Nina generator yangu ambayo siitumii sana; kuna kipindi ili kaa karibu mwaka mzima bila kutumika. Kuja kufungua nikakuta petrol imeharibika na kugandiana kiasi kwamba iliharibu mpaka carburetor, ikabidi kubadilisha.
Katika soma soma mitandaoni nikakuta kuna fuel stabilizer ambazo zinaweza...
Gwajima leo nimemfatilia nimegundua hapa hakuna mtafiti ni utopolo na ujinga na sifa mdio vinamsumbua
Ibada nzima ilikua ni sifa kwa Rais samia tu, means ameshashtuka kuona ibada ilivyopita alimdhihaki sana lakini samia kapiga kimya
Mchungaji kaanza kupiga u-turn taratibu, ibada iliyopita...
Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika.
Kwa Ufafanuzi mzuri nilioupata kutoka kwa Mwanamama na Daktari Nguli Seche Malecela ( Mtoto wa Waziri Mkuu...
Wakuu habari za siku nyingi,
Nimeshtukia hii kitu sana mtu kupata virusi vya corona kupitia vinywaji Kama soda au bia kupitia njia ya wahudumu.
Umevaa barakoa vizuri kabisaaa, una nawa mikono n.k,
Ukienda bar unavua barakoa una agiza bia ata ukiwa peke yako. Muhudum akija anakufungulia ile...
Ndugu zangu maisha kwa kijana mimi yamekuwa changamoto. Natamani nirudishe mpira kwa kipa lakini imani inanijia kesho ni bora kuliko leo. Nisikate tamaa.
Najua ni wengi tunapita katika kipindi kigumu, tupige moyo konde tusije jiingiza kwenye dili haramu tukajikuta kwny mikono salama..
Nimekaa...
Habari zas sasa,
Naomba kujua kutoka kwa wabobezi humu, wapi hapa Dar naweza kupata motor/mashine nzuri kwa ajili ya kusaga na kukoboa nafaka? Aina ipi ya ya motor, na vifaa vingine associated ni bora zaidi? Bei ni kiasi gani, na duka gani ambalo halina vifaa fake na la kuaminika naweza...
Yule mchezaji alievunjika miguu na jeshi la Polisi kumtelekeza
Akiongea na Hili Game ya Clouds FM Dada wa Mgonjwa aitwaye Rabeka Mdamu amesema kuwa Jeshi la Polisi halijasaidia chochote kwenye matibabu ya mchezaji huyo wa timu ya polis Tanzania aliyeumia akiwa kazini. Aliongeza kuwa familia...
Ninashida na kitabu cha someni kwa furaha 2B kile chenye hadithi ya Bulicheka. Na kitabu cha Alfu Lela Ulela(Ile tafsiri ya zamani achana na hii mpya ya Mkuki na nyota) vitabu vyote vinne. Ukivipata viscan na kunitumia scan yake.
Hicho someni kwa furaha ntalipia 10,000 na hivyo Vya alfu lela...
Nampongeza Rasi na Waziri wa Afya kwa kufanikisha upatikanaji wa chanjo ya covid 19 angalau dose 1,000,000 sio haba. Kwa kuwa kila Ofisi ya Umma huanzishwa kwa mujibu wa sheria/Katiba na kwa kuzingatiakuwa kila Kiongozi huapa kuilinda, kuihifadhi na kuitetea Katiba ya Tanzania ya 1977...
Naomba leo tuzungumze namna tofauti Za kupata mtaji kwakuwa kuna changamoto Sana kwa Wau wengi wanaotaka kufanya biashara kupata fedha Za kuanzia. Napenda tuangalie namna na mbinu unazoweza kuzitumia kufikia malengo yako Ya biashara
Mbinu ya Kwanza naweza kuelezea ni ni kuhifadhi pesa hii ni...
Wana bodi,
Mengi yamejadiliwa kuhusu kukamatwa kwa kiongozi wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mashtaka ya ugaidi yanayo mkabili.
Je, uanaharakati tunaoushuhudia haswa kutoka kwa wapinzani unaweza kudumu kwa muda mrefu na kuleta mabadiliko ya aina yoyote?
Mchakato wa kupata katiba mpya miaka...
Katika hali isiyo ya kawaida maisha ya mwanadamu hasa mtanzania yanazidi kuwa magumu sana. Huku anadaiwa kodi ya nyumba na kuiendeleza familia na ndugu zake, huku anatakiwa kushiriki michango mbalimbali ya serikali ya kijiji, huku michango ya msikitini na makanisani inamsubiri yeye, huku mambo...
Inashangaza na kusikitisha lakini ni kweli. Serikali imekuwa ikijiita sikivu lakini nyuma ya pazia masuala mengi tu yanayohitaji public opinion kabla ya yamekuwa yakitekelezwa kienyeji.
Tozo miamala ya simu
Chanjo ya korona
Kitabu cha historia ya tanzania
Ununuzi wa ndege
SGR
endelea...
Kwa...
Serikali imesema kuwa wasanii wa ngoma za asili wanatakiwa kujisajili kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya ili waweze kupata fedha za Mfuko wa Utamaduni na Sanaa ambapo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 mfuko huo umetengewa bilioni 1.5.
Kauli hiyo imesemwa Julai 24, 2021 na Mkurugenzi Msaidizi...
Wasalaamu wana JF
Hata majumbani mwetu kuna miiko, hauwezi kupata mgeni na siku hiyohiyo unamkaribisha mpaka chumbani, Kuna matazamio na utaratibu maalum.
Kitendo cha Chandema kupata wahamaji kutoka CCM na siku hiyo hiyo kufanywa kuwa viongozi wa meza kuu Chandema na kuruhusu kufahamu mipango...
Hbari waja-Jamii Forum,
Nakuja kwenu kuomba msaada wa uzoefu kwa wale ambao tayari wamepita huko, kupata VISA ya US hususani kwa mtu anae kwenda kusoma nje (USA), Nachotaka kufahamu ni challenge kubwa huwa ni eneo gani na namna ya kukabiliana nayo. Kwangu nina issue mbili ambazo hasa nahitaji...
Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!”
kwangu hiyo si shida shida inakuja kuwa unataka ushahidi wa nini? ili ugundue nini yani
(1) Umemchoka unataka kumuacha lakini huna ushahidi unataa ukishajua umuambie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.