Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.
Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine...
CHADEMA kikiwa chini ya katibu mkuu Dkt. Slaa mtu muadilifu wa kweli mkakati wake kama chama cha upinzani ulikua kupinga rushwa na kutaka uwepo wa utawala bora. Wakati Dr Slaa akiwa Katibu Mkuu nchi ilikua imeoza kwa rushwa kuanzia chama tawala CCM chenyewe na serikali yake hadi maisha uraiani...
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.
Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba...
Huu ni uzi wa wazo yakinifu kwa fikra mrejeo,
Kama mada inavyosema, watu walilaghaiwa wakalaghaika kwa ulaghai wa kilaghai mwisho wa sike mchumba kabebwa na ambaye aliwaangukia akikiri yeye ni kama wao, hana kitu, wanamfahamu, hatanii na akatoa tahadhari harusi waliyoahidiwa kesho yake...
Kauli ya Mwanasiasa GENTAMYCINE wiki Mbili zilizopita....
"Namalizia Kampeni zangu za Kupambana na Magufuli ila Uchaguzi Mkuu ukiisha tu naenda Kijijini Butiama Mkoani Mara Kutibiwa zangu Kienyeji kutokana na Matatizo makubwa sana niliyoyapata ya Kung'atwa na Mbwa Mkali wa Ziwani na Meno yake...
Ndugu mheshimiwa,
Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida.
Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa...
Mwanasheria Mkuu wa Marekani, William Barr amewaamuru waendesha mashitaka wa Serikali kuanzisha uchunguzi kuhusu dosari za upigaji kura, kwa sababu Rais Donald Trump amedai kuwa alishindwa uchaguzi kutokana na udanganyifu.
Barr, ambaye ni mtetezi wa karibu wa Trump kwa muda mrefu, amesisitiza...
Ushindi wake unakuja baada ya kushinda kwa kishindo jimbo la Pennsylvania.
Anakuwa Rais wa kwanza kuingia Madarakani akiwa na umri mkubwa (miaka 78). Pia, Marekani imepata Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke, Kamala Harris...
Hii njia nimeiona ndio suluhu ya kuondoa malalamiko kwa juu ya mawakala kufukuzwa au kuzuiw kufanya kazi.
Sheria ya uchaguzi ya Tanzania ibadilishwe tuwe tunapiga kura kwa njia ya posta.
Watendaji wa vijiji na mitaa wawe wanagawa karatasi za kupigia kura, tunaenda kutumbukiza posta.
Mawakala...
Mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Marekani, Joe Biden amewashukuru wamarekani kwa kumpa dhamana ya kuongoza taia hilo.
Katika tweet yake amesema atawatumikia wote bila kujali kama walimpigia kura au hawakumpigia kura.
Ameahidi kutowaangusha kwa imani ya uongozi ambayo wananchi wamempa kwa kipidi hiki.
Matokeo ya Uchaguzi wa Marekani yamemtangaza Joe Bidden kuwa Rais wa Marekani baada ya kumshinda Donald Trump.
Trump ameonekana kutoridhika na hali hiyo ametweet kuwa alishinda kwa kiasi kikubwa.
Mtandao wa twitter umeongezea link kwenye tweet ya Trump kuonyesha matokeo halisi yaliyotangazwa.
Kwanini mlizima intaneti nchi nzima? Kama mlishinda kwa haki na hamkuiba kura kwanini mlizima mtandao?
Je si ushindi wenu ulipaswa kuwa baraka na furaha kwa taifa sasa kwanini mligeuza ushindi wenu kuwa mateso kwa taifa?
Kwakweli kuishi Tanzania kwasasa inahitaji uvumilivu Sana.
Baada ya pressure toka kwa DT hatimae maafisa wa uchaguzi wa jimbo la Georgia wamekubali kuruduia kuhesabu kura zote zilizopigwa kwenye jimbo hilo.
Source: BBc Swahili
Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020:Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura
Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura
EPACopyright: EPA
Ujumbe wa kimataifa umesema uchaguzi wa Marekani ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura na majaribio ya kwanza kabisa ya kushusha imani ya...
Waangalizi wa Uchaguzi wa ndani wameitaka Tume ya Uchaguzi Nchini humo (EC) kupinga shinikizo lolote la kuchapa karatasi za kura za Uchaguzi ujao wa 2021 ndani ya nchi kwa kuhofia kuharibu mchakato wa Upigaji kura.
Waangalizi wanaamini kuwa uhuru wa Tume hiyo unajaribiwa, hivyo wamesema kuwa EC...
Mkuu wa ujumbe wa waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi wa Marekani 'Michael Georg Link' amesema kwamba madai ya Rais Donald Trump hayana msingi, yanayosema kwamba kumefanyika udanganyifu katika uchaguzi huo.
Michael Georg Link anayeongoza ujumbe wa Shirika la Usalama na Ushirikiano barani...
Watalaamu wa Sheria wanasema anayetoa shutuma ndie anayethibitisha. Iwe ni kwenye kesi ya aina yoyote ile.
CHADEMA na ACT-Wazalendo mnasema kuwa mmeibiwa kura. Na madai haya yamekuja baada ya matokeo kutoka.
Lakini kiuhalisia hivi mlitegemea watanzania wampigie kura Lissu? Maana mimi binafsi...
Wanaharakati nchini Marekani wamefanya maandamano ya amani katika baadhi ya miji kudai kuhesabiwa kwa kila kura kufuatia kauli ya Trump kuwa kuna uwezekano wa kuwepo kwa wizi wa kura katika zoezi la kuhesabu kura linaloendelea nchini Marekani.
Waandamanaji wameonekana karika miji ya Oakland...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.