kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania TANROADS mnatutesa sana barabara ya Mbezi High School kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe

    Hii barabara ni kero sana tena sana. Mbunge wetu anaishia kutupanga kila mara. Hii barabara isipotengenezwa mpaka 2025 tutaona hakuna tofauti kati ya mbunge huyu aliyepo na yule aliyekuwepo. Haiwezekani barabara ikawa mbovu kiasi hiki wakati huo sisi tuna mwakilishi. Mzee Magufuli (RIP)...
  2. Complicator

    JamiiForums Tanzania AZAM TV na Bodi ya Ligi mnatuibia pesa watazamaji wa ligi kupitia king’amuzi chenu

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kugundua kwamba miezi miwili sasa imepita bila kuwa na mwendekezo mzuri wa kuonyesha mechi za ligi kuu ya nbc,ndani ya mwezi unaangalia game mbili au tatu halafu unatakiwa kulipia tena. Kwa mfano weekend hii iliyoisha kulikua na shida gani mpaka...
  3. sychellis

    JamiiForums Tanzania Je, ni faida au hasara kwa Taasisi na Mashirika ya Umma kuajiri yenyewe bila kupitia Utumishi (Ajira Portal)?

    Kwa sasa hali imebadilika taasisi na mashirika mengi ya umma yanaajiri yenyewe kupitia Portal zao bila kuhusisha utumishi au Ajira portal. Leo hiii watu wanaomba kazi TRA kupitia portal ya TRA. NSSF pia watu wanamba kupitia uko na taasisi nyengine za umma. Je, kuruhusu Mashirika na Taasisi za...
  4. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Leo nimemalizana na mwalimu wangu kupitia mtandao wa kijamii

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Aisee katika siku ambazo mimi siwezi kuzisahau katika maisha yangu, basi leo ni moja wapo ya siku hizo. Mr Dudumizi nilianza darasa langu la kwanza katika shule moja iliyopo Mburahati jijini Dar es salaam. Shule hiyo kama zilivyo au zilivyokuwa shule nyingi za Dar...
  5. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza pesa kupitia pikipiki..?

    Habari, Poleni na majukumu Nina pikipiki yangu aina ya TVS 125 hivi ni mchongo gani wa pesa naweza kuufanya kupitia pikipiki hii ukiachana na Bodaboda Wataalam nipeni michongo mdogo wenu
  6. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Pato la taifa kupitia Sekta ya Bima inatajwa kukua

    Ukuaji wa Pato la Taifa kupitia Sekta ya Bima Nchini inatajwa kukua kwa kipindi cha miaka mitano ambapo mauzo ghafi ya Bima yameongezeka hadi kufikia Trilioni 1.2, ukilinganisha na ongezeko la shilingi Bilioni 691.9, mwaka 2018. Akitoa ufafanuzi wa ongezeko hilo, Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka...
  7. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Waelewe Watu kupitia Miti

    AINA 3 ZA WATU KATIKA MAISHA YAKO.. 1. Watu Majani 2. Watu Tawi 3. Watu Mizizi Watu Majani: Hawa ni watu ambao wanakuja katika maisha yako kwa msimu tu. Huwezi kuwategemea kwa sababu ni dhaifu. Wanakuja kuchukua tu wanachotaka, lakini upepo ukija wataondoka nao. Unatakiwa kuwa makini na hawa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya: Nikiona PDF ya Zuhura haipo kwenye Instagram ya Ikulu nakuwa na 'confidence'. Mh. Rais nakushukuru sana kwa mimi kunusurika!

    nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva. Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa nimeacha Instagram emoj ipo juu, nikaona kama kitu kimepita pale nikaogopa kuangalia nikawa naangalia...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni shujaa wa Taifa hili. Hizi figisu anazofanyiwa na serikali ya CCM kupitia jeshi la Polisi, zinamjenga zaidi kuliko kummaliza

    Rais wa awamu ya tatu, Rais Msomi kuliko Rais yeyote nchini, Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, alichemsha kwa Tundu Lissu, akabambikiwa kesi nyingi sana, akazipangua zote. Sababu ilikuwa Tundu Lissu kutetea haki za wanavijiji wanaozunguka maeneo ya Bulyanghulu, ambao wapo waliotendewa dhuluma...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanigeria na Wahindi wamefanikiwa sana kutambulisha utaifa wao kupitia mavazi

