Maandamano makubwa yafanyika Niger kuitaka Marekani na mataifa mengine kuondoka Niger

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,649
3,938
Idadi kubwa ya watu walijitokeza katika mji wa Yamai, mji mkuu wa Jamhuri ya Niger, wakitaka wanajeshi wa Marekani na nchi nyingine kuondoka nchini humo.

Niger tayari imefuta makubaliano ya kijeshi na Marekani mwezi uliopita, na hii inakuja miezi michache baada ya mamlaka ya kijeshi ya nchi hiyo kukata uhusiano kama huo na Ufaransa, ambapo hata vikosi vya utawala wake wa zamani wa kikoloni vilifukuzwa ambavyo awali vililetwa kupambana na wapiganaji wa jihadi katika eneo hilo kutoka nchi hiyo.

Nchi hiyo sasa imeikaribisha Urusi kwa msaada katika kupambana na wapiganaji wa jihadi.

Na siku ya Jumatano, wanajeshi wa kitaalamu kutoka Urusi waliwasili nchini humo kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa nchi hiyo.

Hizi ni baadhi ya picha za maandamano:
 
Zipo wapi picha boss 😂😂
 
Mkuu Termux,unajua nimecheka mno Hadi nimetoka machozi,kwa jinsi ulivhokuja kwa hararka na kudai picha.
,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Amna nmeona habari bila picha na mwisho kabisa katuambia kuwa kuna picha arafu azionekani 😂😂😂
 
Habari hizo ni za kweli kabisa na zimereportiwa BBC na DW kwamba wananchi wameandamana na picha zipo..ila mtoa mada inaonyesha kashindwa kiziappload na kibaya zaidi kabeba taarifa kutoka BBc kama ilivyo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom