Jinsi ya kupata wimbo

Jinsi ya kupata wimbo

Davives

Senior Member
Joined
Feb 2, 2024
Posts
110
Reaction score
131
Wakuu samahani
Kuna wimbo WA Rhumba wa "Franco Luomba unaitwa Eli Kazho"
Mwenye audio au video yake au anayeweza kunisaidia jinsi ya kuupata naomba msaada tafadhali
maana nimetafuta sehemu nyingi nimeukosa
 
Tumia New pipe apk
 
Ila hii ndio nyimbo bora ya Franco, hakuna zaidi ya hii
IMG_5086.jpeg
 
Sijui kwa nini umenitag ila nina collection ya nyimbo nyingi sana; nyingine nilikuwa nazo kwenye kanda nikazidigitize, nyingine nilizitoa kwenye saturi na nyingine nimedownload online. Niambie wimbo unaotaka nitakutafutia kwenye kabrasha langu
Kichuguu
 
Kuna wimbo mmoja wa Mbaraka Mwinshehe (nadhani alikuwa na Moro jazz) wa kuusifia Taifa stars baada ya kufuzu AFCON kwa mara ya kwanza. Wimbo huu Kila nikiutafuta unakuja ule wa F.A.T na timu ya Taifa.

Katika wimbo huu ninaoutafita maneno ninayoyakumbuka ni "...oye oye mwaka sabini na nane...".
 
Back
Top Bottom