kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Simba imefanikiwa kupata nyani (seng'wa) mwenye vidole 5 mguu wa kulia na 4 mguu wa kushoto milima ya Uluguru, Simba 5 Kaizer Chiefs 0!

    Game imeisha Simba inaelekea nusu fainali kwa mbinu ile ile waliyoitumia kuwatoa Mufulira Wonders ya Zambia kwenye mtanange unaofanana kwa 100% na huu. Hatimaye Simba wamempata nyani kama yule wa wakati ule aliyefanikisha ushindi ule. Safari hii shukrani za pekee zimwendee babu tale wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Sifa za kupata mkopo HESLB ziangaliwe upya kabla ya maombi Juni 2021, hasa kigezo cha kuwanyima mkopo waliosoma shule binafsi

    Kigezo cha mtoto mbaye amesoma private schools asipate mkopo si sahihi. Wazazi wengine wanakuwa wamestaafu, wameacha kazi, wamekufa etc, kutumia kigezo hicho ni kutowatendea haki. Au pia uwezo wa biashara yake umekufa kama wakati wa Mwendazake biashara nyingi zilikufa na...
  3. JamiiForums Tanzania Napata kizunguzungu kila nikiamka kutoka sehemu niliyokaa

    Hivi kupatwa na kizunguzungu wakati wa kuamka kutoka ulipokuwa umekaaa hii inasababishwa na nini? Na kiafya shida ni nini na nini madhara yake.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kigoma ni sawa na Makete dini iliingia mapema lakini wamechelewa sana kupata maendeleo, Waha na Wakinga matajiri wa Kariakoo!

    Nimeliangalia jimbo la Muhambwe na kule Kibondo kwa kweli pamoja na mbwembwe za Zitto na Kafulila lakini Kigoma bado ni maskini sana. Naweza kuufananisha mkoa wa Kigoma na wilaya ya Makete mkoani Njombe kwa akina Jah People, yaani full umaskini Ila ukipita mitaa ya Kariakoo matajiri ndio hao...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nwezaje kuagiza nchini gari bovu kwa ajili ya kukata na kupata spares?

    Niko nchi fulani ambako kuna salvage cars. Nia yangu ni ku deal na spare Tanzania, hivyo nafikiria kusafirisha haya magari hadi Tanzania na kuyakata ili kupata vipuri. Kutenganisha vipuri nikiwa huku kutanigharimu sana kwenye gharama za kutenganisha na usafiri. Inatakiwa nifanyeje? TRA...
  6. JamiiForums Tanzania Kulinganisha Njia Mbalimbali za Kupata Elimu

    NGAZI YA ELIMU (1) UFUNDI STADI (2) UFUNDI (3) VYUO VIKUU (4) UTAALAMU (5) ELIMU HAINA MWISHO 10 Shahada ya Uzamivu Shahada ya Uzamivu <<=== 9 Shahada ya Uzamili Shahada ya Uzamili Cheti cha Utaalam Ngazi ya 4 (Utaalamu Bingwa 2) <<=== 8 Shahada ya Kwanza Shahada ya Kwanza...
  7. JamiiForums Tanzania Kadi ya Mtoto ikichanika, Unaweza Kupata Nyingine?

    Habari za leo! Nauliza kama kadi ya mtoto ya kliniki imechanika kiasi kwamba ni vigumu kuiunganisha, je unaweza ukapata kadi nyingine ili ujaze tena taarifa zake? Na kama inawezekana kupata nyingine, ni hatua zipi za kufuata ili kuipata? Ahsanteni.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mahujaji Kupata Chanjo ya Corona

    Mabibi na mabwana inatia moyo sana tunapokuwa na serikali sikivu kama za awamu hii. Madhali haya mambo ni hiari ya mtu, kwanini tupangiane? Wewe hutaki chanjo? Si ubakie bila kuchanjwa? Kwani pilipili usizozila zikuwashe wewe vipi? https://dailynews.co.tz/news/2021-05-14609eaf9137c04.aspx...
  9. JamiiForums Tanzania Hata kama Sabaya akifutwa kazi hamuwezi kupata 'Politcal Gain'

    Huo ndio ukweli ambao mnatakiwa kuufahamu kwa sasa CHADEMA ni chama mfu kabisa na hakiwezi kupata uhai eti kwa sababu tu Sabaya amefutwa kazi. CHADEMA inatakiwa kujitathimini kwa nini wananchi hawana imani nayo na sio kufurahia tu kuwa Sabaya aliyekuwa anamdhibiti Mbowe huko Hai amesimamishwa...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupata (win) Kazi on Upwork

