kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Nani wanahusika kuiba kura kwenye uchaguzi

    FORMER TANZANIAN INTELLIGENCE OFFICER: IN A FREE AND FAIR VOTE, THE OPPOSITION WINS by Evarist Chahali ( ni article ya 2015 but worthy reading) Jasusi, who is going to win the election?.” This is a question I have been asked a lot lately. “Jasusi” is a Swahili word for spy – the moniker I am...
  2. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kifo cha mtu uliyemzoea mtihani mgumu sana kufaulu

    KIFO NI KIBAYA SANA..NI BORA UFE WEWE KULIKO ATANGULIE YULE ULIMPENDA NA KUMZOEA. Habari wakuu,poleni na majukumu Najua kila mtu ameshawahi kusikia neno KIFO..ndio ni neno fupi lenye herufi chache tu,Herufi nne yaani K I F O. Nadhani tukiongelea katika maneno ambayo yanaogopwa na hayapendwi...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Goli bora CAFCL, Miqsone akimbiza. Mpigie kura sasa

    Nenda kampigie kura dogo ashinde. Hata kama ni Yanga kampe dogo kiroho saaafi Updates Luis ameshinda kwa kishindo 92.5%
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Tozo la Kodi ya Miamala ibaki, iondolewe au ipunguzwe?

    Tupige kura ili kujua Watanzania tunataka nini kuhusu kodi hii mpya ya miamala
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Jembe kiboko lilimaliza CHADEMA likifundisha watoto wa wapiga kura Tarime

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mbunge wa Tarime Mwita Waitara akifundisha somo la Hisabati katika Shule ya Sekondari Nyamwigura Tarime hivi karibuni. #NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari https://t.co/kjYGNCmYC7
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Pigo kwa Israel: Bunge lapiga kura kuruhusu Wapalestina kuwa raia wa Israel

    Kulikuwa na sheria ambayo ilikuwa inawawekea vikwazo wapalestina wanaoishi israel kuleta wake au waume zao ambao wapo upande wa israel kwa sababu za kiusalama hapo zamani. Kura zimepigwa leo juu ya kuendeleza hii sheria na cha ajabu kina Netanyahu ambao walikuwa wana piga kura kwa vipindi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA haiko tayari kupokea Ruzuku inayotokana na Kura za Wizi!

    Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema chama chake hakiwezi kupokea Ruzuku inayotokana na kura za wizi. Mbowe amesema Chadema ni chama cha watu waadilifu waliojazwa roho za uzalendo hivyo hawawezi kuwasaliti wananchi. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  8. M

    JamiiForums Tanzania NIlivyopiga kura huko nyuma, nitakavyopiga 2025

    Wanajanvi napenda kuweka kumbukumbu ya jinsi nilivyopiga kura baada ya mfumo wa vyama vingi kurudi. Hii ni kwa ajili ya kura za urais tu 1. Mwaka 1995 - Augustino Mrema 2. Mwaka 2000 - Prof Ibrahim Lipumba 3. Mwaka 2005 - Freeman Mbowe 4. Mwaka 2010 - Dr.Wilbrod Slaa 5. Mwaka 2015 - Edward...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kupigiwa kura badala ya kuchaguliwa na Raisi?

    Nime towa wazo hilo ili utendaji una weza kuwa mzuri. Kwanza nataka kujuwa hawa wakuu wamikowa na wakuu wawilaya wana ingia wapi katika serikali Kuna madiwani ambawo huchaguliwa na watu hawa huingia wapi? Kuna mayor ambaye huchaguliwa na wajumbe lakini ( bora ingekuwa mayor anachaguliwa na...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA haijawahi kuibiwa kura katika uchaguzi wowote ila hushindwa ka sababu ya msingi dhaifu

    Mbowe alisema wazo la “Chadema Msingi” ambayo ilikuwa na lengo la kuwasajili wanachama wapya kuanzia ngazi ya chini, alilipata akiwa gereza la Segerea baada ya kusoma kitabu cha mwanazuoni kutoka taasisi ya NDI, Jean Sharp kinachoitwa “From dictatorship to democracy: How to fight dictatorship”...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Israel: Serikali inayoweza kumtoa Benjamin Netanyahu madarakani kupigiwa kura Juni 13

    Bunge la Israeli limesema Kura juu ya Serikali mpya ambayo inaweza kumaliza Utawala wa miaka 12 wa Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu, itapigwa Juni 13, 2021. Kiongozi huyo aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi Nchini Israeli (miaka 12) ameuita Muungano mpya kuwa ni udanganyifu wa karne. Ikiwa...
  12. Slowly

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

    Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ... Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mapambano ya Wanaharakati na Diamond yana faida kwa nchi?

    Huu ni wito kwa Tuzo za BET zinazoendeshwa na kutayarishwa na Black Entertainment Television (BET) kumzuia Diamond Platnumz kushiriki tuzo. Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others Hadi 8/6/2021 saa 02;00 Asubuhi, 19,566 have signed. Let’s get to 25,000...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Bananga kumpigia kura Diamond

    Wakuu, Duniani kuna watu na viatu, Bananga aamua kuwa mtu. ===== Nadeclare interest Mimi ni mshabiki wa diamondplatnumz Nitapiga kura Nitaomba kura kwa ajili yake Kwangu mm michezo, muziki na starehe hazina itikadi. Huwa nachagua vita vya kupigana Vita ndogo ina gharama kubwa kama hupigani...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

  16. ommytk

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumpigie kura Diamond kijana wetu

    Wadau tuache malumbano ambayo hayana tija ebu tujivunie cha kwetu Diamond ni mwanetu. Kijana wetu mdogo wetu mtanzania mwenzetu ebu tujivunie vya kwetu tofauti zetu tuweke pembení. Hakuna mtu asiyejua awa vijana maisha waliyotoka mpaka kufikia hapo kwa hiyo tusiwakatishe tamaa tuzidi kuwa nao...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wapenda haki hatutompa Kura Diamond Platnum kama tulivyokubaliana

    WAPENDA HAKI HATUTAMCHAGUA DIAMOND PLATNUM Na, Robert Heriel Katika Tuzo za BET Diamond ni moja ya Wasanii wanaowania Tuzo hizo. Wapenda haki, wanaharakati na Wana mtandao wote kuanzia Facebook, Instagram, JamiiForums, na Twitter Kama tulivyokubaliana hatutampa Kura Diamond Platnum na...
  18. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Tanzania atatokea Rais ambaye hakushiriki uchaguzi mkuu wala kupigiwa kura

    Kwa mara ya kwanza baada ya Kifo cha mwendazake tumejionea vile VP anakwenda kuwa Namba moja directly bile votting hata ya kuthibitishwa na walau bunge. Huu ni upungufu mkubwa katika katiba yetu na unapaswa kuzibwa haraka sana. Kwa mfano Wananchi walimchagua Hayati awaongoze na SSH kama makamu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA wamekataa nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum na ruzuku basi watuombe radhi sisi Wapiga kura wao

    Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!! Haki gani wanayoidai hawa Chadema? Mbona...
  20. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ungefanyika sasa, Samia Suluhu angepata 98% ya kura zote maana wapinzani wote wanamsifu

    HAPA KAZI TU IENDELEE. Leo nataka niwape fact moja Kuhusu Kujifia kwa Upinzani a natural death baada ya Mama Samia Kuchukua Nafasi ya Hayati JPM. Kama ungeitishwa uchaguzi Leo hii, Mama Samia angemshinda Lissu kwa Zaidi ya 98% na hapo angemtibulia kabisa Dili lake la kuwekwa Unyumba huko...
Back
Top Bottom