Video: Wapalestina wafanyia HAMAS fujo, baada ya HAMAS kupiga risasi kijana aliyekua anang'ang'ania chakula

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Hawa Wapalestina akili zitawaingia tu na kujua haya magaidi ya dini hayasaidii kitu zaidi ya kuwasababishia matatizo zaidi, na hamna anayekuja kuwaokoa, ndugu zao katika dini yaani waarabu wanaongea na kutoa matamko kisha wanarudi ndani kwenye shughuli zao za kujenga mataifa yao.
Hata waswahili ambao hujifanya kuwa na uchungu kwa masaibu ya Wapalestina, hamna kikubwa hufanya zaidi ya kutukana humu JF kisha wanakula ubwabwa wanavimbiwa na kulala...
======================

View: https://twitter.com/sapirlipkin/status/1758535882083066003?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1758535882083066003%7Ctwgr%5E5d246e8f407f937dc18d7a535f50e5e8abc0ac2c%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.timesofisrael.com%2Friots-at-rafah-crossing-after-gaza-teen-trying-to-grab-aid-shot-dead-by-hamas%2F

Riots took place near the Gaza Strip’s border crossing with Egypt Friday, reportedly after a Palestinian teen who tried to grab items from a humanitarian aid shipment was shot dead by Hamas police.

Arabic media reported on the incident at the Rafah Crossing.

The teen, identified as Muhammad al-Araja, was apparently one of a group of people who tried to nab the aid when he was shot dead.

After the shooting, reports and footage indicated that many members of the victim’s large extended family began rioting at the crossing, setting fire to parts of the complex and clashing with authorities there.

Nearly 1.5 million displaced Palestinians — more than half of Gaza’s population — are in Rafah, seeking shelter from the Israel-Hamas war in a sprawling makeshift encampment near the Egyptian border, and the humanitarian conditions there have been described as increasingly dire.
 
wewe na la 7 wenzio mnajadili upuuzi na kufarijiana humu...yaani hiyo video na ulichoandika wala haviendani,naona sasa mashoga sha...wa zinawasha nyumani
 
Kwa hiyo vita ya Hamas vs Israel ni vita kati ya wayahudi vs waislamu? Mfano mzuri kwenye jeshi la Israel kuna waislamu na wanapigana na hamas.
Jeshi la Israel hakuna muislam hata 1. Vita vya kidini kati ya waislam na wasiokuwa waislam
 
FaizaFoxy, si M'bibi, bali M'babu anaetumia jina la kike. Ilo jina la faiza fox ni ni la Bibi mmoja hivi Mmarekani Mweusi.
Baada ya kushikwa Masikio na Mashekh Akaslimu,then akafungua kesi kutaka haki ya wanawake waislam Us kuvaa Niqab na akiashinda kesi.
Ok. Kuna siku alitaka vijana wa kumuoa humu. Nimekuelewa
 
Back
Top Bottom