kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa Rais Biden kutojibu maswali ama kukataa kutoa hotuba kwasababu ya afya mbovu?

    Imekuwa ni kawaida sana tangu Biden aingie madarakani huwa hajibu maswali ya kwenye presss na hakuna accountability anayohukua. Pia kufanya speech imekuwa mtihani kwake, hasa pale mazingira yanapokuwa sio rafiki kwa kutumia teleprompter, mfano hapo 9/11 alienda zima moto, pentagon na...
  2. Dead Man

    JamiiForums Tanzania HESLB: Wanafunzi 782 kupata mikopo asilimia 100

    Bodi ya Mikopo kwa elimu ya juu (HESLB) wamesema Wanafunzi 782 kupata mikopo asilimia 100 mwaka huu. Chanzo cha habari: Mwananchi. My take: Hivi hii number ni sahihi kuwa bodi ndio imetoa? Au mwananchi wamejichanganya kwenye kuandika number maana idadi hiyo ni sawa na idadi ya kozi moja kwenye...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kupata ajali mliwezaje kurudi kwenye maisha yenu ya kawaida bila kuweweseka usiku?

    Miaka miwili iliyopita nilisababisha ajali ya barabarani maeneo ya Gairo iliyogharimu uhai wa mmasai mmoja na ng'ombe zake watatu.ila mpaka leo naweweseka sana usiku silali ndoto na reflection za ile ajali bado zinanitesa, mliowahi kukutana na changamoto kama hii mliwezaje kurudi sawa.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kwa zile pasi nilizoziona Dar, kule kijijini kwao River Plate tunaenda kupata msiba mzito

    Mimi mwanayanga ile zile pass zimenitisha. Wale jamaa kila mtu anajua kupiga pasi na ikafika. Jana refa alikuwa wetu. Na kama mnavyojua mpira wa africa kila mtu anabebwa na refa akiwa kwake, sasa nawaza zile pasi kule kijijini kwao port hotcourt river state itakuwaje. Manara kwa kwelii...
  5. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa Wanafunzi wa Vyuo vya Kati kupata mkopo

    Habarini wana jamii. Katika kada ya Elimu hususani vyuoni Kuna umuhimu mkubwa wa wanafunzi wa vyuo vya Kati kuwekwa katika bajeti ya kupata mkopo. Jumla ya wanafunzi katika vyuo vya kati au vyuo vya ufundi hujitegemea kwa kiwango kikubwa katika kujihudumia kuanzia malazi, makazi hata malipo ya...
  6. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata Rais mnyenyekevu, Mpole, Msikivu, Mtulivu na mwenye hofu ya Mungu

    ==== Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata :- 1. Rais Mnyenyekevu kama huyu, 2. Rais Mpole kama huyu, 3. Rais Msikivu kama huyu, 3. Rais Mtulivu kama huyu 4. Rais Mwenye hofu ya Mungu kama huyu 5. Rais Mkarimu kama huyu 6. Rais Mzalendo kama huyu 7. Rais Jasiri...
  7. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uchovu kupitiliza, mwili kupata ganzi nikikaa kwa muda mrefu

    Assalam wana jamvi, nina tatizo ambalo naombeni mnisaidie, hii kwa sasa si kawaida, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 sasa, ni mwajiriwa katika taasisi binafsi kwa muda wa miaka minne sasa, sijaoa japo nina mpenz ambae yupo mkoa mwingine. tatizo langu ni uchovu uliopitiliza, yaani...
  8. msovero

    JamiiForums Tanzania Walimu kuajiriwa na TSC badala ya Wizara kunaenda kutengeneza rushwa, undugu na kujuana kwenye ajira. Rais litazame hili linaenda kukuharibia

    Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi ameiagiza tume ya utumishi wa walimu 'TSC' kuandaa utaratibu wa kuanza kuajiri walimu kupitia halmashauri kwa niaba ya wizara ya ofisi ya Rais-Tamisemi. Japo utaratibu wa kuomba hizo ajira bado haujafahamika lakini nadhani maombi yatakuwa yanatumwa moja...
  9. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wafanyakazi wote wa Serikali watakiwa kupata chanjo, la sivyo wajiuzulu

