#COVID19 Chukua tahadhari zote za Covid-19 hata baada ya kupata chanjo

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
tahadhari.jpg

Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa unapopata Chanjo za COVID-19 hazidhibiti mwili kutopata #COVID19 kwa mara nyingine. Chanjo zinaepusha mwili kupata homa kali na vifo vitokanavyo na COVID-19.

Baada ya kuchanjwa unapaswa kundelea kuchukua tahadhari zote kama kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa mara na kujiepusha kukaa kwenye mikusanyiko.

Kufanya hivyo kutasaidia kupunguza kasi usambaaji virusi hivyo.
===

Even after you’re vaccinated, keep taking precautions

While a COVID-19 vaccine will prevent serious illness and death, we still don’t know the extent to which it keeps you from being infected and passing the virus on to others. The more we allow the virus to spread, the more opportunity the virus has to change.

Continue to take actions to slow and eventually stop the spread of the virus:
  • Keep at least 1 metre from others
  • Wear a mask, especially in crowded, closed and poorly ventilated settings.
  • Clean your hands frequently
  • Cover any cough or sneeze in your bent elbow
When indoors with others, ensure good ventilation, such as by opening a window
 
Mpaka mje mutuambie kazi ya chanjo ni nini maana kama unachanjwa halafu bado unachukua tahadhali zote kama mimi ambaye sijachanjwa maana yake chanjo ina kazi nyingine.

Kwa upande mwingine Gwajima inawezekana yuko sawa.
 
mpaka mje mutuambie kazi ya chanjo ni nini maana kama unachanjwa halafu bado unachukua tahadhali zote kama mimi ambaye sijachanjwa maana yake chanjo ina kazi nyingine ...

kwa upande mwingine Gwajima inawezekana yuko sawa ....
Si umeambiwa hapo mkuu kazi yake ni kukuepusha na mwili kupata homa kali na vifo vitokanavyo na kovidi 19 lakini haikuzuii wewe kupata kovidi 19 au hili sio la muhimu kwako?
 
Hivi walio choma wanajiskiaje kuona bwana UVIKO anachanja mbuga kuji update kila siku, nyie mlichoma kipind ka covid bado ka chalii sasa hiv naskia kuna wimbi ilo sio poa, mimi nasubiri latest version ya huyu mdudu ndio nione itakuaje (sijasema ntachomwa chanjo)

Watu na ma vaccine yenu kwa sasa ni kama mnatumia Samsung Galaxy j1 wakati sasa hivi covid imefikia samsung ultra 21(macho 3+) stay updated amigos go and update your immune system with new injection
 
Leo Biden huko, ameamua kuwapa vitasa watu wabishi kama nyie, sasa karibia watu wote huko US, ni lazima kupata chanjo, hadi watoto wa kuanzia miaka 12, kwani kwa ubishi wenu mnazitia serikali mizigo tu ya kuwatibu , kwani kwa sasa huko US, wabishi wa chanjo ndio wengi wako hoi mahospitalini!!kwa kampuni yoyote binafsi yenye wafanyakazi zaidi ya mia, chanjo ni lazima, kwa mkandarasi yoyote anayetaka kufanya kazi na serikali kuu, lazima watumishi wake wachanje!!!ni suala la muda tu.
 
Kwa mkakati huu wa biden sasa, dunia nzima ndio unakuja, huwezi kukaa na majitu ambayo , unaambiwa kuwa unapopata chanjo hata ukipata covid 19, hutakuwa hoi sana kama ambaye hajapata, unasema sitaki, ila ukiupata mzigo kwa serikali tena, nisaidieeni nakufa"mfano huko malawi hadi chanjo zinaenda kuisha muda wake , kisa watu hawajitokezi!!ningekuwa mimi natumia tu ile approach ya rais wa ufilipino kuwa kama huchanji ni marufuku kutoka ndani kwani ni tishio kwa wenzako!!au kama ni Tz, unawaambia tu sasa maambukizi ni makubwa sana tunakoenda tutaweka lock down, uone kwani ambao hawataki chanjo wengi ni wale wazee maisha ya chini, atoke ndio nyumbani wale!!sasa umwambie kuna lock down inakuja!!unataka afe
 
Kwanza lockdown haijawahi kuwa suluhisho la kuzuia kuenea kwa huu ugonjwa,

Tafakari: ugonjwa ulipoibuka nchi kadhaa ziliweka lockdown, mpaka sasa hakuna dawa iliyopatikana na lockdown zimeondolewa karibu asilimia 90, utasema chanjo ndio imesaidia kupunguza vifo (maybe) lakini je? Nchi ambazo hazikuweka raia wake ndani, zina hali gani kwa sasa? Wamekufa wote? Wamezidi idadi ya vifo zile nchi zilizoweka raia wake ndani? Ukisha tafakari hayo, pata muda pia wa kumfikiria yule ambaye ameamua kuongeza kinga yake ya mwili kwa vyakula asilia pasina kutumia chanjo.

