kuondoka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwanamwana

    SI KWELI Ukikutana na Simba, ukimtazama machoni huona aibu na kuondoka

    Nani asiyemjua mbabe Simba mfalme wa nyika? Yaani ukutane naye paaah! Utamzame machoni aone aibu na kuondoka? Bado siamini hili jambo naona hawa vijana wa ovyo wanataka kuniingiza chaka siku nikikutana naye mbashara nisichukue njia nyingine za kujiokoa eti nimtizame. Hivi kweli Simba huyu kweli...
  2. J

    Mchezaji anaruhusiwa kuondoka na kujiunga club nyingine baada ya kipindi cha usajili kupita?

    Naona Prince Dube ameaga anaondoka Azam, na assume ametimiza masharti aliyotoa Azam, je ataruhisiwa kujiunga na club nyingine wakati dirisha la usajili limefungwa, Januari?
  3. F

    Zitto Kabwe kimsingi ACT ndiyo itakufa zaidi kwa wewe kuondoka

    Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama hicho huishia kupoteza maono. Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie...
  4. M

    Kwa hili la Serikali kushindwana kauli na hospitali binafsi kwenye kitita cha NHIF, Waziri Ummy asaidiwe kuondoka wizarani

    Wanajukwaa ninaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha mzee wetu Ali Hassan Mwinyi. Familia yake ijawe na faraja na subra katika kipindi chote kigumu. Mungu ailaze roho ya Babu mahala pema peponi tena huko Firdausi.... Aaamin. Baada ya hapo hata sioni haja ya kutoa maelezo mengi mno...
  5. Ritz

    Marekani kuondoka Iraq na Syria ndani ya siku 90

    Wanaukumbi. Marekani kuondoka Iraq na Syria ndani ya siku 90 Marekani inajiandaa kuondoa vikosi vyake vyote au sehemu yake kutoka Iraq na Syria ili kukabiliana na ongezeko la mashambulizi ya vikosi vya upinzani vya Iraq, kwa mujibu wa maafisa wakuu wa Marekani. Bunge la Iraq kwa sasa...
  6. I

    Guardiola asikitika kuondoka kwa Klopp japo adai sasa angalau ataweza kulala.

    Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesema ameshangazwa na uamuzi wa kocha wa klabu ya Liverpool ya Uingereza Urgen Klopp kuamua kuondoka Liverpool mwishoni mwa msimu huu. Klopp amesema amefikia uamuzi huo kwa kile alichodai kwamba ni swala la uchovu. Lakini hata hivyo kocha Guardiola...
  7. Muwa mtamu

    Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo

    Hii ni taarifa mbaya sana kwa mstakabali wa hatima ya taifa letu. Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo baada ya mitihani kukaribia. Kwa mujibu wa utaratibu wa chuo, mwanafunzi atakayeruhusiwa kufanya mtihani yaani UE atawajibika kuwa na kitambulisho cha chuo na sio...
  8. Mhafidhina07

    Najiandaa kuondoka nyumbani, nimeamua kwenda kupanga. Je, kuna ushauri?

    habari wadau Mimi ni kijana wa umri miaka 32, naishi DAR miaka yote hiyo nipo kwa wazazi na nimeoa ila bado sijazaa ndoa yangu bado changa ila natumai soon nitaitwa faza kabla stori haijawa ndefu niseme tu wiki hii nimekuwa na mawazo ya kuhama home hiovyo natarajia miezi 3 mbele niende kupanga...
  9. JanguKamaJangu

    Xavi kuondoka Barcelona mwishoni mwa msimu huu

    Kocha wa FC Barcelona, Xavi Hernández amesema ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu kutokana na matokeo mabaya ya timu hiyo aliyoanza kuinoa Novemba 2021 akitokea Al Sadd ya Qatari. Ametangaza uamuzi huo baada ya kushuhudia timu yake ikiwa nyumbani kukutana na kichapo cha magoli 5-3...
  10. mwanamwana

    Kocha Jurgen Klopp atangaza kuachana na Liverpool mwisho wa msimu huu 2023-2024

    Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ametangaza kuachana na timu hiyo mara baada ya msimu huu kwa kile alichosema kwamba ‘amechoka’. Klopp alijiunga na Liverpool Oktoba akitokea Borussia Dortmund ya Ujerumani na mkataba wake wa sasa na timu hiyo unafikia mwisho mwaka 2026 lakini ameamua kuachana na...
  11. Fundi kipara

    Mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027

    Sio vibaya kukumbushana...!!! Nipende kuwakumbusha ndugu zangu kwamba mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027, yaani hapo akitoka anaenda Ulaya, mbali na hapo ataichezea Yanga milele tena milele amina😀. Kuna Club moja ya Bundasliga inamhitaji lakini sitawaambia hamtaki kutunza siri...
  12. Dra Maxie