    Wafanyakazi wa Serikali nchini Zimbabwe wametakiwa kupata chanjo ya COVID-19, vinginevyo wametakiwa kujiuzulu. Waziri wa Katiba wa Nchi hiyo, Ziyambi Ziyambi amekiambia kituo cha Redio cha Kibinafsi nchini humo, ZiFM Stereo, kuwa Wafanyakazi wa Umma wana wajibu wa kuwalinda wengine dhidi ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19 haiondoi uwezo wa kupata watoto

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa nchini Marekani (CDC) imesema kuwa ikiwa unajaribu kupata ujamzito sasa au baadaye, unaweza tu kupata chanjo ya COVID-19 inayopatikana katika eneo lako kwani ushahidi kwamba chanjo ya COVID-19 husababisha shida yoyote kwa mchakato wa kupata ujauzito au...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Anayeweza kunipa connection ya kupata aina hii ya magari

    Kwa yeyote anaejua mtu au mahali ambapo wanauza magari aina ya "Mercedes-Benz G-Class" au "Gelandwagen" kama linavoonekana hapo chini naomba anisaidie kuna mtu anafanya biashara ya kuyanunua hata kama yakiwa ni mabovu "Wrecked". Mobile Number: 0783 242247 & 0621 703279
  12. Mr Excel

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata TIN Certificate ya taasisi (Registered NGO)?

    Habari za Asubuhi Naomba mnisaidie utaratibu ili niweze kupata TIN certificate. Kwa ajili ya Organization imesajiliwa kisheria ngazi ya Kitaifa. Ahsante.
  13. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Unatafuta "Connection"? Hizi ni mbinu tano (5) za kijanja na akili zitakazokusaidia kupata "Connection" ya kazi

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Tatizo "connection" umekuwa ni wimbo ambao unaimbwa na vijana wapambanaji wa mtaani, wahitimu wa vyuo, wasanii na watu mbalimbali kuwa ni moja ya kikwazo kinachowachelewesha wao kupata kazi au kufanikisha jambo fulani. Ni kweli kuwa "connection" ina mchango...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lasaidia Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo

    Huu ni mwaka wa nane tangu China itoe pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja”. Katika kipindi hicho, ujenzi wa miradi ya ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kutokana na pendekezo hilo umepamba moto, na kusaidia nchi za Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo ya uchumi. Hali...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani naweza kupata mkopo wa biashara?

    Naomba mwenye ufafanuzi wa namna ya kupata mkopo kuanzia kiwango cha 10m na kuendelea wa biashara na riba yake per one year anisaidie au anipe ufafanuzi ili niweze angalia kama naweza kufanikiwa kuongeza mtaji
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyewahi kupata mapenzi humu?

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kuna waliowahi kukutana humu na kuwa wapenzi ukweli ukweli?
  17. Diwani

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kupata hati ya kusafiria (passport)

    Habari ya muda huu wa kuu, nina ugeni kidogo na hatua za kufuata kupata hati ya kusafiria. Naomba anayejua anisaidie mimi na wenzangu tusiojua ABC za namna ya kupata passport. NB; daraja lolote. Natanguliza shukrani.
  18. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada niweze kupata kazi🙏🙏

    Jaman watu wa Mungu naombeni msaada wenu tafadhal mtaa unazidi kuwa wa moto naombeni mnisaidie nipo tayari kufanya kazi yoyote,mahari popote na kwa ujira wwt ili mradi mkono upate kwenda kinywani Naombeni msaada wenu tafadhal ndugu zang naamin kupitia jukwaa hili naweza kupata msaada NATANGULIZA...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Waliochoma Sinovac watakiwa kupata J&J ili kwenda Hijja

    Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amesema wanaotaka kwenda Hijja ambao wamechoma chanjo ya Sinovac wanatakiwa kuchoma tena chanjo ya Johnson & Johnson kwa sababu Saudia haiitambui chanjo ya Sinovac Sinovac ilianza kutolewa Zanzibar July 23, 2021 kwa kuwa ilikuwa imepitishwa na...
  20. Noel Leonard Mgeni

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata Mawasiliano ya Morogoro College of Health Science

    Za majukumu wakuu? Ninaomba msaada wa mawasiliano ya chuo cha Morogoro College of Health Science cha Morogoro niweze kupata joining instructions forms zao. Ninatanguliza shukrani sana.
Back
Top Bottom