Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 718
- 1,643
Wanatufundisha:
1. To let it go/ To let them go.
2. Tusishikilie au kun'gan'gania kitu kinacho taka kuondoka kwenye maisha yetu. Kama kuna kitu au mtu anataka kuondoka kwenye maisha yako basi usimlazimishe abaki muache ende zake.
3. To move on.
4. To never look back.
5. Kila kitu kina mbadala wake na kila kitu kinaweza kuwa replaced na kitu kingine ambacho ni bora zaidi.
Sijui Feisal, Djuma Shabani na Bangala wanajisikiaje wanapoiona Yanga ikiwa inapata mafanikio zaidi na kuvunja record zaidi bila ya uwepo wao?
Unadhani kesho na kesho kutwa mmoja kati yao akipewa tena nafasi ya kucheza Yanga ataleta maringo? No way! Hatoweza tena kwa sababu atakuwa anacheza huku akitambua kwamba Yanga ni kubwa kuliko yeye na kwamba anaweza kuwa replaced at any time.
Heshima kubwa sana kwa uongozi wa Yanga chini Engineer Hersi.
Tabulelee laaah!