kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: CDC yapendekeza wajawazito kupata chanjo ya Covid-19

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimesema Wanawake Wajawazito wanaweza kupata Chanjo dhidi ya COVID19 ikisema hakuna hofu yoyote ya usalama wao katika Uchambuzi mpya uliofanyika. CDC imesema inatambua kauli kuhusu uzazi ambazo zimekuwa zikisambaa, lakini maneno hayo hayana ushahidi...
  2. JAMBONIA LTD

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitaka kusoma Open University Tanzania (OUT) lazima kupata ruhusa ya Muajiri?

    Habari wakuu, Naomba kujua ukiwa mtumishi wa serikali na ukataka kujiendeleza kupitia Open University of Tanzania ambapo bado utaendelea na majukumu yako ya kazi, ni lazima uombe barua ya ruhusa ya mwajiri ya kujiendeleza kimasomo? Au unaweza kupiga kimya kimya tu haiana haja kama ya wale...
  3. ndenjii handsome

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kupata hela yangu bora uje na njia ya kunitapeli kuliko kuniomba

    Kuna jamaa yangu alikuja kuniomba shilingi 50000 nikamuuliza una shida nayo ipi kiufupi hakuwa na jibu la maana maelezo yalikuwa mengi sio siri nikamwambia sina kumbe hela ipo ila hakunishawishi kumpatia. Alafu kuna mwingine alikuja kwangu ana kiwanja anauza tukaenda kukicheki akanionyesha kila...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Tyre cover la Gari aina ya RAV 4 kill time

    Wanabodi. Niende moja kwa moja kwenye mada. Natafuta tyre cover ya gari aina ya RAV 4 kill time, milango 5. kwa yeyote anaye uza au kujua zinapo patikana naomba anifahamishe! Asante.
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kama aliyepita alipigwa muhuri wa udikteta akaanguka, jina la Jezebel linaanza kupata umaarufu taratibu hiyo ni ishara mbaya

    Kama kawaida yetu sisi wapenda nchi hii kwa uzalendo usio na Shaka. Tunakuja Tena na maonyo ya kuonya na kuwakumbusha watawala. JINA LA UDIKTETA ALIWEKEWA NALO MUHURI ALIEPITA MPAKA AKAFA NALO. JINA LA JEZEBEL LINAANZA KUPATA UMAARUFU NA WASIOSOMA BIBLIA SASA WANAANZA KUMTAFUTA JEZEBEL ALIKUWA...
  6. mama D

    JamiiForums Tanzania Mama aliyezaa watoto7 akimbiwa na wanawe, aishia kutunzwa na mjukuu wa miaka8 - Kuzaa ni kitu kimoja na kupata furaha ya uzao wako ni kitu kingine!

    Mama amezaa watoto7 lakini hana hata wa kumjulia hali, tena katika maradhi yanayomsibu. Hivi kweli waafrika wa Tanzania tumefikia hatua ya kushindwa kulea wazazi wetu!? Yaani hii ni kinyume kabisa na mila na desturi zetu. Mgonjwa kiasi hiki kutelekezwa na watoto wake wa kuzaa! Inaumaaaa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Watanganyika na Wazanzibar, muda wa kupata Katiba Mpya na Tume Huru ni sasa

    Mwaka huu na ujao 2022 katiba ni lazima ipatikane CCM wakitaka wasitake na kama hawataki wakae pembeni maana saa mbaya! Umma umeanza kuiva na uvumilivu juu ya genge la CCM lililojipenyeza kwenye vyombo vya dola sasa upo wazi na wanaofaidika na hayo si wengine ni wale walio juu ya mstari viongozi...
  8. Nyikanavome

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza nitaweza kupata wapi fuel [petrol] stabilizer hapa Dar es salaam?

    Nina generator yangu ambayo siitumii sana; kuna kipindi ili kaa karibu mwaka mzima bila kutumika. Kuja kufungua nikakuta petrol imeharibika na kugandiana kiasi kwamba iliharibu mpaka carburetor, ikabidi kubadilisha. Katika soma soma mitandaoni nikakuta kuna fuel stabilizer ambazo zinaweza...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anawapumbaza kondoo wake, muda si mrefu atachoma chanjo

    Gwajima leo nimemfatilia nimegundua hapa hakuna mtafiti ni utopolo na ujinga na sifa mdio vinamsumbua Ibada nzima ilikua ni sifa kwa Rais samia tu, means ameshashtuka kuona ibada ilivyopita alimdhihaki sana lakini samia kapiga kimya Mchungaji kaanza kupiga u-turn taratibu, ibada iliyopita...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye asthma, anaweza kupata chanjo Johnson

    Mgonjwa wa asthma, anaweza kupata madhara ya Chanjo ?
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kumsikiliza na Kumuelewa vyema Dk. Seche Malecela, Kesho najipeleka mwenyewe Kupata Chanjo yangu ya UVIKO 19 niwe salama zaidi

    Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika. Kwa Ufafanuzi mzuri nilioupata kutoka kwa Mwanamama na Daktari Nguli Seche Malecela ( Mtoto wa Waziri Mkuu...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuvaa barakoa nahisi mtu anaweza kupata virus vya Corona kupitia vinywaji vya kwenye cafe au bar

    Wakuu habari za siku nyingi, Nimeshtukia hii kitu sana mtu kupata virusi vya corona kupitia vinywaji Kama soda au bia kupitia njia ya wahudumu. Umevaa barakoa vizuri kabisaaa, una nawa mikono n.k, Ukienda bar unavua barakoa una agiza bia ata ukiwa peke yako. Muhudum akija anakufungulia ile...
  13. Planeti

    JamiiForums Tanzania Wakuu nawezaje kupata kazi ya CASINO hapa Dar

    Ndugu zangu maisha kwa kijana mimi yamekuwa changamoto. Natamani nirudishe mpira kwa kipa lakini imani inanijia kesho ni bora kuliko leo. Nisikate tamaa. Najua ni wengi tunapita katika kipindi kigumu, tupige moyo konde tusije jiingiza kwenye dili haramu tukajikuta kwny mikono salama.. Nimekaa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wapi hapa Dar naweza kupata motor/mashine bora zaidi za kusaga nafaka?

    Habari zas sasa, Naomba kujua kutoka kwa wabobezi humu, wapi hapa Dar naweza kupata motor/mashine nzuri kwa ajili ya kusaga na kukoboa nafaka? Aina ipi ya ya motor, na vifaa vingine associated ni bora zaidi? Bei ni kiasi gani, na duka gani ambalo halina vifaa fake na la kuaminika naweza...
  15. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Gerald Mdamu inadaiwa kutelekezwa na Polisi Tanzania baada ya kupata ajali; Ni aibu Tafadhali IGP ingilia kati

    Yule mchezaji alievunjika miguu na jeshi la Polisi kumtelekeza Akiongea na Hili Game ya Clouds FM Dada wa Mgonjwa aitwaye Rabeka Mdamu amesema kuwa Jeshi la Polisi halijasaidia chochote kwenye matibabu ya mchezaji huyo wa timu ya polis Tanzania aliyeumia akiwa kazini. Aliongeza kuwa familia...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nisaidie kupata hivi vitabu halafu tutalipana namna hii

    Ninashida na kitabu cha someni kwa furaha 2B kile chenye hadithi ya Bulicheka. Na kitabu cha Alfu Lela Ulela(Ile tafsiri ya zamani achana na hii mpya ya Mkuki na nyota) vitabu vyote vinne. Ukivipata viscan na kunitumia scan yake. Hicho someni kwa furaha ntalipia 10,000 na hivyo Vya alfu lela...
  17. Patrick Girigo

    JamiiForums Tanzania Haki ya kila Mtanzania kupata Chanjo ya COVI 19 sawa na Ibara ya 12 na 13 za Katiba yetu ya 1977

    Nampongeza Rasi na Waziri wa Afya kwa kufanikisha upatikanaji wa chanjo ya covid 19 angalau dose 1,000,000 sio haba. Kwa kuwa kila Ofisi ya Umma huanzishwa kwa mujibu wa sheria/Katiba na kwa kuzingatiakuwa kila Kiongozi huapa kuilinda, kuihifadhi na kuitetea Katiba ya Tanzania ya 1977...
  18. ommytk

    JamiiForums Tanzania Njia tofauti za kupata mtaji wa biashara

    Naomba leo tuzungumze namna tofauti Za kupata mtaji kwakuwa kuna changamoto Sana kwa Wau wengi wanaotaka kufanya biashara kupata fedha Za kuanzia. Napenda tuangalie namna na mbinu unazoweza kuzitumia kufikia malengo yako Ya biashara Mbinu ya Kwanza naweza kuelezea ni ni kuhifadhi pesa hii ni...
  19. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Uanaharakati katika vita vya kupata Katiba Mpya Tanzania

    Wana bodi, Mengi yamejadiliwa kuhusu kukamatwa kwa kiongozi wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mashtaka ya ugaidi yanayo mkabili. Je, uanaharakati tunaoushuhudia haswa kutoka kwa wapinzani unaweza kudumu kwa muda mrefu na kuleta mabadiliko ya aina yoyote? Mchakato wa kupata katiba mpya miaka...
  20. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Ufaulu wa Div 2.11 PCM kwa DDC, naweza kupata chuo cha serikali kwa engineering?

    Msaada wakuu, Naweza pata MUST, UDOM, n.k Kwa civil au electrical engineer kwa ufaulu huo? Je, naweza soma kozi ipi nzuri nyingine?
Back
Top Bottom