Ni kweli kabsa, ila kuna mda unakuwa hauna budi Mkuu, inakubidi tuKuna siku nilikuwa nimekoma kifedha nikauza smarti yangu lak 2 nikapata hasara ya laki nne.simu niliinunua dukan lak 6 tangu siku hiyo nilijifunza kutokuuza kitu.Maana vifaa ya elektronik ukiuza n hasara tele hamna faida.
Watu hamna huruma kabisa, mmekuwaje?🤭Ukifika hatua ya kukopesha nitag