kuomba

  1. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Wote tunaenda kuimba wimbo mmoja

    Baada ya D9 kuanza kwa kusuasua kutokana na vigingi vizito toka kwa watawala , kumeibuka kebehii za wazi wazi toka kwa machawa wa mfumo kuelekea kwa Gen z.! Ila wasichokijua machawa fukara ambao wengi ni manyumbu katika sekta za umma. " nikwamba , athari za haya mambo hazitoangalia itikadi za...
  2. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Naamini serikali itakuja kuomba msamaha direct or indirect but najua hili swal linawaumiza

    Najua serikali hili swala linawamiza sana sema ndo hivo nani amfunge paka kengele? Aje hadharani atubu ni ngumu ila kuna mambo watafanya indirect mazuri na wananchi watasahau alafu maisha yatendelea naomba tumpe mama mda alafu tuone najua anaumia ndo mana Mapaka leo bdo hajaja Dar...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Msigwa amepost na kuomba comment ziwe fupifupi ila kafunga comments

  4. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakati wa kuomba kura hatusikii ziara za Norway Sweden USA Je, hazina umuhimu kwa nchi wakati huu?

    Kama zile ziara za kutwa mara mbili kwa wiki kama dozi zilikuwa na umuhimu, Kwanini zisimame wakati huu? Ina maana si muhimu kwa sasa?
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Felista Njau apanda mtumbwi ili kumnadi Rais Samia

    Sema CCM wana siasa za kishamba sana. Hivi kwanini Marekani au nchi zilizoendelea hatuoni theatrics kama hizi. Kama ni kweli alikuwa anataka kuwafikia wapiga kura kulikuwa na haja gani ya kujirekodi akiwa amepanda mtumbwi? Hizi ni dalili ya chama ambacho soon kinaenda kuingia kwenye bed rest...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tufunge na kuomba kufukuza pepo la mikopo linalowatesa kina mama, dada, wake, shangazi na wanawake wangine wengi

    Kina mama mna tatizo gani aisee? Mikopo.. mikopo.. mikopo. Kuna case kadhaa za kina mama kujiua kwa sababu ya kuzidiwa mikopo. Kuna cases za ndoa kuvunjika pia. Wanawake wengi mnakopa sana bila kufikiria mara mbili. Hali ni mbaya sana. Mitandaoni nimeona watu wengi wakilalamika kuona mama zao...
  7. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ni nyaraka gani zinahitajika kuomba leseni?

    Hati ya TIN kutoka TRA Cheti cha usajili wa kampuni (kama ni kampuni) Mkataba wa pango (kama umepanga) Tax Clearance Certificate kutoka TRA Vyeti vya mamlaka husika kwa huduma za kitaalam (mf. TCRA, TBS, EWURA, TMDA, n.k.)
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1990, gazeti la Daily News liliweka tangazo/habari ya Magufuli kuomba asaidiwe matibabu ya moyo enzi anasoma Chuo Kikuu Dar es salaam

    Ni ugonjwa huu ambao hatimaye ulitangazwa kuchukua uhai wake. Cc: hafre
  9. J

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo kwenye mfumo wa NACTVET kuomba AVN

    "Habari, Kuna changamoto kwenye mfumo wa wa Nactvet kwa watu wanaaomba AVN. Waombaji wanakutana na errors nyingi. Namba zote za simu zilizowekwa kwaajili ya mawasiliano na ofisi ya NACTVET hazipokelewi ukipigiga, na nyingi kati ya hizo hazipatikani, nyingine hazipo kabisa. Madirisha ya maombi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Maaskofu wa TEC kuomba NOVENA na Rais kukimbilia kikao cha Maimam ni kuligawa Taifa kidini

    Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki. Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam. Je anataka tufarakane kidini? Je maimam wanaunga mkono watu kutekwa...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

    Wanaumeee! Kuweni waagalifu na mifuko yenu! Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja! Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni chepuko kabisa! Ni chepuko la maana lakini mambo ni yale yale! -anataka simu ya tachi, -vocha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  13. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kuomba tone tone ni kama kunyonya damu kwa mgonjwa

    Bila shaka wewe na mimi tumekuwa ni sehemu ya Ushuhuda wa Kauli mbali mbali za Viongozi wa Chama Wakijinasibu kuwa Chama Chetu ni Chama Tajiri na Chenye Wanachama Wengi. Halikadhalika tumeshuhudia chama chetu kikiwa ni sehemu ya Mnufaika mkuu wa Ruzuku ya Uendelezwaji wa Maendeleo ya Chama, si...
  14. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kuomba Bank statement ina cost fedha?

    Wadau vipi kuomba bank statement inahitaji kulipia..? Kama kuna kulipia ni shingapi..?
  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Musiba: Kama kuna mtu yeyote nilimkosea, naomba anisamehe. Ule ulikuwa ni ujana

    Wakuu, Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi. Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu. Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo...
  16. fufumajeusi

    JamiiForums Tanzania Usithubutu kuomba mkopo Bank of Africa (BOA)

    usije sema sikusema, jamaa yangu kaa aplai loan alikua na immediate cause kwenye mfumo wao ,mpaka sasa wiki imepita kwenye mfumo wao inasoma complete disbursed ila kwenye account hakuna pesa imeingia ,akiwapigia hawatoi ushirikiano wowotee.
  17. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara

    Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara
  18. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maryprisca Mahundi apiga goti mbele ya wajumbe wa mkutano UWT akiwashukuru wajumbe na kuomba kura

    Naibu waziri wa mawasiliano na teknolojia ya habari Mhandisi Maryprisca Mahundi amepiga goti mbele ya wajumbe wa mkuato mkuu wa umoja wa wanawake Tanzania UWT mkoa wa Mbeya akiwashukuru kwa kumuamini na kumchagua kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, huku akiomba ridhaa kwa wajumbe hao kumuamini na...
  19. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Msaada : Changamoto nimekwama hapa kwenye kuomba mkopo HELSB naisovu vipi hii ?

    Moja kwa moja.. Namuombea dogo mkopo kwenye kipengele Cha kuweka namba ya Napa karibia siku ya Tatu inasema hivyo , nimemwambia anitumie barua ya Napa yenye hiyo namba labda alivyonitumia alikosea , akanitumia nimehakikisha ila bado sasa sijajua tatizo ni Nini ? Naomba Msaada wakuu..
  20. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded NACTVET watusaidie tupate AVN number kwa uharaka tunashindwa kuomba Chuo

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) ninaomba wajitathmini wanachotufanyia sio sawa. Habari naomba niwasilishe changamoto mbili zinazonikabili mpaka muda huu na nimeshindwa kupata msaada wowote kutoka kwa watu wa nactevet nje kuonjesha juhudi za Hali na mali...
Back
Top Bottom