblia kila siku.
Hii inakusaidia kuelewa kwa usahihi kile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.