Wameondoka watu kibao wenye nafsi zao wameongea mengi mazito mpaka ya uwaji na kuteka lakini CDM ipo na itakuwepo tu.Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
Wameondoka watu kibao wenye nafsi zao wameongea mengi mazito mpaka ya uwaji na kuteka lakini CDM ipo na itakuwepo tu.
Hawezi kuwa anaongea ya uongo yote. Suala la Mbowe na kina Mdee amesema kweli.Clouds ni tawi la CCM wamemleta mtu wao kumhoji
Tangu zamani nilisema huyo mtoto ni malaya watu walinibeza...huyo akina Nusrat walikua good for nothing!!Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
Lete habari kamili wengine hatuna muda wa kusikiliza redio na kutazama TV asubuhiHawezi kuwa anaongea ya uongo yote. Suala la Mbowe na kina Mdee amesema kweli.
Malaya ni malaya tu mkuuTangu zamani nilisema huyo mtoto ni malaya watu walinibeza...huyo akina Nusrat walikua good for nothing!!
Sasa umeleta huu uzi wa nini? Kama hauna habari kamili?Ukiwa na muda baadae utatazama kupitia YouTube ya clouds alichoongea.
Ukweli wake unauthibitishaje? Then inamsaidia nini?Uko sahihi sana, lakini anaongea ukweli mwingi tu.
Nimesema hili jambo ni mubashara. Mwenye nafasi anaweza kusikiliza, asiye na nafasi halazimishwi. Sio jambo la Siri utake nikuletee kinachojadiliwa huko ndani. Acha kupanick, unasema huna nafasi ya kusikiliza ila uko jf unajadili!Sasa umeleta huu uzi wa nini? Kama hauna habari kamili?
Punguza mihemko kaa tulia utuletee hanari iliyojitosheleza
Mbowe ni kiongozi mkuu wa chama hivyo hawezi kuepuka kusemwa kwa mambo ya kweli ama ya uongo. Kuna siku ukweli utajitenga na uongoHawezi kuwa anaongea ya uongo yote. Suala la Mbowe na kina Mdee amesema kweli.