Wakimbizi wa Syria waanza kuondoka Lebanon baada ya chuki dhidi yao kuzidi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,801
48,781
Wapalestina wana cha kujifunza, siku hizi hamna cha undugu, dumisheni amani kwenu hapo hii sio miaka ile mlikua mnapata msaada kisa dini au undugu.
Hawa maskini wa Syria wanalazimika kurudi kwao kisa chuki zimekidhiri.


90


More than 300 Syrian refugees headed back home to Syria in a convoy on Tuesday, leaving two remote northeastern towns in crisis-stricken Lebanon where anti-refugee sentiment has been surging in recent months.

Lebanese officials have long urged the international community to either resettle the refugees in other countries or help them return to Syria. Over the past months, leading Lebanese political parties have become increasingly vocal, demanding that Syrian refugees go back.

A country of about 6 million people, Lebanon hosts nearly 780,000 registered Syrian refugees and hundreds of thousands who are unregistered — the world’s highest refugee population per capita.

In the northeastern town of Arsal, Syrian refugees piled their belongings onto the back of trucks and cars on Tuesday as Lebanese security officers collected their U.N. refugee agency cards and other paperwork before clearing them to leave.

Poleni brazaj
 
Mambo ya waislam wote ni ndugu ni siasa za kidini tu hamna kitu kama hicho na hakuna watu wasiopendana kama waarabu.

Kutopendana kwa waarabu ni moja ya sababu zinazochangia waondoke kwenda uzunguni kwa sababu wazungu hawana ubaguzi kama wao.
 
Kua muarabu sio kielelezo cha uislam, acha ujinga mtoa mada na wachangiaji wawili hapo juu
 
Kua muarabu sio kielelezo cha uislam, acha ujinga mtoa mada na wachangiaji wawili hapo juu
wapi uliona kuna taifa la waarabu ukakuta wengi ni wakristo au hawawana dini? Karibia mataifa yote ya kiarabu ni waislam, totally waarabu ni waislam
 
wapi uliona kuna taifa la waarabu ukakuta wengi ni wakristo au hawawana dini? Karibia mataifa yote ya kiarabu ni waislam, totally waarabu ni waislam
Ficha ujinga wako, Lebanon ni nusu kwa nusu , christians and muslims, unaongea kitu gani?
 
Wapalestina wana cha kujifunza, siku hizi hamna cha undugu, dumisheni amani

Kweli kabisa

Wananchi wa nchi hiyo hawajaridhishwa na namna nchi yao ambayo ina udugu mkubwa na Palestina kwa namna inavyoshughulikia madhila ya wapalestina na vita vya Gaza.

HISTORIA

Siku Ya Kiza ya Mwezi septemba (Black September), pia inajulikana kama siku ya Vita vya Raia wa Jordan dhidi ya Wakimbizi wa Kipalestina waliokaribishwa Jordan, vita hiyo ya wenyeji dhidi ya wakuja ilikuwa ya silaha na iliyoongozwa na Mfalme Hussein dhidi ya Chama cha Ukombozi wa Palestina -PLO , kililoongozwa na mwenyekiti wa PLO injinia Yasser Arafat.

View: https://m.youtube.com/watch?v=DShud_iyX9s
Vita hivyo vya Jordan mnamo 1970, vilivyojulikana zaidi kama Black September, vilikuja baada ya mafanikio ya idara ya kijasusi ya Usalama wa Taifa la Jordan kubaini njama za wapalestina kutaka kumuua Mfalme Hussein wa Jorda na mkuu wake wa ujasusi. Ilikuwa ni siri kwa miaka mingi hadi ilipofichuliwa katika kumbukumbu ya afisa wa zamani wa CIA aliyekuwa akihudumu katika eneo hilo la Mashariki ya Kati wakati huo.

Rais Richard Nixon na Mshauri wa Usalama wa Kitaifa Henry Kissinger walichukua sifa kubwa kwa kusimamia mzozo wa Septemba Nyeusi, lakini kwa kweli jukumu lao lilikuwa kidogo kwa matokeo ya tishio kubwa kwa maisha ya Hussein, jeshi la Iraqi mashariki mwa Jordan.

Pia wapalestina waiingiza Lebanon katika vita ya wenyewe kwa wenyewe ambapo PLO kiliamua kuwaunga mkono jamii moja ya Lebanon dhidi ya walebanoni wakristo na wa Druze.


Lebanon ni nchi mojawapo ya KiArabu yenye wakristo wengi ambao ni wenye ushawishi katika kila nyanja na vitengo nyeti vya nchi hiyo. Wapalestina walipenyeza fitina kwa WaLebanoni wa imani tofauti wazichape vita vya wenyewe kwa wenyewe vya silaha.

Baada ya Waarabu wa mataifa mengine kuona chokochoko za wapalestina wakimbizi mamilioni waliokuwepo Jordan na Lebanon kuingiza nchi wenyeji wa wakimbizi katika vita, mabomu kulipuka mitaani, kutaka kupindua serikali za nchi zilizowakaribisha wakimbizi wa kipalestina, nchi za kiarabu zimesita kuwakaribisha wapelestina kutokana na historia hiyo mbaya.

Tamaa ya Maandamano hayo ya 2024 'wananchi' nchini Jordan ni kichaka cha wapalestina mamilioni ya wakimbizi wa kipalestina walio raia wa Jordan kuleta chokochoko tena nchini Jordan.

Mfalme Abdullah II ambaye alimrithi babaye Mfalme Hussein aliyefariki, naye yupo ktk wakati mgumu akiwachekea wapalestina ambayo ni watu wa vurugu na chokochoko na hakuna mtawala wa kiarabu anayekubali kuwakaribisha wapalestina iwe kwa mamia au maelfu kwa kuwa wanajua hila za wapalestina. Nchi za kiarabu wapo radhi kutoa misaada ya kifedha, chakula na kupaza sauti katika Umoja wa Mataifa lakini siyo kuwakaribisha kama wakimbizi katika nchi zao za kiarabu.

1715971426438.png

Mfalme Abdullah II wa Jordan
 
Kua muarabu sio kielelezo cha uislam, acha ujinga mtoa mada na wachangiaji wawili hapo juu

Uislamu umebuniwa na muarabu, japo waarabu wengi wameuchoka mumeachwa nyie muendelee kushabikia maugaidi yake.
 
Uislamu umebuniwa na muarabu, japo waarabu wengi wameuchoka mumeachwa nyie muendelee kushabikia maugaidi yake.
Marekani nchi YA Christianity huwezi Kuta hatred kama hii...Ngozi YA kiislam wanaongoza Kwa kubaguana hasa Arab Muslim

Akina Faiza fox Wana cha kujifunza
 
Back
Top Bottom