kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Thailand

    SoC01 Nini kifanyike Serikali iweze kupata pesa baada kuachana na hii tozo kandamizi na wapi pa kuwekeza

    Katika hali isiyo ya kawaida maisha ya mwanadamu hasa mtanzania yanazidi kuwa magumu sana. Huku anadaiwa kodi ya nyumba na kuiendeleza familia na ndugu zake, huku anatakiwa kushiriki michango mbalimbali ya serikali ya kijiji, huku michango ya msikitini na makanisani inamsubiri yeye, huku mambo...
  2. I

    Kwanini Serikali hufanya mambo nyeti bila kupata public opinion?

    Inashangaza na kusikitisha lakini ni kweli. Serikali imekuwa ikijiita sikivu lakini nyuma ya pazia masuala mengi tu yanayohitaji public opinion kabla ya yamekuwa yakitekelezwa kienyeji. Tozo miamala ya simu Chanjo ya korona Kitabu cha historia ya tanzania Ununuzi wa ndege SGR endelea... Kwa...
  3. Analogia Malenga

    Wasanii Wa Ngoma Za Asili Watakiwa Kujisajili Kupata Fedha Za Mfuko Wa Sanaa

    Serikali imesema kuwa wasanii wa ngoma za asili wanatakiwa kujisajili kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya ili waweze kupata fedha za Mfuko wa Utamaduni na Sanaa ambapo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 mfuko huo umetengewa bilioni 1.5. Kauli hiyo imesemwa Julai 24, 2021 na Mkurugenzi Msaidizi...
  4. A

    Niliacha chuo mwaka wa tatu, je naweza kupata hata cheti?

    Niliacha chuo kikuu mwaka wa tatu kozi yenye miaka minne.Je kuna uwezekano nikapata hata cheti kwa miaka hiyo mitatu?
  5. P

    Chama chochote kikipata wahamiaji, hasa kutoka CCM na kuwatanya kuwa viongozi wakuu katika chama, mavuno yake yanauma sana!

    Wasalaamu wana JF Hata majumbani mwetu kuna miiko, hauwezi kupata mgeni na siku hiyohiyo unamkaribisha mpaka chumbani, Kuna matazamio na utaratibu maalum. Kitendo cha Chandema kupata wahamaji kutoka CCM na siku hiyo hiyo kufanywa kuwa viongozi wa meza kuu Chandema na kuruhusu kufahamu mipango...
  6. KasomaJr

    Msaada kwa mwenye uzoefu kupata US- Visa

    Hbari waja-Jamii Forum, Nakuja kwenu kuomba msaada wa uzoefu kwa wale ambao tayari wamepita huko, kupata VISA ya US hususani kwa mtu anae kwenda kusoma nje (USA), Nachotaka kufahamu ni challenge kubwa huwa ni eneo gani na namna ya kukabiliana nayo. Kwangu nina issue mbili ambazo hasa nahitaji...
  7. Ethan Cruz

    Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!”

    Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!” kwangu hiyo si shida shida inakuja kuwa unataka ushahidi wa nini? ili ugundue nini yani (1) Umemchoka unataka kumuacha lakini huna ushahidi unataa ukishajua umuambie...
  8. Dead Man

    SoC01 Mbinu za kupata mafanikio kwenye masomo

    Mbinu za kupata mafanikio kwenye masomo fanya haya 1. MTANGULIZE MUNGU KATIKA MASOMO YAKO. Hili ndio jambo kubwa katika mafinikio ya kielimu.Mungu ndio kila kitu,hakikisha unajenga tabia ya kuombea masomo yako kila siku na kila mara,kila siku unapoamka asubuhi kabla ya kwenda shule au chuo piga...
  9. The Assassin

    Waziri wa Afya wa Uingereza augua Covid-19 baada ya kupata chanjo

    Waziri wa afya wa uingereza amepata ugonjwa wa covid 19. Waziri huyo tayari amepata chanjo yote ya covid 19 kma inavyotakiwa lakini bado ameugua covid 19. Ni cases nyingi kama sio zote ambazo watu waliochanjwa bado wanaugua ugonjwa wa Covid 19. Swali la kujiuliza, inakuaje mtu amepata chanjo...
  10. Prof Koboko

