Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.
HAPA KAZI TU IENDELEE.
Leo nataka niwape fact moja Kuhusu Kujifia kwa Upinzani a natural death baada ya Mama Samia Kuchukua Nafasi ya Hayati JPM.
Kama ungeitishwa uchaguzi Leo hii, Mama Samia angemshinda Lissu kwa Zaidi ya 98% na hapo angemtibulia kabisa Dili lake la kuwekwa Unyumba huko...
Vyanzo kutoka Iran, Vinasema kutatua mgogoro wa wa Karne nyingi kati ya Israel na Palestina ni kupiga kura miongoni mwa wakazi wote waishio katika maeno ya mgogoro wa kiuraia, utamaduni au udini.
'Lengo letu 'Wairani' wa utatuzi kwa Wapalestina ni kuitisha kura ya Maoni kwa kuwajumuisha jamii...
SWALI LANGU: Ni utaratibu upi mpya utumike katika kupata watendaji bora wa kisiasa mbali na huu wa sasa ambao baadhi ya wakongwe wa tasnia hii (Freeman Mbowe) wanaona kuwa haufai?
Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Jana siku ya Jumatatu May 10, 2021, wakati ninapitia makala kadhaa katika...
Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
Muda ni Matokeo kwa Mwenendo wa boss lady kuna kura ya kutokuwa na imani itafuata muda si rafiki labda aweke kinga zake vizuri... na kimbunga jobu ataonekana Shujaa haswa... japo anaukichaa time will tell
Kura moja ya raia wa Lindi inabeba uzito kisiasa mara tano kuliko raia wa Dar es Salaam. Kwa nini?
Angalia namba (nazitumia za 2016 na 2010, 2020 sijaona lakini kimsingi ni vile):
Dar es Salaam wakazi 5,465,420 (2016), majimbo ya bunge 10, maana raia 546,000 = mbunge 1
Lindi wakazi...
Wabunge Nchini humo wamepiga kura kufuta nyongeza ya miaka miwili madarakani kwa Rais Mohamed Abdullahi Mohamed iliyoidhinishwa mwezi uliopita baada ya jambo hilo kuibua mvutano mkubwa.
Mgogoro wa kisiasa umeibua wasiwasi kuwa waasi wa Al Shabaab wanaweza kutumia nafasi hiyo kuhatarisha hali ya...
Ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule halafu Matokeo yakitoka naambiwa nimeshinda kwa Kishindo ( 100% ) upesi sana nitayakataa na kutaka Uchaguzi urejewe upya.
Ila ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule kisha Matokeo yakatangazwa nimeshinda kwa 65% nitayapokea kwa Furaha...
Royals Don't Vote
It might seem strange, but the royal family and politics do not go hand in hand. The royals do not vote because they are not supposed to express political opinions, and they are also not allowed to run for office. They are supposed to stay impartial.
This also applies to...
Nape Nnauye toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
Utamnyoosheaje kidole Halima Mdee ilhali na wewe uliingia bungeni kwa utaratibu huo huo wa viti maalumu vya " Kinyemela"?
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Ramadhan Kareem.
Huo ndio ukweli mchungu.
Kwa mfano wale Wabunge 19 wasiofungamana na upande wowote ni lazima wamwamkie Dkt. Mahera popote wanapomwona tena kwa kupiga goti hata kama wanamzidi umri.
Hizo ndio gharama za kubwebwa ukishikwa makalio ili ukae vizuri mgingoni usianguke basi usipigipe makelele...
Leo FB imenirushia kumbukumbu ya mkutano wa Tabora kuhusu Uchaguzi wa Kura Tatu wa mwaka wa 1958.
Uchaguzi huu nimeueleza kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes na katika mihadhara kadhaa niliyopata kufanya.
Vilevile nimeandika kitabu ''Uamuzi wa Busara,'' (2007) kuhusu Kura Tatu.
Leo...
Tangu Bunge jipya kuanza kumekuwa na vihoja na viroja kutoka bungeni nadhani hii ni kwa sababu wabunge wengi wapo pale kwa hisani ya mtu.
Wengine ndo hao viti maalum. Hawajui haso za kusaka kura mitaani.
Hawajui wakiwa bungeni ni kujipigia kampeni ili akija mtaani asitumie nguvu nyingi sana...
Mbunge wa tarime vijijini na naibu waziri wa ujenzi amelakiwa na wapiga kura wake huku wakisema ni mbunge wa kuigwa na kutiliwa mfano, tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema. Hii ni uthibitisho kuwa ushawishi wake na nguvu zake kisiasa ziliisambaratisha ngome...
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Wanabodi,
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.
Declaration...
Amini usiamini ndivyo itakavyokuwa,
Kama ambavyo imekuwa karibu Kila mara Jina la Hayati Mwl JKN kuwa ndio dira na mfano Bora Kwa kila kiongozi kuombea Kura hata kurejea hotuba zake Ili kujijenga kisiasa.
Kwa kadri siku zinavyosonga na vizazi vingi kwa sasa Kwa sababu ya kukosekana somo la...
Kwamba kura alizopata hayati JPM zilipatikana kwa mizengwe ya kuongeza moja au sufuri kama baadhi ya wapinzani na wapingaji wanavyodai, jibu tumelipata jana.
Kwa hali na mazingira tuliona jana ni wazi kabisa alikuwa anakubalika kwa wananchi, hasa wa kawaida ambao ni wapiga kura. Kilichomfanya...
Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu?
======
37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.