Naamini sana katika uwepo na uwezo wa Mungu kama mtu anaweza kufanya mawasiliano sahihi na Muumba huwa anajibu maombi na kutoa msaada. Ila wengi wetu hatujui namna ya kuwasiliana ili kupata majibu. Sio nia yangu kuzungumzia hili kwa sasa ila natoa tahadhari/angalizo:
Ulimwengu wa giza hutumia...
Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema watoa huduma wa sekta ya afya hawatakiwi kuwakimbia wagonjwa na badala yake, wanatakiwa kuzingatia Kanuni za Udhibiti wa Maambukizi katika kutoa Huduma (IPC).
Ummy amesema sio kila homa kali au kikohozi ni CoronaVirus hivyo watoa huduma...
Askari polisi wa kituo cha Mbalizi mkoani Mbeya leo wamefanya Ibada kituoni hapo kutimiza maelekezo ya Rais Magufuli ya kufanya maombi dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.
Ibada hiyo iliongozwa na mkuu wa kituo afande Lusekelo na kuhudhuriwa na mkuu wa wilaya.
Source ITV habari.
My take; Tukio hili...
HALMASHAURI ya jiji la Dodoma imezindua mfumo rasmi kwa njia ya mtandao ambao utatumika kila mwananchi kujaza fomu ya maombi ya kupata kibanda cha biashara katika miradi ya soko kuu la Job Ndugai pamoja na stendi kuu iliyopo Nzyuguni ikiwa ni jitihada za kupambana na ugonjwa wa COVID-19.
Hayo...
Kwa kawaida Mwezi March huwa linafunguliwa dirisha la vijana kuomba vyuo. Kuomba huku ndiko huwa kunapelekea vijana kuanza masomo mwezi wa kumi (10). Hii ndiyo huwa MAJOR intake. March imeisha na hakuna tangazo lolote la kufungua dirisha la udahili na vijana kuomba vyuo, kunani NACTE?
Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia ya simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.
Waziri Kabudi amekuja US kukutana na wawakilishi wa serikali ya Trump na World Bank.
Kwenye World bank alikuja kwa unyeyekevu na kuwahakikishia bank kwamba Tanzania itaweka shule maalumu za kulinda watoto waliopata mimba na hii wamehakikisha kapiga sahihi kabisa.
Pili amepeleka ujembe kutoka...
Wakuu nawasalim,
Ni dhahiri kwa sasa kila pande ya dunia ugonjwa wa corona madhara yake yamekuwa makubwa zaidi na kila nchi inajaribu kupambana kwa uwezo wake wote ilimradi tu kuuondoa au kupunguza madhara ya huu ugonjwa.
Idadi ya vifo ni vingi zaidi, licha yakuwa taarifa zinazotolewa na...
Heri ya mwaka mpya 2020 waungwana.
Mimi ni mwanachuo kikuu hapa Dar es Salaam. Ninasoma Shahada ya kwanza katika Uhasibu na Fedha (BAF).
Nipo hapa kuomba ushauri kuhusu mada tajwa hapo juu maana mimi sikufanikiwa kuomba mkopo kutoka Bodi ya Mikopo (HESLB) na ndugu zangu hawako interested na...
Wakazi wa Mtumba wakimzika marehemu Edward Mabumba ambaye msiba wake umekuwa wa watu 55 kulazwa hospitali baada ya kudaiwa kula chakula chenye sumu. Picha na Habel Chidawali
Dodoma. Serikali imetoa amri ya muda kuzuia mikusanyiko kwenye misiba mtaa wa Mtumba jijini hapa. Amri hiyo inawataka...
Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli.
Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka...
Binafsi naona kuna tatizo kubwa la kuhamahama kwa viongozi wa Chadema pasi na sababu za kueleweka na kuaminika.
Juzi kaondoka mzee Sumaye na kabla ya hapo Dr Bashiru akiwa Zanzibar City alisema ana barua nyingi tu za wabunge na madiwani wa Chadema wanaoomba kuhamia CCM.
Ni vema basi Chadema...
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amesema chama chake hakijafanya mazungumzo yoyote na mzee Sumaye kuhusu Waziri mkuu mstaafu huyo kujiunga na chama chao.
Zitto amesema mzee Sumaye ameweka wazi msimamo wake wa kupumzika siasa za vyama na kwamba atabakia kuwa mshauri kwa vyama vyote...
PARIS, UFARANSA
RAIS Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa kauli yake kwamba Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) limepatwa na kifo cha ubongo ilipiga kengele ya hatari kwa nchi wanachama na kwamba hataomba radhi kwa kutoa matamshi hayo.
Matamshi hayo makali ya Rais Ufaransa...
Ni matarajio au matamanio ya kila mtu kusaidiwa kukamilisha jambo fulani. Iwe kazini au kwenye shughuli yoyote ya kijamii, utahitaji watu wenye ujuzi na maarifa tofauti tofauti kufanikisha malengo yako. Mfano, wachezaji wakiwa uwanjani wanacheza kwa kusaidiana kila mmoja katika nafasi yake ili...
Kanisa lililoanzishwa na Mungu msingi wake ni kuomba ili kutawala maamuzi yote katika ulimwengu wa roho kabla hayajatokea kama majibu katika ulimwengu wa mwili.
Mwakasege (2013,uk.88) katika kitabu cha Ujue Ulimwengu wa Roho Ili Kufanikiwa Katika Maombi Yako alisema "Dalili ya Kanisa lisiloomba...
Haina haja ya kulialia sana hata waziri Jafo alisema figisu katika chaguzi ni vitu vya kawaida sana hata Israel na Marekani vipo cha muhimu ni vyama vya upinzani kuonyesha ukomavu na kujiongeza kama walivyofanya Renamo au Unita
Wapinzani wanadeka sana juzi katekwa kiongozi wao huko hai na...
Habari wana familia ya JF, unajua kwenye wengi pana mengi, na humu ndani hua watu wanapishna kwa hoja mpaka kujibizana vibaya .
Sasa nimeona nianzishe uzi huu ili kila memba ambaye anajua kwa namna moja ama nyingine amesha mkosea mtu iwe kwa makusudi au kwa bahati mbaya.
Basi ili kujenga...
Huu ni ushauri tu ninaokupa ndugu yangu , nafahamu ulivyochanganyikiwa na kutimuliwa Yanga kwa kutupiwa mfuko wako wa Rambo , hata mimi nakuhurumia , lakini jiangalie usije kushangaa mjini hadi uanze kutuomba nauli ya kurudi kwenu .
Mizunguko uliyoifanya kwenye vyombo vya habari inatosha sasa .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.