kusoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kesho Agosti 9, 2024 anaenda Urusi kusoma, nimegundua kumbe nampenda

    Aiseee nilikua namsumbua na kumchukulia poa, lakini siku yakesho anaondoka kwenda Urusi kusoma, nimeanza hisi simanzi na upweke moyoni mwangu. Nimegundua kumbe huyu binti nampenda, inaniuma natamani asiondoke lakini ndio haiwezekani.
  2. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Msaada nnataka kusoma online university vya nje nahitaji kujua jinsi ya kutambua vyuo vinavyotambulika

    Habari zenu wataalamu wa IT shida yangu km nilivyoandika hapo kwenye heading msaada please sihitaji cheti Mimi nnataka ujuzi wa IT ethical hacker nna diploma ya ict
  3. Pule

    JamiiForums Tanzania Ongeza maarifa Kwa kusoma vitabu

    Ukipata muda ni vyema kuongeza maarifa Kwa kusoma vitabu mbalimbali, ni muhimu vitabu vinaficha mengi mno hicho nimeweka hapo ni KIZURI sna na kitakusaidia sana kimeandikwa na Joel Arthur huyu mwandishi anajua kuandika na napenda sana kusoma vitabu vyake. Hebu na wewe jifunze hapo;
  4. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Kusoma nyakati kwa kutumia kivuli cha jua (Sundials)

    Habari zenu wadau, ni Bob tena katika moja na mbili..... Zamani wakati bado hakuna vifaa kama saa kwaajili ya kutazama muda, watu walikuwa wakitumia mbinu hii kujua wakati.( Sundials) Walichora duara chini na kuandika namba tofauti za muda, kisha kuweka kijiti katikati.... Kadri jua...
  5. B

    JamiiForums Tanzania KERO;PESA kuchelewa kusoma UTT AMIS

    Habarini wakuu,husika na mada tajwa hapo juu.Kama kuna viongozi humu wa UTT amis,tunaomba muangalie namna ambavyo salio linaweza soma haraka kwenye akaunti baada ya kuwekeza at least iwe within 24hrs kuliko hii ya kukaa muda mrefu kwani inazua taharuki kwa wawekezaji wengi.Lakini pia itawasaidia...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa kusoma Bachelor of science in Account and Finance ukiwa na Diploma ya HRM?

    Naomba kufahamu hivi ukiwa na diploma ya human resource management kuna uwezekano wa kuapply bachelor of science in accounting and finance
  7. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  8. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi wanaenda Uganda (Makerere University) Kusoma?

    Leo Mr. Chromium nina Swali kwa Watanzania. Naandika sana maswala ya Geopolitics leo tuongelee maswala ya kijamii. Kwanini Watz wengi wanaenda kujiendeleza Uganda hasa Makelele University? Je, vyuo vya Tanzania elimu mbovu au Gharama au Vina masharti magumu? Nasoma majibu
  9. complex31

    JamiiForums Tanzania Mfumo maalamu wa kusoma Saa Tanzania

    Habarini wadau, Kwa wahusika ningependa ielekeze tangazo maalum la usomaji wa saa kwa wananchi wa Tamzania, Mpaka sasa tuna mifumo mitatu ya uandikaji wa muda kuna : 1. 24hrs 2. 12hrs 3. Asubuhi/ Usiku ratiba za treni za SGR zimeandikwa kwa kufata muda wa asubuhi/ usiku Mfano 2:30 usiku hapa...
  10. thephilanthropist

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kumshauri mdogo wangu Course ya Kusoma

    Kapata matokeo mazuri sana, kwa hiyo Competition sizani kama itakua ni tatizo sana, kubwa anataka kujua course mzuri ya Kusoma. Matokeo. Chemistry A, Physics A , Adv Mathematics A .
  11. M

    JamiiForums Tanzania Chuo sahihi cha kusoma BSc in Civil Engineering

    Mwanafunzi amefaulu kidato cha sita PCM kwa kupata D-Physics, C-Chemistry, C-Mathematics sasa anaomba ushauri wa chuo sahihi kizuri cha kusoma BSc in Civil Engineering kati ya hivi vifuatavyo; Ardhi(ARU), MUST na DIT.
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma mchepuo wa HGL anaweza kusoma Bachelor of Commerce in Human Resource Management UDSM?

    Wakuu, Najua kuna watu wamewahi kusoma Bachelor of Commerce in Human Resource Management UDSM. Hivi mtu aliyesoma mchepuo wa HGL anaweza kusoma hiyo kozi UDSM.
  13. walikuyu

    JamiiForums Tanzania Anataka kusoma certificate ya tourism lakini ana D nne

    Wakuu kwema! Jamani nina mdogo wangu anataka kusoma ngazi ya cheti, sasa naomba mwenye kujua kwa mkoa wa arusha chuo gani pale anaweza akapata nafasi kulingana na ufaulu wake kama nilivyosema hapo juu. Naomba msaada wakuu kama kuna mdau anajua chochote basi anisaidie hapo mawazo. Nawasilisha.
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Mfumo wa kusoma madeni ya parking ulipata hitilafu ukashindwa kutuma ujumbe kwa wenye magari

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna utaratibu mbovu unaendeshwa na watu wanaohusika kukusanya madeni ya maegesho ya magari, mamlaka zimetolea ufafanuzi malalamiko hayo. Mdau huyo alidai wahusika wanatega njiani, wanasimamisha gari na kumfuata Dereva wakiwa wengi katika...
  15. Good doctor

    JamiiForums Tanzania Hivi kozi ya architecture unaweza kusoma kwa comb ya CBG

    Msaada please
  16. Don Philipson

    JamiiForums Tanzania Ukisoma PGM unaweza kusoma cozi ya Bachelor of Science in Metallurgy and Mineral Processing Engineering UDSM?

    Habari wakuu Kuna dogo kamaliza form six mwaka huu alikuwa anasoma PGM Anatamani kusoma Hiyo coz pale UDSM inawezakana?
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA asema "Waandishi wengi wa Habari hawajui kusoma tarakimu"

    Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA, Inj. Andrew Kisaka, amesema asilimia kubwa ya Waandishi wa Habari hawajui kusoma tarakimu hasa wakiandikiwa ili wasome, kwani wamezoea maneno isipokuwa tarakimu za laki kwani ndizo wanacheza nazo kila wakati, hivyo hivyo ameiomba Tume Huru ya Taifa ya...
  18. thadayo jr

    JamiiForums Tanzania Ni lazima mtoto kusoma tution shuleni Kipindi hiki cha likizo?

    Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo. Kwenu wadau, naombeni mwongozo kuwa kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni?
  19. dogman360

    JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba kusoma Vyuo vya Afya kwa mwaka 2024/2025 tukutane hapa .TCU wanafungua mwezi ujao

    Hii ni thread kwa ajili ya kujadili changamoto ,miongozo ya kupata nafasi katika vyuo mbali mbali vya afya Hapa Tanzania.
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini Wazungu wanapenda kusoma vitabu?

    Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika. Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao. Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa sababu wamelelewa hivyo! Walijengewa hiyo tabia tokea wakiwa wadogo sana. 1. Wanaweza wasiwe wote...
Back
Top Bottom