kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Vazi hili unaweza kuja nalo MOI na kupata huduma

  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye fedha, kipato kikubwa, kipato kidogo, wana uhakika wa kupata sex ila sio love

    Mtandaoni wana-hubiri fedha ila ukija kwenye maisha ya kawaida mambo ni tofauti sana 👇👇👇 Ukienda uswahilini utashangaa watu wanamaisha magumu na bado wake zao hawawakimbii ukija mtandaoni unahubiriwa utafute fedha kabla hujaingia kwenye mahusiano au ndoa- sasa mbona huku mtaani watu wanakipato...
  3. M

    JamiiForums Tanzania G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa na Warioba vs Kikwete ilishindikana kupata Tanganyika au Zanzibar huru. Je, kipindi cha Samia tutatoboa ?

    G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa, na Warioba vs Kikwete. Vipindi hivi vitatu vilitikisa mjadala kuhusu mustakabali wa Muungano, lakini hatimaye havikuzaa Tanganyika au Zanzibar huru. Leo tunajiuliza swali lilelile: Je, kipindi cha Samia Suluhu Hassan ndiyo tutatoboa? Je, tutafika kwenye...
  4. bless on

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kwanini Congo haiwezi kupata amani milele

    Simu, tablet, au laptop unayotumia kusoma ujumbe huu hivi sasa. Betri yake inayowaka hapo ndani haingeweza kufanya kazi bila madini mawili ya ajabu: Cobalt na Coltan. Zaidi ya 70% ya madini yote ya Cobalt duniani yanatoka sehemu moja tu: Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)...
  5. Marco Polo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata leseni ya makazi

    Wakuu habar ? Naishi Dar es salaam naomba mwenye kujua jinsi ya kupata leseni ya makazi na gharama zake Kwa ujumla.
  6. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata watoto mapacha?

    Hi guys, Nawezaje kupata watoto mapacha?, ikiwa kuna mtu ana uelewa juu ya jambo hili naomba kufahamishwa tafadhali. Najua humu jukwaani kuna ma great thinkers wa kutosha. Naomba kuwasilisha.
  7. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship linakwenda kupata uamsho wa kipekee sana na litakuwa ni eneo la makimbilio

    Huu siyo unabii ila ni uhalisia, ni jambo ambalo limeshafanyika katika mawanda ya kiroho. Mtumishi wa Mungu Askofu Zachary Kakobe atakuwa na nafasi ya kipekee sana katika uamsho huu. Sina shaka kwa sababu nina uhakika pasi na shaka kuwa na nilichokiona. Kazi ni kwetu tunaosubiria uhalisia...
  8. Tumbili in town

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mkopo wa haraka mtandaoni

    Niaje, kwa wazoefu nawezaje kupata mkopo kwa haraka mtandaoni kwenye application
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je ni wapi naweza kupata bidhaa za electronics za makampuni haya?

    Toshiba Aiwa Grundig Phillips Panasonic Toshiba Hitachi JVC
  10. E

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Sioni uwezekano wa kupata Katiba mpya kufikia 2030, asimulia mawasiliano na Nchimbi kabla ya kuondolewa CCM

    Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema haoni uwezekano wa Tanzania kupata Katiba mpya katika kipindi kifupi kijacho, akionya kuwa nchi inaweza kuingia katika madhara makubwa zaidi ikiwa itafanya uchaguzi mwingine kwa mfumo wa sasa. Jaji Warioba amesema mchakato unaopendekezwa kufikia...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mhitimu wa digrii au diploma ya kodi na bado hujapata ajira wala fursa ya kupata uzoefu wa vitendo, taarifa hii ni kwa ajili yako.

