kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kwa ujuzi ulionao, utamsaidiaje muajiri wako kupata faida?

    Kama jibu lako litamshawishi mtoa ajira au mwenye ajira, jiandae kupata ajira kwa haraka Zaidi. Hakuna haja ya kulala njaa au kulalamika huna kazi, wakati ujuzi wa kuzalisha faida unao. Aya, twende kazi.
  2. venchwa

    JamiiForums Tanzania Leo nipoe zangu na mtoto wa Uingereza kupata Royal salute whisky

    Mtoto kaingia 18 zangu Kasema leo nakutoa out wewe wala usiingie mfukoni nafika nkuta wameleta Royal salute whisky haha ni 800$ babeki Acha tule life Hatari
  3. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Watu wanajihusisha na mambo yao; Ni wewe tu unawawazia

    Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo. Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kupata mwekezaji wa USD Billion 17 wa kujenga kiwanda cha kuongeza thamani ya rasilimali za Afrika

    Ni ngumu sana kupata mwekezaji atakajenga kiwanda cha kuongeza thamani ya madini na rasilima zinazochimbwa afrika Kama nchi kuna sehemu tumekosea unamkataaje mwekezaji wa usd billion 17 sababu tokea tupate uhuru hakuna mwekezaji ambaye amewekeza kwenye kiwango hiki cha fedha Na anachojenga...
  5. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Wakuu! Wapi naweza kupata hivi vifaa vya ujenzi/bati

    Nipo Dar es salaam, nahitaji hizi materials.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kupata verification code ya Apple

    Wakuu, nina tatizo la kupata verification code kutoka Apple, vipi kwa waliokumbana na changamoto hii wamefanyaje? Nimekwama .
  7. mike2k

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Umeme Newala: Ni Wakati wa Kupata Suluhisho la Kudumu

    Nimekuja kikazi Wilaya ya Newala, Kata ya Kitangari, Nilitarajia changamoto za kuzoea mazingira mapya, lakini sikutarajia changamoto kubwa ya umeme. Kwa kweli, hali niliyoikuta imenikumbusha enzi za mgao wa umeme miaka iliyopita, ambapo umeme ungeweza kukatika kwa saa nyingi bila maelezo ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Naulizia wapi naweza kupata mashine ya mazoezi ya kukimbia au kutembea

    Wadau wa michezo habari zenu. Nauliza kwa hapa Dar ni wapi naweza kupata mashine ya kumfanyia mazoezi ya kukimbia au kutembea kama zile zinazopatikana gym. Naomba kuelekezwa mahali na duka lilipo.nahitaji kua nafanyia mazoezi nyumbani badala ya kwenda gym. Msaada tafadhari. Mtu akiniambia bei na...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunasota kupata Visa ya China hapa Dar, tunawahi foleni lakini siku ya tatu sasa hatupati huduma

    Kuna ugumu wa kupata Visa ya kwenda China kutoka hapa nchini, hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa waombaji wengi. Tunalazimika kuamka saa tisa usiku ili kuwahi foleni, lakini hata hivyo hatufanikiwi kupata huduma tunazotarajia, baadhi ya waombaji tumeomba kwa siku ya tatu mfululizo bila...
  10. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kunisaidia kupata uthibitisho wa safari ili nipate passport??

    Naombeni msaada ndugu zangu, Nahitaji passport kwa matumizi ya Baadae je nani anaweza kunisaidia kupata uthibitisho wa safari. Au huwa mnatumia njia gani kupata pasipoti?
  11. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Je hili inaweza kuwa Uthibitisho wa safari ili kupata passport?

    Nikisema nataka kujifunza udereva kwa kuwa Tingo hivyo nina safari za mara kwa mara za nje ya nchi... Sababu hii inaweza kuwa sehemu ya mimi kupata hati ya kusafiria?
  12. Wang chung

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kupata hasara kwenye kilimo hadi ukahisi kuzimia?

    Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120%. Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara...
  13. Dumas the terrible

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya:Taarifa ya Watoto watatu kufariki baada ya kupata sindano ya chanjo Iringa!

    Habari wakuu kuna taarifa nimepata kutoka kituo cha afya Isimani ikisema kuna watoto watatu wamefariki Dunia baada ya kupata sindano ya chanjo, Tunaomba kama kuna taarifa za kina Wizara ya Afya na mamlaka toka huko waje waitolee ufafanuzi maana kuna taharuki kubwa imezuka na hatua zaidi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata wimbo

    Wakuu samahani Kuna wimbo WA Rhumba wa "Franco Luomba unaitwa Eli Kazho" Mwenye audio au video yake au anayeweza kunisaidia jinsi ya kuupata naomba msaada tafadhali maana nimetafuta sehemu nyingi nimeukosa
  15. Pipilomomo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Kazi, nina elimu ya form four

    Habari humu ndani! Mimi ni mwanamke miaka 29, elimu yangu form four. Natokea dar es salaam(goba).Nilikuwa na uhitaji wa kazi hasa shuleni ninauzoefu nayo,hasa kulea watoto na usafi.Kama kuna mtu ana connection pleas naomba anisaidie.
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO DED wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga hatulii ofisini na hakaimishi majukumu, tunasota kupata huduma yake

    Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Wananchi na Watumishi tunapata changamoto sana hasa tunapohitaji huduma ya Mkurugenzi (DED), zinaweza pita siku 5 hupati huduma unaambiwa hayupo na hajakaimisha mtu. Kinachokera zaidi ni kuwa Halmashauri ni mbali kiasi kwamba hizo siku zote unaweza tumia zaidi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wasiokunywa pombe ni wanafiki na hujipendekeza kwa mabosi ili kupata upendeleo

    Asubuhi na mapema jitu zima lina ndevu na mavuzi linadamka kwenye ofisi ya bosi kuanza kupeleka umbea na unafiki. Jitu linakuwa kama linaajike linaloimba taarabu. Wanaume watumishi msiokunywa Pombe mna matatizo.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ni mafao gani anayostahiki kupata mtu ambaye amefukuzwa kazi serikalini

    Habari wakuu! Natumai mko poa kabisa Moja kwa moja kwenye mada hapo juu Ni mafao gani anayostahili kupata mtu qmbaye kafukuzwa kazi serikalini kwa kosa la kinidhamu? Naomba kuwasilisha wakuu
  19. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Hesabu;Tumia Kigawe Kikubwa cha shirika (KKS) kupata size ya tiles na kupunguza upotevu(kukata kata).

    Wengi huwa tunajiuliza umuhimu wa hesabu mbali mbali tulizofundishwa mashuleni/vyuoni.Ukweli ni kwamba hesabu zote zina matumizi muhimu sana katika maisha yetu. Kigawe kikubwa cha shirika (KKS) kinaweza kukusaidia kujua size ya tiles ili kupunguza upotevu (wastage) inayotokana na kukata kata...
  20. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mzazi anaona bora mtoto alipwe laki 3 akiwa ameajiriwa kuliko kupata million 1 ya kujitafutia

    Nadhani hili mentality ipo sana kwa wazazi wetu hasa ambao. Hawakufika shule nadhani, waliishi katika dunia ambayo waliamini kuajiriwa ndio kila kitu. Week iliyopita nilikua kwenye mji mmoja unaitwa Msalala geita hapo, kuna harakati sana za madini, nikakutana na homeboy wangu mmoja...
Back
Top Bottom