Zitto Kabwe kimsingi ACT ndiyo itakufa zaidi kwa wewe kuondoka

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,819
18,556
Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama hicho huishia kupoteza maono.

Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie kuyumba kwa chama na hatimaye kupoteza mwelekeo na kufa. Katiba imemtaka aondoke ni vizuri amefanya hivyo ila chama kitapyaya isipokuwa tu atapatikana mtu imara zaidi.
 
ACT mtu imara atoke wapi?
 
Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie kuyumba kwa chama na hatimaye kupoteza mwelekeo na kufa.
Kwann ACT ife baada ya Zitto kuondoka kwenye uongozi? Akifa je?

Hii dhana ndiyo inawafanya viongozi wengi Afrika kubakia madarakani muda mrefu. Chama ni taasisi siyo mtu.

Mfano Chadema siyo Mbowe.
 
Ni mawazo wa kijinga kbs ni afadhali chama kife Kwa kuheshimu wanachama wake, hivi kweli kiongozi uongoze miaka kumi au zaidi kusipatikane mwingine Mambo ya ajabu kbs

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama hicho huishia kupoteza maono.

Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie kuyumba kwa chama na hatimaye kupoteza mwelekeo na kufa. Katiba imemtaka aondoke ni vizuri amefanya hivyo ila chama kitapyaya isipokuwa tu atapatikana mtu imara zaidi.
Akili za Chadema ,Miungu Watu🤧🤧
 
Haiwezi Kufa Wana Shaibu na Nondo Kwa Bara,Kwa Zanzibar ndio chama hasara.

Mwisho atakuwa mwanachama ambae anapigania chama kama kawaida
 
Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama hicho huishia kupoteza maono.

Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie kuyumba kwa chama na hatimaye kupoteza mwelekeo na kufa. Katiba imemtaka aondoke ni vizuri amefanya hivyo ila chama kitapyaya isipokuwa tu atapatikana mtu imara zaidi.
Mkuu fazili , it's not necessarily right. Si wengi wanafahamu kuwa baada ya Mwalimu Nyerere kutupatia uhuru, na yeye kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanzania huru, alihudumu kwa mwezi mmoja tuu na kujiuzulu kwenda kuimarisha chama cha TANU hivyo Zitto Kabwe kuondoka kunampa nafasi nzuri zaidi ya kuimarisha ACT Wazalendo from outside the box!. Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
P
 
Kwann ACT ife baada ya Zitto kuondoka kwenye uongozi? Akifa je?

Hii dhana ndiyo inawafanya viongozi wengi Afrika kubakia madarakani muda mrefu. Chama ni taasisi siyo mtu.

Mfano Chadema siyo Mbowe.
Chadema kwasasa huwezi ilinganisha na ACT
 
Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama hicho huishia kupoteza maono.

Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie kuyumba kwa chama na hatimaye kupoteza mwelekeo na kufa. Katiba imemtaka aondoke ni vizuri amefanya hivyo ila chama kitapyaya isipokuwa tu atapatikana mtu imara zaidi.

Hamumjui Zito, Zito ametoka lkn yeye pamoja na wengine ambao ni wazito watakua wanapata taarifa za mwenendo wa chama kila leo. Watakuaa na Strategy ya chama na malengo ya muda mrefu wa kati na mfupi na mpango wa uendeeshaji na watakuwa wanapata taarifa ya utekelezaji. Usifikiri huyo dada ataachwa afanye anavyotaka.
Nadhani wameamua kujitofautisha na wengine. Mimi naona watakwenda vizuri kwa kuwa chama ni taasisi ambayo si mtu mmoja cha muhimu ni kuweka mifumo thabiti.
 
Kwann ACT ife baada ya Zitto kuondoka kwenye uongozi? Akifa je?

Hii dhana ndiyo inawafanya viongozi wengi Afrika kubakia madarakani muda mrefu. Chama ni taasisi siyo mtu.

Mfano Chadema siyo Mbowe.
Mbowe anahitajika CDM leo zaidi kuliko jana.
 
Back
Top Bottom