kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kununua vitu kupitia Alibaba naombeni mwongozo

    Hellow, Mlio wahi kuagiza vitu kupitia alibaba hali ipoje je ni kweli bei ina uhalisia na je mzigo uwa unachukua muda gani kukufikia yaani ki ujulma nataka kujua zaidi usalama uaminifu na muda wakupokea mzigo.
  2. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Naomba kuujua mji wa Kahama kupitia picha

    Habari wakuu, Natamani kuufahamu mji wa Kahama kupitia picha. Kama una picha zozote za mji wa Kahama, picha za mitaa, makazi ya watu, viwanja vya michezo, hoteli, shule, hospitali, mito, madaraja, mabonde, barabara, milima, majengo ya ofisi, mitaa ya ushuani, uswazi, masoko, utalii, ofisi za...
  3. Exile

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa Zabron Singers unaweza ukatamani kuoa kutokana na vibe lake

  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imebariki raia wake kuibiwa kupitia Makampuni ya Michezo ya Kubahatisha

    Makampuni ya michezo ya kubahatisha yameendelea kuongezeka kwa kasi sana nchini Tanzania kuliko nchi nyingine za ukanda wa Afrika Mashariki. Ongezeko hili linachagizwa na ukweli usiopingika kuwa kumiliki kampuni ya michezo ya kubahatisha ndio njia rahisi zaidi ya kuvuna pesa kutoka kwa watu wa...
  5. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Nitaweza tena kuishi na mwanamke...?Je ntafanyaje nisije pitia haya nayo Pitia.Na wewe ulie wahi kupitia haya uliponaje ukakaa sawa.

    Wakubwa zangu poleni na uchovu. Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali. Naishi maisha Magumu mno. hii ni Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki. Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ombea Taifa dhidi ya Roho ya uadui na chuki za kidini iliyojidhirisha kupitia issue ya bandari

    Siyo kweli kwamba uwekezaji hauna faida au hasara Kwa mstakabali wa Taifa. Lakini hoja ya bandari imefunua mioyo ya wengi na kuonesha hatari iliyoko katika nchi yetu. Tanzania hatutakuja kupigana vita ya wenyewe eti Kwa sababu ya kisiasa. Ccm Ina nguvu sana kuweza kutawala hata miaka hamsini...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

    Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa... Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa...
  8. Heparin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI NHIF yarejesha utaratibu wa kusajili watoto kupitia Mpango wa Toto Afya Kadi

    Kumekuwepo na taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha kuwa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) umerejesha mpango wa kusajili watoto kupitia kifurushi cha Toto Afya Kadi. Taarifa hii ina ukweli kiasi gani maana naona kuna mvutano mkubwa, baadhi wanadai ni kweli na wengine wanasema si kweli.
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ya Mpwayungu Village kuhusu Mwalimu, yaungwa Mkono na KONTAWA kupitia kibao chake Cha "Mwalimu"

    Kwenye Huu Wimbo, msijikite kwa mistari pekee inayohusu Mwalimu Na Mwanafunzi,, Sikilizeni KERO na Maisha halisi ya Mwalimu wa Tanzania. Angalieni Mazingira ya Maisha ya Mwalimu kuanzia Mavazi ,Makazi, Chakula !!. Hakika ni Tanzania pekee ambapo Mwalimu anaishi Maisha ya Taabu !!.
  10. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Makuwadi wa kuuza Bandari wanajaribu kutusahaulisha kupitia michezo

    Ni wazi tena pasipo shaka mpango wa kuuza Bandari zetu kwa Waarabu wa Dubai umekutana na upinzani mkali. Kwakuwa majibu na shaka shaka juu ya ufisadi huu uliotukuka umekosa majibu Makuwadi wamekimbilia Simba Day. Napendakuwahakikishia kwamba suala la kugawa Bandari zetu zote halitazimwa na...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ipige marufuku kujitolea vijana tupate ajira za kudumu kupitia Utumishi

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. TUNAOMBA serikali yetu sikivu ipige marufuku kujitolea ili vijana tupate ajira na pia kujitolea ni upendeleo nafasi hazipo wazi na mpaka uwe na connection. Pia tunaomba ajira zote za kudumu kwenye mamlaka ya serikali ndogo (local government) wizara...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Tamaa za Kiuchumi na umuhimu wa Pwani ya Afrika Mashariki zinataka kumrudisha Sultani wa Oman kupitia DPW.

