Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,882
- 4,601
Nataka nijue kama Utumishi wanapokea na kutoa uhamisho kwa watu wenye case maalum,
Yaan kama mtu ana barua tayari ya kupata nafasi ya kuhamia Taasisi fulani ila akiomba kwenye mfumo kunazingua maana unakuta mtu anakotoka wamempa kibali na baraka zote za kuhama na kule aendako wamekubali na yuko eligible kwa uhamisho ila mfumo unazingua