1. Nimezikuta hizi stori mahali fulani, yaani mwanamke
hatakiwi kujua chochote kuhusu mali zako
2 .Ukizeeka atakuacha hapo nyumbani aende kuishi Kwa watoto wake
3. Ukifikisha miaka hamsini usijihangaishe kujenga kama ulishajenga Nyumba Moja yatosha. Hifadhi fedha yako benki harafu uwe...
Habari wanaforum!
Je inahitaji siku ngapi kabla ya safari yako kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi kama mtumishi kwenye mfumo wa e-vibali?
Na documents gani zinahitajika?
Habari zenu
Natarajia kupata mkopo wa 2.5m so nasubiria , nimesimama kuuza laptop kwa kutegemea huo mkopo, M/Mungu awaongoze wakopeshaji wanipe pesa hiyo kwa mkopo AMEEEN 🙏🏾
Asanteni sana
Kero yangu ni suala la uhamisho Halmashauri ya Mji Handeni limekuwa kama vita, maboss wanakalia barua za Watumishi za uhamisho kuhama imekuwa kipengele kikubwa hapo.
Anonymous
Thread
halmashauri
halmashauri ya handeni
handeni
kuomba
uhamisho
vita
Habari mjasiriamali kama wewe umesajiki biashara au Kampuni Brela unahitaji Taarifa Hizi kuomba leseni halmashauri/tausi.
1. TIN
Unahitaji TIN number ambayo utaitumia kufungulia akaunti tausi
2. Mkataba wa upangishaji, unaweza kuwa wa ofisi au wa nyumbani kwako.
3. Certificate of...
ONGEZA THAMANI YAKO; SIO UNAHANGAIKA KUOMBA KAZI, KUMBE KAZI YENYEWE HATA UKIIPATA UTAISHIA KULIPWA LAKI 3.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Binti na kijana wangu. Umri wa miaka 10-25 ni umri wa kujijenga hasa kiujuzi, kielimu, kiuzoefu na kimaarifa.
2. Umri wa kuongeza value yako. Utu...
Nataka nijue kama Utumishi wanapokea na kutoa uhamisho kwa watu wenye case maalum,
Yaan kama mtu ana barua tayari ya kupata nafasi ya kuhamia Taasisi fulani ila akiomba kwenye mfumo kunazingua maana unakuta mtu anakotoka wamempa kibali na baraka zote za kuhama na kule aendako wamekubali na yuko...
Mei 04, 2026: Imefunguliwa kesi ya Jinai Namba CC. 9474/2026 katika Mahakama ya Wilaya ya Mlele mbele ya Mhe. Kibona. F, Jamhuri dhidi ya RABIEL ROBERT KAAYA, askari wa Jeshi la Polisi mwenye Namba za Kijeshi H. 3083 mkazi wa Majimoto Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi.
Hati ya Mashtaka imesomwa na...
Yesu Alipopanda Mlimani Kuomba kwa Nini Alitokewa na Musa na Eliya?
Katika ule mlima mrefu, aliopanda Yesu na wanafunzi wake kuomba, kwa nini atokewe na Musa na Eliya na siyo manabii wengine, kama vile Isaya au Samweli? au Ezekieli?
Kutokewa na wale watu halikuwa kwa lengo lake. Bali lilikuwa...
Naona mmewachoka na mnawachukia sana.
Mnakaa vijiweni na kuomba walipuliwe kama Ayatollah na jopo lake alivyouwawa.
Hii ni sababu ya nini?
Cake ya taifa?
Ubaya wa kupewa lift ni lazima ucome up na different topics za kudiscuss kama radio presenter. Hufai kukosa content😂
Na lazima u maintain convos muda wote.
India yathibitisha kupokea meli ya Iran iliyokimbilia huko baada ya kutoroka mapambano, nyambizi za Marekani zinawinda chochote chenye ishara ya Iran.
India has allowed an Iranian warship to dock as a humanitarian gesture, Foreign Minister Subrahmanyam Jaishankar says, after the US sank another...
Baharini hapakaliki tena, kuna nyambizi ya Marekani inapita chini kwa chini ikisaka meli za Iran, mpaka sasa zimelipuliwa 25, kuna moja nahodha wake aliona isiwe tabu katoka nduki na kukimbilia usalama Sri Lanka, taifa la Mabudhist, au mnaopenda kuwatukana kwa kuwaita makafir licha ya kwamba...
Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia.
Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki.
Ukizingatia mbegu, upandaji,
Mbolea na madawa hata booster ni zipi nzuri?
Kwenye mbegu ni mbegu Gani (zipo mbegu za hybrid kama za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.