Hii tabia imekithiri sana ya kupiga watoto kwa mangumi, mateke, na mbaya zaidi kupiga watoto mgongoni ambako ndiko kuna uti wa mgongo! Tabia ya kuficha na kutoa taarifa za uongo kumkandamiza aliyeuliwa na kukosesha haki ndiko kunafanya walimu waendelee na tabia hii mbaya kabisa!
Halafu kuna...
Wakati fulani nilienda South Africa kwenye madeal binafsi na kiofisi. Kule nilipata wasaa wa kuhudhuria ibada ya nabii mmoja anayetokea Tanzania akifanya huduma zake Afrika Kusini.
Siku hiyo ilikuwa ibada ya wahitaji toka nchi mbalimbali za kigeni. Walikuwepo watu kutoka Zambia, Ghana, Africa...
Habari za majukumu ndugu zangu,Nina mtoto wa kiume miaka 4 Sasa lakini haongei ni kupiga makelele tu ana dalili hizi hapa chini
1. Ukimuita jina lake hageuki
2. Anapiga makelele tu
3.kuna wakati Anakuwa anaziba masikio
4. Anatamka sauti zinazojirudiarudia lkn hazieleweki
5. Anapenda...
ni miaka nenda rudi wazungu wanatoa dollar kuzisaidia Tech hubs za Tanzania lakini cha ajabu hatuoni matunda ila utakuta viongozi wa start ups wanatumia simu latest zenye bei mbaya, magari mazuri, apartment ghali, nguo za gharama, n.k.
Tetesi ni kwamba Grants zikifika bongo, wakuu wa hubs...
Kwanini Mtu anapomaliza kupiga NYETO (Kujichua) anaanza kujutia kwa kitendo hicho?
Habari wadau tushirikishane suala hili kwanini inatokea hivyo?
Uzi huu isifutwe majibu ya hapa yatasaidia wasomaji na walio katika hali hii kwa muda mrefu au wanatamani waanze
Iilikuwa shule fulani huko maeneo ya kibaha kwenye miaka ya 2000s.
Tukiwa tumetulia ghafla kengele ya dharura ikagongwa na sote tukakimbilia parade kujua kunani. Kumbe ilikuwa kengele ya jambo jema; jamaa wa bank (ya posta kama sikosei) walifika kutoa zawadi kwa mwanafunzi fulani pale baada ya...
Taliban imepiga marufuku wasichana kupiga simu redion
✍🏻Kwamba wana hamsha ari za wanaume na kuwafanya wawaze ngono
✍🏻Inawaondoa wanaume kwenye mood wawapo kazini
✍🏻Kwamba dini ya Kiislamu si kwamba hairuhusu maumbile tu ya mwanamke kuonekana, Bali hata Sauti ya Kuvutia inamfanya Mwanaume...
Hawa Wapalestina akili zitawaingia tu na kujua haya magaidi ya dini hayasaidii kitu zaidi ya kuwasababishia matatizo zaidi, na hamna anayekuja kuwaokoa, ndugu zao katika dini yaani waarabu wanaongea na kutoa matamko kisha wanarudi ndani kwenye shughuli zao za kujenga mataifa yao.
Hata waswahili...
Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagar amedhihirisha nia ya Israel iliyojificha kwa kusema wamejiandaa kujibu mfano wa mapigo ya HezboLlaah si Lebanon tu bali sehemu yoyote ile ya mashariki ya kati.
"We do not choose war as our first priority, but we are certainly prepared," Hagari said."We...
Nchi kadhaa za kiarabu zimeanza kuingia akili kwa kukataa kuachia Marekani kutumia ardhi zao kuanzisha mashambulizi dhidi ya wanamgambo wa Houth wa Yemen.Hatua hiyo itaifanya Marekani kushindwa kuwazuia Houth na itakuwa ni msaada wa nchi hizo kwa Palestina.
Nchi hizo ni zile ambazo zimekuwa...
Kupitia ukurasa wake wa "X" msanii Madee ameibuka na kutoa mtazamo wake kuhusu hukumu wanayoipata wezi wanapokamatwa na wananchi.
“Sijawahi kumpiga mwizi na sitakuja kumpiga mwizi. Enhee unampiga huyo mwizi then mnamchoma moto baada ya hapo unakua umefaidika na nini”.
“Wote wanaompiga mwizi...
Mwaka 1997 IBM walitengeneza computer ikiitwa Deep Blue ikamshinda bingwa wa chess duniani aliitwa Garry Kasparov, watu wakaona dunia inaingia kwenye nyakati computer inakwenda kumzidi binadamu akili lakini si kweli, miaka ya1950' hadi 1960's kuna wanasayansi wakasema kuna robots zitakuja...
Raisi Biden wa Marekani na wasaidizi wake wametangaza kuwa mipango yote ya kupiga vituo vya Iran ndani ya Syria na Iraq imekamilika.Kinachosubiriwa ni hali ya hewa tu iwe rafiki kwa kile walichodai kukwepa kusababisha madhara kwa raia.
Na sisi walimwengu tunasubiri tuone athari ya vita hivyo na...
Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.
Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.
Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo...
Ndio dunia yetu ilipofikia, yaani wanaitana ndugu kama waarabu na pia dini ila kila mtu anavutia kwake, fursa ikijitokeza unatupa maadili kule na kujichukulia mihela, lori la misaada kupita lazima litoe dola $5,000
Tena hii tozo haram inamfikia generali wa Misri...
US na UK wameonyesha wako tayari kupiga popote, yaani hawa Houthi wanataka wao wapige meli lakini wasipigwe kunako.....
Houthis accuse US, UK of targeting Ras Isa oil terminal in Hodeidah
Houthi-run Al-Masira TV reported that the US and UK struck Ras Isa port on Saturday
The Houthis claimed...
Wakuu habari za uzima?
Nilikuwa nahitaji kufahamu shule zinafondisha watoto kupiga ala za mziki.
Nahitaji kumtoa mwanangu kanisani sababu mwalimu anayemfundisha mda mwingi anakuwa busy.
Nilijaribu kufatilia moja maeneo ya shabaan Robert ada kidogo juu.
Mwenye ufahamu wa hili anijuze
Karibuni.
Picha ya Dr. Nchimbi na Askofu Bagonza imepata headlines nyingi sana kwenye pages za CCM kuliko maeneo mengine yoyote.
Kumbuka leo walikuwepo Maaskofu wote wa KKKT pale Azania Front. Ila Nchimbi alihakikisha amezungumza na Bagonza na picha imewekwa kwa kumbukumbu. Bagonza always amesimamia...
Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku
Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo.
Upi utabiri wako wa mechi hiyo?
===========...
afcon
baada
bongo
goli
hamasa
hesabu
ivory coast
kamati
kichapo
kupiga
kutoka
kwanza
matapeli
morocco
mwarabu
pesa
tanzania
tayari
uzalendo
video
vidole
vipi
watanzania
zake
zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.