kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kujenga canal kupitia Israel kuunganisha Nagari ya Hindi na Mediterranean

    https://indianexpress.com/article/explained/explained-global/ben-gurion-canal-suez-israel-9021520/
  2. JamiiForums Tanzania Ufufuko wa CCM kupitia Mwenezi Makonda

    Habari wataalamu, binafsi sio mtaalamu Sana wa siasa, hata hivyo nakiri kwamba tangu nimeanza kufuatilia fuatilia politics ninashawishika kwamba CCM imeanza kurudisha uhai wake kupitia MWENEZI P. MAKONDA. Kwa ujumla Kama Kuna washauri wa Rais humu, wamjulishe kuwa wamefanikiwa Sana kuifanya...
  3. JamiiForums Tanzania Mchawi wako akifanikiwa tu Kukuroga kupitia Jezi zako kupitia Mwenzao Uliyenae utalia tu kila Siku

    GENTAMYCINE ni Kit Manager wa Timu ya Ukwamani FC, ila Kiuhalisia na Kiukweli Mimi ni Shabiki Tukuka wa Timu yangu pendwa ya Kawe Rangers FC. Nawaonea mno Huruma Mashabiki wa Ukwamani FC kwa Kuniamini Mimi GENTAMYCINE ni Mwenzao na kunipa Tenda ya Kutengeneza Jezi zao kwa Fedha nilizoingia nao...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nani Mgombea Urais kupitia CHADEMA 2025 kati ya Mbowe na Lissu?

    Wanasiasa wanaoweza kupambana na mgombea wa CCM 2025 ni wawili tu kwa sasa. Freeman Mbowe na Tundu Lissu Yupi kati ya hawa ataleta ushindani chanya?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Feisal, Djuma Shabani na Bangala wanatufundisha nini kupitia mafanikio ya Yanga baada ya kuondoka kwao?

    Wanatufundisha: 1. To let it go/ To let them go. 2. Tusishikilie au kun'gan'gania kitu kinacho taka kuondoka kwenye maisha yetu. Kama kuna kitu au mtu anataka kuondoka kwenye maisha yako basi usimlazimishe abaki muache ende zake. 3. To move on. 4. To never look back. 5. Kila kitu kina...
  6. JamiiForums Tanzania Kufoji barua ya uteuzi wa kusimamia mirathi ni kosa kisheria na chochote utakachofanya kupitia hizo barua za kufoji ni batili

    Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama Kuu kwenye kesi kati ya Juma Sylvester Mfumia dhidi ya Antony Adabu Mmasy, Rufaa ya Ardhi Namba 68 ya mwaka 2022, kesi ilisikikizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga (nitakwambia baadaye kwa nini nimeita uamuzi wa “Mahakama Kuu” wakati ilisikilizwa Mahakama...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaoomba kazi kupitia Tamisemi ni ualimu tu au hata kada nyingine?

    Nimesomea DIPLOMA ya utawala, je naweza kujiunga kwenye web yao na kuanza kuomba kazi?
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Uadui Kati ya Myahudi na mpalestina / mwarabu ulitengezwa na Mungu mwenyewe hivyo atamaliza mwenyewe kwa sababu hatukumjua Mungu kupitia Yesu kristo

    Mungu aliamua kuwapa wayahudi nchi ya Kanani ufalme wenye nchi zaidi ya Tano baada ya kuwa wenyeji wa nchi Ile walikuwa wakiabudu mizimu. Pale ilitengenezwa uadui mkubwa na hasa kosa la Wana Israel waliambiwa na Mungu kuwa wawafutie mbali Yale makabila yenye kuabudu miungu mingine . Mungu...
  9. JamiiForums Tanzania NHIF: Mfumo wa uwasilishaji wa kadi kwa watumishi kupitia halmashauri ndio changamoto

    Meneja wa mfuko wa bima ya afya ya NHIF Mkoani Tabora, Salum Adam amesema NHIF haina changamoto ya uchelewashaji wa vitambulisho isipokua kuna changamoto ya kimazingira na mfumo wa uwasilishaji wa kadi kwa watumishi kupitia halmashauri. Akizungumza na waandishi wa habari meneja wa NHIF amesema...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania wangapi wameshatajirika kupitia kilimo cha korosho?

