Guardiola asikitika kuondoka kwa Klopp japo adai sasa angalau ataweza kulala.

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
12,917
15,347
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesema ameshangazwa na uamuzi wa kocha wa klabu ya Liverpool ya Uingereza Urgen Klopp kuamua kuondoka Liverpool mwishoni mwa msimu huu.

Klopp amesema amefikia uamuzi huo kwa kile alichodai kwamba ni swala la uchovu.

Lakini hata hivyo kocha Guardiola amesema kuondoka kwa Klopp japo inamsikitisha lakini itamfanya walau sasa apate usingizi.

 
Back
Top Bottom