    HALA TAXPRO LAUNCHPAD Programme imeandaliwa mahsusi kwa ajili yako. Ni programu ya kukuongezea ujuzi na uzoefu wa vitendo katika taaluma ya kodi, na haitakugharimu ada yoyote ya mafunzo. Awamu ya kwanza ya programu itahusisha wahitimu 15 pekee, kulingana na idadi ya vitendea kazi vilivyopo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Nimefanikiwa kupata huduma lakini NSSF Ilala Boma Watoa huduma waboreshe Customer Care

    Nilijisajili na NSSF Mwaka 2017 wakati naanza chuo, wasajili walikosea tarehe yangu ya kuzaliwa, nimekuja kugundua na kuanza utaratibu wa kuomba kubadilishiwa ni baada ya kupata ajira Mwaka huu 2026 Februari. Nilivyoanza mchakato katika Ofisi za NSSF jengo la Benjamin Mkapa lilipo Posta ILALA...
  13. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Kupata mtoto ni rahisi kuliko kupata ajira

    ANAANDIKA BICHWA KOMWE 👌 Katika hii jamhuri yetu, na hata kwingine kokote nje ya Tanganyika, ni ukweli ulio wazi kwamba, kupata mtoto ni rahisi sana kuliko kupata ajira ya Tamisemi. Watu wengi hudhani kwamba kupata mtoto inahitaji mikito mingi au kujitutumua na pampu nyingi, LA HASHA...
  14. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Kwa Kariakoo ni duka gani naweza kupata jezi za zamani za clubs?

    Wakuu mambo niaje? Kwa hapa Kariakoo ni duka gani naweza kupata jezi za zamani za clubs za Uingereza kama hizi?
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Dar haiwezi kuwa na bus stand Moja tu, Chalamila amewaza kupata Kodi sio huduma Bora Kwa abiria

    Uamzi wa Chalamila wa juhamishia mabasi yote Stand ya Magufuli ni wa Ovyo mno Kwa geografia na population ya Dar stand ya Magufuli ni ndogo mno na utazidiwa vibaya mno 1. Mtu atoke Vikundu akapande gari la Mtwara Mbezi Magufuli? Kwanini asipande gari Mbagala 2 Mtu anaenda Tanga, Moshi...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Eneo la Kishiri limeendelea kupata huduma kila wiki kadri migao ya maji inavyotekelezwa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyoandikwa ~ Mwezi wa 4 hatuna maji Kishiri - Mwanza, tunanunua dumu Sh 1,000, tunapewa sababu zisizoeleweka. MAJIBU YA MWAUWASA... Habari Mdau wetu, pole kwa changamoto uliyoipata, tafadhali tujuze ni...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Stori za Wanawake wanaojiita High Class Pisi Kali, ni kujadili Jinsi ya kupata waume za watu wenye hela.

    Huu umekuwa kama ulemavu sasa. Kwa kazi yangu ya kukutana na Jamii moja Kwa moja nimekuwa mtu wa kajichanganye kwa watu wa rika zote, jinsia zote, levels zote, maskini, Hali ya Kati na matajiri, pia nimeweza kukutana na socialites, influencers, famous na cerebrilities. Mada zao ni kula bata...
  18. FRJ255

    JamiiForums Tanzania Kampuni kutotoa nafasi za Madereva wapya wa malori kuchangamana na wazoefu, watatoa wapi uzoefu?

    Kwa sasa kumekuwa na ongezeko la mahitaji ya madereva katika kampuni za usafirishaji, hususan madereva wa malori yanayofanya safari za ndani na nje ya nchi. Hata hivyo, kampuni nyingi zinahitaji madereva wenye uzoefu wa angalau miaka 3 hadi 5. Kero yangu ni kwamba baadhi ya kampuni hizi...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tanzania Kuzisaidia nchi za Afrika kupata Uhuru nazo sasa zaisaidia Tanzania

    Ripoti hii si uchunguzi wa kweli; ni jaribio la kisiasa la kuficha nyayo za utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uchaguzi wa Oktoba 2025 ambao, kwa mujibu wa taarifa hii, ulikuwa wa udanganyifu na ulioambatana na ukatili. Naibu Jaji Mkuu wetu anaitwa kushiriki katika Tume hiyo kama...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wapi Arusha naweza kupata shamba kwa bei ya milioni moja kwa ekari?

    Habari wana jamvi. Nahitaji shamba eka 5 linalofaa kwa kilimo cha migomba. Angalau umbali usizidi kilomita 50 kutoka Arusha mjini.
Back
Top Bottom