    Lets keep it straight and simple, Upwork ni platform kwaajili ya professionals so, you have to be an expert in your skills na kama sio expert basi ujue how to source that skill properly. Points you should consider au ku-note kabla hujaapply kwa hizo kazi. 1) Apply to your skills related jobs...
  11. JamiiForums Tanzania Ukienda NSSF kupata huduma lazima umkumbuke Hayati Magufuli

    Ukienda NSSF tawi la kinondoni ubungo plaza utatamani Magufuli afufuke. Hakuna anaejali. Unasikilizwa kwa mbinde. Meneja hapatikani. Ukienda posta utachoambulia ni majibu ya hovyo utaambiwa sasa sisi tufanyaje! Hii ni experience yangu nafuatilia hela yangu ya 33%. Hali ni mbaya sana...
  12. JamiiForums Tanzania Ili kuitumia vizuri fursa iliyotolewa na Kenyatta inabidi taratibu za kupata passport zirahisishwe

    Binafsi nashauri kigezo pekee cha kupata passport kiwe ni kuwa na kitambulisho cha NIDA tu. Tukiendelea na urasimu uleule hatutaitumia hii fursa vizuri. Watu kibao wanafanyabiashara Kenya ila shida ni utambulisho. Nina jamaa zangu Wamasai walikuwa wanapeleka sandals Kenya ila wanasema walikuwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je, ukishikiliwa Kituo cha Polisi unaweza kupata dhamana?

    Inategemea umekamatwa kwa kosa gani, kwa mfano ukikamatwa kwa makosa ya mauaji, Uhaini, makosa ya kutakatisha pesa, kunajisi, wizi wa kutumia silaha kufanya biashara ya madawa ya kulevya au ugaidi miongoni mwa makosa mengine huwezi kupata dhamana. Ikiwa umekamatwa kwa tuhuma za makosa mengine...
  14. JamiiForums Tanzania Ukizielewa Siasa za Tanzania huwezi kupata tabu. Hongera Rais Samia kwa kuzielewa vyema Siasa za Tanzania, nasema kazi iendelee

    Amani iwe nanyi wadau, Kama nilivyosema kwenye kichwa cha mada yangu hapo juu, Ukizielewa vyema Siasa za Tanzania , huwezi kupata tabu, na kwa siku chache alizokaa madarakani, napenda kusema Mama Samia amezielewa siasa za Tanzania vizuri sana, hivyo napenda kusema wazi, inawezekana kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Wanyama wa Tanzania huenda kupata mimba Kenya kama alivyosema Rais Samia?

    Wanajamvi mwaendeleaje wanangu? Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania. Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana? Je...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kupata simu ya nzuri za iPhone

    Habari zenu wakuu, Naomba msaada wa kujua aina gani ya Iphone ni nzuri ambayo bei yake ni kati ya laki 5 mpka laki 6? Simu ambayo ina storage kubwa (64GB above) na camera yake ni nzuri. Itapendeza zaidi nikipewa chimbo zuri la kuipata Dar. Asanteni.
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini usipokuwa umeoa au kuolewa inakuwa ngumu kupata chumba cha kupanga?

    Kwanini usipooa/olewa ni ngumu kupata chumba cha kupanga? Lakini sio chumba tu; hata nyumba, ajira, na heshima?
  18. JamiiForums Tanzania Nimeanguka chooni leo. Kuna madhara yoyote naweza kupata?

    Leo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni. Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo. Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili? Mshana Jr
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata ribbon za typewriter

    Habari zenu wakuu. Naomba kujua sehemu gani hapa Dar es salaam naweza kupata ribbon za kwenye typewriter maana nimezunguka katika stationary kadhaa sijapata hizi vitu.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina nguvu, angalia walivyozimeza CUF na ACT pia Chadema haijawahi kupata mbunge!

    Unapoizungumzia Zanzibar usiangalie udogo wake kijiografia au idadi ya watu bali tazama maarifa waliyo nayo vichwani mwao. Tanganyika ni kubwa na ina raia wengi lakini ndiko walikojazana walugaluga, washamba wa madaraka na vinara wa ufisadi wa rasilimali za nchi. Hata hivyo Mungu ni mwema kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…