    Ujumbe kwa wadai katiba mpya wote: Hakuna njia rahisi ya kupata katiba duniani

    Katika hili naomba nieleweke kabisa kwamba katiba mpya si mali ya CHADEMA wala wanaharakati, ni mali ya watanzania wote wakiwemo wanachama wote wa CCM. Tusisikilize watu wachache wa taifa hili ambayo wanasema hakuna haja ya katiba sijui tusubiri kwanza. Niwaambie wote tunaopigania katiba mpya...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Wanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa

    Wanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa. Lakini na ninyi nisaidieni jinsi ya kutuma hiyo elfu 30 kwenda loan board kwa MPESA
  12. Patriarch

    Kwa ufaulu huu, je anaweza kusoma degree pharmacy na kupata mkopo asilimia 100%?

    Wasaalam, Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata mkopo asilimia mia.. Kama sivyo je course gani nzurii yenye channels za kujiajiri na kuajiriwa...
  13. ommytk

    Nimeanza kupata mashaka na vitu ambavyo vimefungashwa tayari kwenye utimilifu aidha kilo au lita

    Wadau naanza kuwaza ukienda kununua vitu vilivyokuwa tayari ndani vifungashio tupimiwe tena nimenunua sukari kg 25 yaani nyepesi ata mjukuu wangu anaibeba mafuta lita 20 aisee unainua na kidole gesi hizi za kuletewa nyumbani na pikipiki nazo wiki imeisha yaaani tambi pakti moja njiti mia...
  14. simon baker

    Naomba ushauri wa jinsi ya kupata hati ya kiwanja

    Habari, Mimi ni mgeni sekta hii ya ardhi maana nimeishi miaka bila kubahatika kujenga wala kununua nyumba.. Sasa kilichonipelekea kufungua Uzi huu nimefiwa na mama yangu mzazi na alikuwa ana nyumba Temeke...hakuwa na hati ya eneo maana aliipangisha tu...document zilizopo ni za kulipia Kodi ya...
  15. A

    Kwa matokeo haya naweza kusoma Medicine?

    Kwa matokeo haya je naweza kupata medicine hata vyuo vya private ukizingatia pia competition Physics D Chemistry C Biology D Bam C
  16. HISTAMINE

    Msaada wa kupata mawasiliano ya msanii Juma Kassim 'Nature'

    Kama kichwa kinavyojieleza, naomba mni-pm mawasiliano ya J. Nature kwaajili ya shida binafsi. Zaidi ya yote ni moja ya wasanii wakongwe ninao wakubali sana.
  17. Liverpool VPN

    Mtumishi wa Umma anawezaje kupata ajira kwenye International organisations kama UN, SADC, AU, EAC

    Bandugu salama? Nadhani humu nitapata jibu la jambo langu ambalo limekuwa likinisumbua kwa miaka. Mimi ni mtumishi wa Umma wa Halmashauri mwenye miaka 31. Niliajiriwa 2012 (nikiwa na Diploma, nikawa Afisa mdogo sana (uongozi wangu ulikuwa ndani ya kata). 2013 nikaenda Shule na kupata...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Kwa matokeo haya anaweza kupata medicine?

    Kwa matokeo haya anaweza kupata medicine? Division one ya 9 G/STUDIES - 'D' PHYSICS - 'B' CHEMISTRY - 'C' BIOLOGY - 'D' BAM - 'C'
  19. 2

    Msaada wa kupata control number kwenye kujisajili loans board (helsb) 2021/22

    Ndugu zangu mwenye kujua anisaidie maana mimi najaribu ila sipati control number kwaajili ya kufanya malipo, tangu asubuhi mpaka usiku huu.
  20. P

    Tuanze na hoja ya kuondoa kinga kwa mihimili yote

    Kwa mfumo uliopo in ngumu kupata katiba mpya na bora kabisa kama hatutakuwa na ajenda ya kwanza kupeleka mswada wa dharula bungeni kuondoa vipengele vya KINGA. KINGA zikiondolewa hata hii katiba iliyopo itaheshimika.
Back
Top Bottom