    Indian Prime Minister Narendra Modi shakes hands with Nigeria President Bola Ahmed Tinubu upon his arrival Sisi tunakwama wapi? Wahindi wanaona fahari sana kutumia mavazi kama njia ya kutambulisha utaifa wao, hali kadhalika wa-nigeria. Waarabu pia wako vizuri katika hili. Hivi imeshindikana...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia itisha kura ya maoni kupitia akaunti yako ya X kuhusu suala la Bandari, utapata picha halisi na ikusaidie kufanya maamuzi

    Rais Samia kama unavyopenda kutumia mtandao wa X kuelezea mambo yanayohusu nchi na Watanzania ikiwemo kutoa taarifa mbalimbali za Serikali yako, nakushauri utumie mtandao huo kupata maoni ya wananchi ni namna gani wameupokea mkataba wa Bandari ambao umekuwa gumzo kuu hapa nchini. Rais Samia...
  12. D

    JamiiForums Tanzania EWURA inatia aibu kufungia vituo vya mafuta visivyouza

    Habari Wananchi Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza! Ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni! Ifahamike Ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta: Wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake, Anapotafta eneo...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hata mkisusia Mialiko ya Hafla zetu kwa Chuki, Wakatoliki kupitia TEC msimamo Wetu kuhusu 'Wanyonyaji' DP World haujabadilika na hautabadilika Abadan

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 3,2023 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla ya kusimikwa na kuwekwa wakfu kwa Mhashamu Askofu Thomas John Kiangio Kanisa Kuu la Mtakatifu Antony wa Padua, Chumbageni Mkoani Tanga. Chanzo: owm_tz Na Ibada ya Jumapili ijayo katika moja...
  14. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kununua vitu kupitia Alibaba naombeni mwongozo

    Hellow, Mlio wahi kuagiza vitu kupitia alibaba hali ipoje je ni kweli bei ina uhalisia na je mzigo uwa unachukua muda gani kukufikia yaani ki ujulma nataka kujua zaidi usalama uaminifu na muda wakupokea mzigo.
  15. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Naomba kuujua mji wa Kahama kupitia picha

    Habari wakuu, Natamani kuufahamu mji wa Kahama kupitia picha. Kama una picha zozote za mji wa Kahama, picha za mitaa, makazi ya watu, viwanja vya michezo, hoteli, shule, hospitali, mito, madaraja, mabonde, barabara, milima, majengo ya ofisi, mitaa ya ushuani, uswazi, masoko, utalii, ofisi za...
  16. Exile

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa Zabron Singers unaweza ukatamani kuoa kutokana na vibe lake

  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imebariki raia wake kuibiwa kupitia Makampuni ya Michezo ya Kubahatisha

    Makampuni ya michezo ya kubahatisha yameendelea kuongezeka kwa kasi sana nchini Tanzania kuliko nchi nyingine za ukanda wa Afrika Mashariki. Ongezeko hili linachagizwa na ukweli usiopingika kuwa kumiliki kampuni ya michezo ya kubahatisha ndio njia rahisi zaidi ya kuvuna pesa kutoka kwa watu wa...
  18. General Nguli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitaweza tena kuishi na mwanamke...?Je ntafanyaje nisije pitia haya nayo Pitia.Na wewe ulie wahi kupitia haya uliponaje ukakaa sawa.

    Wakubwa zangu poleni na uchovu. Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali. Naishi maisha Magumu mno. hii ni Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki. Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ombea Taifa dhidi ya Roho ya uadui na chuki za kidini iliyojidhirisha kupitia issue ya bandari

    Siyo kweli kwamba uwekezaji hauna faida au hasara Kwa mstakabali wa Taifa. Lakini hoja ya bandari imefunua mioyo ya wengi na kuonesha hatari iliyoko katika nchi yetu. Tanzania hatutakuja kupigana vita ya wenyewe eti Kwa sababu ya kisiasa. Ccm Ina nguvu sana kuweza kutawala hata miaka hamsini...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

    Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa... Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa...
Back
Top Bottom