Baada ya kushindwa kulipa bilion 9, Cyprian Msiba aombewa

Hata Jamatini huwa wana maombi tu.

Makanisani na hata Misikitini.

Jambo la Kawaida na la Kibanaadamu. Wachawi(Haters) wamezidi!
 
View attachment 2618458

Cyprian Msiba amegeukia maombi baada ya kuelekea kufilisiwa mali zake kufuatia kushindwa kulipa deni la bilioni 9 analodaiwa Benard Membe

Huyo Mashimo na yeye si alikua kwenye kikosi cha Sabaya cha kukamata na kutesa watu huyu?

Ameshauriwa afanye mambo yatakayopelekea aonekane kachanganyikiwa ili apate huruma mbele ya jamii. Msimamo wetu kama jamii ni huu, ikibidi asamehewe basi adhabu ibadilishwe na badala yake wamchemshe kwenye maji ya moto.
 
Back
Top Bottom