    Kabla ya Mapinduzi matukufu ya mwaka 1964, Zanzibar pamoja na korido lote (km 10) la mwambao wa Pwani ya Afrika Mashariki vikijumuisha visiwa vya Lamu na Mafia vilitawaliwa na Ukoo wa Sultan Sayyid wa Oman. Sultan aliitawala Zanzibar na mwambao wote kuanzia Tanga hadi Lindi, korido lote toka...
  13. Jackal

    JamiiForums Tanzania Meli ya Israeli yavunja katazo la Urusi kuzuia Ngano isisafirishwe kutoka Ukraine kupitia Black Sea

    An Israeli merchant ship that embarked from the Port of Ashdod Monday became the first vessel to openly defy Russia’s blockade of the Black Sea since they pulled out of a deal with Ukraine allowing the country to export grain from its ports in mid-July, Ukrainian news outlet Militarnyi reported...
  14. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Ijue afya yako kupitia aina ya kinyesi unachokitoa

    Chati ya kinyesi ya Bristol ilitengenezwa mnamo 1997 kama zana ya tathmini ya kliniki. Kuna aina saba za kinyesi kulingana na Chati ya hiyo. Chati ya kinyesi ya Bristol ni msaada wa matibabu ulioundwa na kuainisha kinyesi katika vikundi saba. Baada ya kujisaidia, kile unachokiona chooni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wa kukutanisha wawekezaji na wabunifu kupitia kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC)

    Bila shaka unawafahamu marafiki zako wengi wenye mawazo makubwa ambayo hawajafanikiwa kuyafanyia kazi kutokana na sababu mbalimbali. Hebu fikiri tena jinsi mawazo yao yalivyo mazuri na muhimu lakini yamelala, wala hayatambuliki duniani, na unaweza kudhani hayapo kabisa. Sababu zinazopelekea...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa DP world na Tanganyika kutafsiriwa Kwa Kiswahili na kugawanywa bure kwa wananchi kupitia Chadema.

    Ni nini madhara ya Zoezi hili Iwapo Chadema watafanikisha Zoezi hilo? Tujadili Ili bila ushabiki.
  17. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora: Kuinua mustakabali wa vijana kupitia ajira

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA: KUINUA MUSTAKABALI WA VIJANA KUPITIA AJIRA Utangulizi Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana ni changamoto kubwa inayokabili jamii nyingi duniani. Vijana wengi wanakosa fursa za kujiajiri na kuchangia katika maendeleo ya taifa kutokana na sababu mbalimbali. Hali hii...
  18. M

    JamiiForums Tanzania BASATA hana HAKI wala WAJIBU wa kuzuia haki ya katiba ya kutoa maoni kupitia sanaa

    Miaka ya hivi karibuni Baraza la Sanaa la Tanzania limekosa kazi ya kufanya isipokuwa kusubiri wasanii watoe nyimbo ndo likae vikao kuzifungia. Hata Rais Magufuli amewahi kutishia kulifuta Baraza hili kwa sababu aliona halina kitu chochote cha maana kinalofanya isipokuwa tu kugeuka na kuwa...
  19. officialsalmatz

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuchochea Utawala Bora na Uwajibikaji kupitia teknolojia

    UTANGULIZI Teknolojia imechukua nafasi kubwa sana na kuwa msaada mkubwa kwa utendaji kazi kiurahisi na kwa haraka katika maisha ya watu wote dunia kwa sasa na inaaendelea kukua na kubadilika kwa kasi kubwa kila siku. Teknolojia kwa sasa inauwezo mkubwa wa chochea utawala bora na uwajibikaji, sio...
  20. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Najutia kupata Mke kupitia Facebook.

    Mnamo mwaka X weds nakumbuka nilibahatika kukutana na huyu bint uso kwa uso katika Phase flan katika kutafuta maisha. Tulipoteana tena kama baada ya mwaka mmoja bila kutongozana kuzoeana wala bila kuongea neno lolote. Dada huyu alikuwa mzuri kwa Sura na rangi nzuri. Maisha kusonga tukiwa...
Back
Top Bottom