Msaada wa kupata Kazi, nina elimu ya form four

Msaada wa kupata Kazi, nina elimu ya form four

Pipilomomo

Senior Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
113
Reaction score
194
Habari humu ndani!

Mimi ni mwanamke miaka 29, elimu yangu form four. Natokea dar es salaam(goba).Nilikuwa na uhitaji wa kazi hasa shuleni ninauzoefu nayo,hasa kulea watoto na usafi.Kama kuna mtu ana connection pleas naomba anisaidie.
 
Habari humu ndani!.Mimi ni mwanamke miaka 29,elimu yangu form four.Natokea dar es salaam(goba).Nilikuwa na uhitaji wa kazi hasa shuleni ninauzoefu nayo,hasa kulea watoto na usafi.Kama kuna mtu ana connection pleas naomba anisaidie.
Mawasiliano:
Toa namba yako hapo. Mwenye msaada wasilianeni PM...

Je uzoefu unao wa muda gani? Unalea watoto! Wewe una familia/watoto?
 
kila lenye kheri ila wakati unatafuta kazi ukipata nafasi jifunze na upishi wa vitafunio plus keki, ujuzi huo utakusaidia kwa hao watoto au hata kwa wafanyakazi wenzio na baadae unaweza kujifungulia ka restaurant kazuri sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom