Uko tayari kulipia kupata kadi ya kupiga kura endapo kadi uliyonayo itapotea?

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,281
Kwa mujibu wa kifungu cha 20(2) cha mswada mpiga kura aliyejiandikisha kupiga kura kwa madhumuni ya mswada huu, endapo kadi yake ya kupigi kura itapotea, kufutika au kuharibika atalazimika kufanya maombi ya kuomba kitambulisho kipya kwa afisa mwandikishaji wa eneo husika.

Afisa mwandikishaji baada ya kujiridhisha kuwa maombi tajwa yamekidhi vigezo atampatia mpiga kura huyo kadi mpya baada ya kuwa amelipia ada itakayokuwa imeanishwa na Tume.

Kupiga kura ni haki ya kikatiba iliyoanishwa kwa mujibu wa ibara ya 5 na 21 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, sanjali na mikataba mbalimbali ya kikanda na kimataifa ambayo Tanzania ni nchi mwanachama, ni haki inayoamua hatima maisha ya Watanzania kwa miaka mitano. Hivyo ni haki isiyopaswa kuingiliwa kwa namna yoyote ile na mamlaka za Serikali ikiwemo kuipata kwa njia ya malipo.
 
Jukumu la ulinzi na matunzo makini ya kadi binafsi ya kupiga kura na kadi nyingine zote ulizonazo, mathalani kadi ya benk, vitambulisho, vyeti n.k. ni jukumu la mtu binafsi, japo kadi ya mpiga kura ni nyara muhimu ya serikali.

Ukipoteza kwa bahati mbaya mathalani ktik majanga, ajali, kwa uzembe au kwa makusudi, gharama ya kupata kadi mbadala ni jukumu la aliepoteza, japo ni haki yake.

kwa mfano kadi na fedha zilizopo benki ni haki na mali yako. Ukiipoteza kadi ya benki, basi utagharamia kupata mpya.

Haki huambatana na wajibu, tuwajibike...
 
Kwa mujibu wa kifungu cha 20(2) cha mswada mpiga kura aliyejiandikisha kupiga kura kwa madhumuni ya mswada huu, endapo kadi yake ya kupigi kura itapotea, kufutika au kuharibika atalazimika kufanya maombi ya kuomba kitambulisho kipya kwa afisa mwandikishaji wa eneo husika.

Afisa mwandikishaji baada ya kujiridhisha kuwa maombi tajwa yamekidhi vigezo atampatia mpiga kura huyo kadi mpya baada ya kuwa amelipia ada itakayokuwa imeanishwa na Tume.

Kupiga kura ni haki ya kikatiba iliyoanishwa kwa mujibu wa ibara ya 5 na 21 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, sanjali na mikataba mbalimbali ya kikanda na kimataifa ambayo Tanzania ni nchi mwanachama, ni haki inayoamua hatima maisha ya Watanzania kwa miaka mitano. Hivyo ni haki isiyopaswa kuingiliwa kwa namna yoyote ile na mamlaka za Serikali ikiwemo kuipata kwa njia ya malipo.
Kura ipo hiyo yenye figisu tupu

Wabadilike kwanza.
 
Yangu ikipotea ndio mwisho wa kupiga kura!
 
Yaani nilipie kadi Ya kupigia kura Ya kumpitisha samia kuwa rais. Mtu aliyemteua zero brain kuwa mmoja WA viongozi WA juu kabisaa WA chama!?? Hivi huyu mama nini kimemfanya avutiwe sana na urais kiasi kwamba ameanza kuweka wababe ili kuchukua madaraka Kwa nguvu.. Sisi wengine tulikuwa tunaamini huyu mwanamke atakuwa na huruma na nchi yake.. Tulijua pia alikuwa anaumizwa na mtangulizi wake kutokana na ukatili wake.. Sasa amerejea njia ileile.... Inaumiza Sana!!!
 
Back
Top Bottom