Mivyumba
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 275
- 532
Habari wakuu!
Hivi karibuni nimeanza kusikia Kelele kwenye Sikio Langu la Kushoto kama Mdudu au filimbi inalia Kwa Mbali.
Hapo awali nilihisi ni wale wadudu wanaopiga kelele ardhini, lakini nilivyofuatilia nikagundua ni Sikio La Kushoto linafanya hivyo na Wakati Mwingine lile la kulia mara Chache.
Naomba Anayejua tatizo ni Nini Anieleweshe,nikiwa nasubiri Taratibu za hospital (nimeambiwa Niende Jumatatu)
NOTE: Nilishawahi kusumbuliwa Utotoni Maumivu ya Sikio kuuma na Kutoa usaha Pia (Mama alinisimulia)