    Nataka kisingizio cha kuondoka kwa mpenzi wangu

    Nishaurini jamani wana JF nimfanyeje huyu mwanaume ili akasirike anipige nipate nafasi ya kuondoka, Nataka anipige nikimbie
  13. MK254

    HAMAS waondoa sharti la IDF kuondoka Gaza, wakubali basi hata wapewe wafungwa

    Juzi hapa walisema hata iweje hamna kukubali chochote kisichohusu Israel kuondoka Gaza, ila Israel wakasema hamna kitu kama hicho na kwanza wakaongeza mapigo. HAMAS sasa wanasema basi sawa jameni wapewe wafungwa wao tu wataachia mateka 40 ======================== Hamas negotiators have waived...
  14. Expensive life

    Rafiki yangu kutoka huko Asia ashangaa baada ya yeye kuondoka na kisha kurudi leo amekuta maendeleo makubwa nchini

    Huyu rafiki yangu Engineer kwenye kampuni tuliyokuwa tunafanya pamoja kazi hapa nchini. Mwaka 2016 aliondoka kwenda kwako, sasa leo amerudi tena hapa nchini, baada ya kukutana nae katika stori mbili tatu, akaniambia watanzania naona sasa mmeamua, naona nchi yenu inakuwa sasa. Kuna mabadiliko...
  15. sky soldier

    Asali ya vyeo kanisa katoliki imewakolea maaskofu ? Ni kwanini Baraza la maaskofu lipo kimya na wachache waliopinga hawataki kuondoka ?

    Asali ya hivi vyeo inaelekea ni tamu sana, na kuvipata vyeo hivi maaskofu wanakuwa wamehastle sana, Kinachoonekana ni kwamba wanaogopa kutoa tamko kwa pamoja kwa kutumia baraza kwa hofu ya kupoteza utamu wa hivi vyeo, Kwa sasa ni maaskofu wasiofikia hata robo ya theluthi wamepinga waraka...
  16. Ritz

    Wanajeshi wa Kikosi cha 13 cha Brigedi ya Golani katika jeshi la Israeli wakishangilia kuondoka Gaza

    Wanaukumbi… Wanajeshi wa Kikosi cha 13 cha Brigedi ya Golani katika jeshi la Israeli washerehekea kutoroka kwao kutoka Gaza(Jeshi la Israeli liliondoa Brigedi ya Golani kwa sababu ya idadi kubwa ya vifo vyao) - Idhaa ya 12 ya Israeli =============== Soldiers of the 13th Battalion of the Golani...
  17. JanguKamaJangu

    Wanajeshi wa Kenya waanza kuondoka DR Congo

    Kikosi cha kanda ya Afrika Mashariki kimeanza kuondoka katika eneo lenye matatizo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wanajeshi hao walitumwa kwa mara ya kwanza katika eneo hilo mwezi Novemba mwaka jana kutokana na ombi la serikali ya Kongo kwa matumaini ya kulidhibiti kundi la...
  18. Ndagullachrles

    Waliovamia uwanja wa ndege Moshi wapewa siku saba kuondoka

    Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameagiza kuondolewa mara moja kwa wananchi waliovamia na kujenga nyumba za kuishi ndani ya eneo la la uwanja mdogo wa Ndege uliopo Soweto Manispaa ya Moshi. Agizo alilitoa Jana mjini Moshi baada ya kukagua upanuzi wa uwanja huo unaotarajiwa kigharimu...
  19. M

    Wachezaji hawa baada ya kuondoka Yanga maneno ya watu yakawa hivi

    1. Feisal Maneno ya watu: Yanga kwisha habari yake, hawapati kiungo kama Fei toto. 2. Mayele. Maneno ya watu: Huu sasa ndio mwisho wa utopolo, aliyekuwa anawabeba kaamua kusepa. This time utopolo hata nafasi ya 3 hafiki, tena mashindano ya Caf haingii makundi. 3. Djuma Shabani na Yanick...
  20. B

    Feisal, Djuma Shabani na Bangala wanatufundisha nini kupitia mafanikio ya Yanga baada ya kuondoka kwao?

    Wanatufundisha: 1. To let it go/ To let them go. 2. Tusishikilie au kun'gan'gania kitu kinacho taka kuondoka kwenye maisha yetu. Kama kuna kitu au mtu anataka kuondoka kwenye maisha yako basi usimlazimishe abaki muache ende zake. 3. To move on. 4. To never look back. 5. Kila kitu kina...
Back
Top Bottom