February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,116
- 2,820
Huu Uzi naomba wanasaikolojia na wanabaiolojia(neuroscientists) waje kuhakiki maana nitaenda kupublish research.
Utangulizi:
Unajua asilimia kubwa ya Akili na mawazo unayowaza iko nje ya ufahamu wako? Unajua kuwa hata mawazo unayofikiri huwa yanachipuka kutokea kwenye akili iliyo chini ya fahamu zako? Mfano. Mtu anapokuwa anaongea kwenye stori, huwa hapangilii kwa ufahamu wake aseme nini baada ya nini, bali maneno huwa yanakuja tu from nowhere yeye anaongea tu, hata ukichunguza vitu unavyowaza mda mwingi huwa vinakuja tu vyenyewe kichwani bila Wewe kupanga. Huwa vinatokea wapi? Hii ndiyo akili iliyo chini ya ufahamu wako (subconscious mind). Na inachukua zaidi ya 95% ya ufahamu wako.hii 5% ndio ule ufahamu wako unaojitambua.
Unapokuwa hujitambui/hauna ufahamu Yani ukiwa umelala hii akili ya chini ya ufahamu huendelea kufanya kazi na ndiyo hapo tunapata kitu tunaita ndoto. Hivyo ndoto Zina Siri nyingi kuhusu mienendo ya subconscious minds zetu.
Akili iliyo chini ya fahamu(subconscious mind) inaathiri vitendo tunavyofanya kwa ufahamu wetu kupitia njia kadhaa:
1. Imani: Mara nyingi, mawazo ya chini ya fahamu yanashikilia imani zilizo imara ambazo hushape maamuzi yetu. Imani hizi zinaweza kutufanya kufanya chaguzi zinazolingana na kile tunachokiamini bila ufahamu wa moja kwa moja. Mfano ukiwa unaamini subconsciously kuwa mzungu ni superior na ana akili kukuzidi, inaweza kuathiri mawazo Yako au matendo Yako ukikutana na mzungu bila Wewe kujua.
2. Hisia: Hisia za chini ya fahamu zinaweza kuathiri sana tabia zetu. Kwa mfano, ikiwa tuna hisia za hofu au hatia ambazo hazijatatuliwa ndani ya subconscious mind, zinaweza kuathiri chaguzi na vitendo vyetu bila kujua.
3. Njia za Kawaida: Matendo mengi ya kila siku yanatokana na mazoea yaliyohifadhiwa kwenye subconscious mind. Mazoea haya hujengwa kwa muda na kuwa majibu ya moja kwa moja kwenye hali au tukio fulani.
4. Intuition and gut feelings: Mara nyingine, subconscious mind inaweza kuchakata habari haraka kuliko ufahamu wa moja kwa moja. Maamuzi ya kiintuitive mara nyingi hutoka kwa usindikaji huu wa chini ya fahamu na kuongoza vitendo vyetu. (Haya ni yale maamuzi mtu hufanya kwa harakat bila kufikiria)
5. Kumbukumbu: subconscious mind hufadhi taarifa nyingi, ikiwa ni pamoja na uzoefu wa zamani. Tunapokutana na hali fulani, kumbukumbu hizi zinaweza kuathiri chaguzi zetu, hata kama hatukumbuki kwa ufahamu wa kawaida. Mfano. Unaweza kuchukia jambo fulani automatic bila kuwa na sababu yoyote,kumbe Kuna memory kwenye subconscious mind jambo Hilo liliwahi kuudhi zamani hata. Utotoni.
6.Ubunifu: Unaweza kukaa ukashangaa idea nzuri imekuja kichwani from nowhere na ikawa kubwa mpaka ukajishangaa uliifikiriaje? Hiyo mara nyingi huwa inachipukia kutokea kwenye subconscious mind.
Kwahyo tunaweza kuona kuwa ufahamu wetu ni % ndogo sana ya akili zetu na mgodi mkubwa wa mawazo yetu, Imani zetu, kumbukumbu zetu, hisia zetu umefichwa kwenye subconscious mind.
Mbinu ambazo watu hutumia kuifikia hii subconscious mind na kuaccess madini yaliyopo huko ni kama Mindfulness, meditation (tahajudi), au Therapy.
Mimi kwa bahati nzuri nimegundua njia nyingine ya kuaccess huu mgodi uliopo vichwani mwetu, nayo ni kupitia ndoto. Nitaeleza hapa chini.