    Inaonekana ni kati ya mazao yanayouzwa ghali sana. Sisi tunaoishi mikoa ya mbali na korosho inakolimwa, tumekuwa tukiuziwa korosho za kutafuna kwa bei isiyobadilika, miaka nenda miaka rudi. Kwa bei tunayouziwa mitaani na supermarket, inatoa picha kuwa ni bidhaa ghali kuzidi karanga, n.k. Lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Nimegundua njia ya kuifikia subconscious mind kupitia ndoto

    Huu Uzi naomba wanasaikolojia na wanabaiolojia(neuroscientists) waje kuhakiki maana nitaenda kupublish research. Utangulizi: Unajua asilimia kubwa ya Akili na mawazo unayowaza iko nje ya ufahamu wako? Unajua kuwa hata mawazo unayofikiri huwa yanachipuka kutokea kwenye akili iliyo chini ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kusafirisha mafuta kutoka Uganda kupitia Bomba mpaka Tanga

    Za weekend wanaJF, Nimekuwa nikifikiria sababu inayotumiwa na nchi za Afrika kusafirisha mafuta kupeleka nchi za mbali bila kupata majibu. Nilitegemea mafuta ya Uganda na Tanzania tungeya-,process hapa kwetu Africa sababu sisi ni watumiaji wa bidhaa hii muhimu halafu ndio tuuze nje. Lakini...
  13. K

    JamiiForums Tanzania TANROADS mnatutesa sana barabara ya Mbezi High School kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe

    Hii barabara ni kero sana tena sana. Mbunge wetu anaishia kutupanga kila mara. Hii barabara isipotengenezwa mpaka 2025 tutaona hakuna tofauti kati ya mbunge huyu aliyepo na yule aliyekuwepo. Haiwezekani barabara ikawa mbovu kiasi hiki wakati huo sisi tuna mwakilishi. Mzee Magufuli (RIP)...
  14. JamiiForums Tanzania AZAM TV na Bodi ya Ligi mnatuibia pesa watazamaji wa ligi kupitia king’amuzi chenu

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kugundua kwamba miezi miwili sasa imepita bila kuwa na mwendekezo mzuri wa kuonyesha mechi za ligi kuu ya nbc,ndani ya mwezi unaangalia game mbili au tatu halafu unatakiwa kulipia tena. Kwa mfano weekend hii iliyoisha kulikua na shida gani mpaka...
  15. JamiiForums Tanzania Je, ni faida au hasara kwa Taasisi na Mashirika ya Umma kuajiri yenyewe bila kupitia Utumishi (Ajira Portal)?

    Kwa sasa hali imebadilika taasisi na mashirika mengi ya umma yanaajiri yenyewe kupitia Portal zao bila kuhusisha utumishi au Ajira portal. Leo hiii watu wanaomba kazi TRA kupitia portal ya TRA. NSSF pia watu wanamba kupitia uko na taasisi nyengine za umma. Je, kuruhusu Mashirika na Taasisi za...
  16. JamiiForums Tanzania Leo nimemalizana na mwalimu wangu kupitia mtandao wa kijamii

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Aisee katika siku ambazo mimi siwezi kuzisahau katika maisha yangu, basi leo ni moja wapo ya siku hizo. Mr Dudumizi nilianza darasa langu la kwanza katika shule moja iliyopo Mburahati jijini Dar es salaam. Shule hiyo kama zilivyo au zilivyokuwa shule nyingi za Dar...
  17. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza pesa kupitia pikipiki..?

    Habari, Poleni na majukumu Nina pikipiki yangu aina ya TVS 125 hivi ni mchongo gani wa pesa naweza kuufanya kupitia pikipiki hii ukiachana na Bodaboda Wataalam nipeni michongo mdogo wenu
  18. JamiiForums Tanzania Pato la taifa kupitia Sekta ya Bima inatajwa kukua

    Ukuaji wa Pato la Taifa kupitia Sekta ya Bima Nchini inatajwa kukua kwa kipindi cha miaka mitano ambapo mauzo ghafi ya Bima yameongezeka hadi kufikia Trilioni 1.2, ukilinganisha na ongezeko la shilingi Bilioni 691.9, mwaka 2018. Akitoa ufafanuzi wa ongezeko hilo, Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka...
  19. JamiiForums Tanzania Waelewe Watu kupitia Miti

    AINA 3 ZA WATU KATIKA MAISHA YAKO.. 1. Watu Majani 2. Watu Tawi 3. Watu Mizizi Watu Majani: Hawa ni watu ambao wanakuja katika maisha yako kwa msimu tu. Huwezi kuwategemea kwa sababu ni dhaifu. Wanakuja kuchukua tu wanachotaka, lakini upepo ukija wataondoka nao. Unatakiwa kuwa makini na hawa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya: Nikiona PDF ya Zuhura haipo kwenye Instagram ya Ikulu nakuwa na 'confidence'. Mh. Rais nakushukuru sana kwa mimi kunusurika!

    nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva. Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa nimeacha Instagram emoj ipo juu, nikaona kama kitu kimepita pale nikaogopa kuangalia nikawa naangalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…