Utagundua kuwa mawazo ya mtu binafsi yanatakiwa kuheshimiwa katika hili, ikiwa chanjo inaongezea kinga ya mwili uwezo wa kupambana na kirusi hiki, na vyakula asilia pia vinafanya kazi hii, basi wanaotaka kuchomwa wachomwe (huenda hawaamini katika tiba asilia). Na ambao hawataki waheshimiwe mawazo yao pia. Remember you are what you eat, if you feed more of Western propaganda yo become propagandalized by them. Being the hosts of the virus, doesn't justify everything that they say.

If they could let us (AFRICANS) help them with their disease (since they failed to control it from its very eruption) the world would be a nice place,. Lakini hizi habari za kalikwenda na kurudi kakawa delta force na kubadilika tena ni ujinga
 
mpaka mje mutuambie kazi ya chanjo ni nini maana kama unachanjwa halafu bado unachukua tahadhali zote kama mimi ambaye sijachanjwa maana yake chanjo ina kazi nyingine ...

kwa upande mwingine Gwajima inawezekana yuko sawa ....
Ni kwa ajili ya kudhibiti maambukizi mapya
 
Si umeambiwa hapo mkuu kazi yake ni kukuepusha na mwili kupata homa kali na vifo vitokanavyo na kovidi 19 lakini haikuzuii wewe kupata kovidi 19 au hili sio la muhimu kwako?
Kumbe chanjo hiyo haifanyi kazi inayodhaniwa inafanya... FIKIRIA
1. Chanjo ya ndui ilikuwa inaondoa ndui
2. Chanjo ya pepopunda nayo hivyo hivyo
etc

Lakini chanjo hii haisemi na korona, bali dalili zake
 
Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa unapopata Chanjo za COVID-19 hazidhibiti mwili kutopata #COVID19 kwa mara nyingine. Chanjo zinaepusha mwili kupata homa kali na vifo vitokanavyo na COVID-19.

Baada ya kuchanjwa unapaswa kundelea kuchukua tahadhari zote kama kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa mara na kujiepusha kukaa kwenye mikusanyiko.

Kufanya hivyo kutasaidia kupunguza kasi usambaaji virusi hivyo.
===

Even after you’re vaccinated, keep taking precautions

While a COVID-19 vaccine will prevent serious illness and death, we still don’t know the extent to which it keeps you from being infected and passing the virus on to others. The more we allow the virus to spread, the more opportunity the virus has to change.

Continue to take actions to slow and eventually stop the spread of the virus:
  • Keep at least 1 metre from others
  • Wear a mask, especially in crowded, closed and poorly ventilated settings.
  • Clean your hands frequently
  • Cover any cough or sneeze in your bent elbow
When indoors with others, ensure good ventilation, such as by opening a window
Yaani akili zetu zimekuwa maji kabisa, sijui hii Covid Cult imetufanya nini.Nimechanjwa, bado nichukué tahadhari zote, none sense, hiyo siyo chanjo ninayo ijua, huu ni utapeli mtuopu!
 
Si umeambiwa hapo mkuu kazi yake ni kukuepusha na mwili kupata homa kali na vifo vitokanavyo na kovidi 19 lakini haikuzuii wewe kupata kovidi 19 au hili sio la muhimu kwako?
hujaona kua usipochukua tahadhali zote hayo yote ni halali yako ?

kazi ya chanjo ni nini ?
 
sasa iki
Leo Biden huko, ameamua kuwapa vitasa watu wabishi kama nyie, sasa karibia watu wote huko US, ni lazima kupata chanjo, hadi watoto wa kuanzia miaka 12, kwani kwa ubishi wenu mnazitia serikali mizigo tu ya kuwatibu , kwani kwa sasa huko US, wabishi wa chanjo ndio wengi wako hoi mahospitalini!!kwa kampuni yoyote binafsi yenye wafanyakazi zaidi ya mia, chanjo ni lazima, kwa mkandarasi yoyote anayetaka kufanya kazi na serikali kuu, lazima watumishi wake wachanje!!!ni suala la muda tu.
we hujaona pamoja na yote kama hutachukua tahadhali zote inakula kwako ?

swali ni lile lile : kazi ya chanjo ni nini ?
 
Back
Top Bottom