kuomba

  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanamke ajitokeza kuwania Urais kupitia CHADEMA. Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Ana uwezo na Jembe Kweli, ila...

    Wanabodi, Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza...
  2. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe kuomba msamaha kwa Watanzania

    Great Thinkers, Nawaza waza, kwa jinsi vikundi vya wapinzani walivyoshindwa kuiyumbisha Tanzania chini ya Jemedari mahiri na makini, mcha Mungu Dkt Magufuli ninaona kabisa Mh. Mbowe akipiga goti kuomba msamaha kwa watanzania na kwa taasisi ya Rais. Je, akipiga goti na kutubu nyie mashabiki...
  3. Maleven

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuomba hela halafu ukishatumiwa husemi imefika au kutoa shukrani sio nzuri

    Yaani hata kama mtu hutatoa shukrani ila umjulishe tu alietuma kua hela imefika, lakini unakuta unamtumia mtu ikishafika ndio anapotea moja kwa moja hatoi shukrani wala hasemi kama hela imefika. Hii tabia inakatisha sana tamaa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

    Habari zenu, Nimekuja na ID mpya ili kuficha utambulisho wangu wa awali ni kuomba msaada wa ushauri. Naombeni ushauri na njia za kutatua tatizo hili.Ipo hivi kwenye tumbo la Mama yetu tulikuwa watoto 7 hadi Leo hii tupo 4. Katika watoto 7 tumezaliwa na Baba tofautitofauti 4. Katika hao baba...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TB Joshua fasts and prays on the mountain,"refuses to eat until COVID-19 is defeated"

    Leader and founder of The Synagogue Church of All Nations Temitope Balogun Joshua, commonly referred to as T. B. Joshua would never stop at anything to see the deadly coronavirus completely defeated. Since...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Sipingani na kuomba Mungu dhidi ya corona ila pia kuwa mwangalifu na haya

    Naamini sana katika uwepo na uwezo wa Mungu kama mtu anaweza kufanya mawasiliano sahihi na Muumba huwa anajibu maombi na kutoa msaada. Ila wengi wetu hatujui namna ya kuwasiliana ili kupata majibu. Sio nia yangu kuzungumzia hili kwa sasa ila natoa tahadhari/angalizo: Ulimwengu wa giza hutumia...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Watoa huduma za afya wasikimbie wagonjwa, sio kila homa kali ni Corona

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema watoa huduma wa sekta ya afya hawatakiwi kuwakimbia wagonjwa na badala yake, wanatakiwa kuzingatia Kanuni za Udhibiti wa Maambukizi katika kutoa Huduma (IPC). Ummy amesema sio kila homa kali au kikohozi ni CoronaVirus hivyo watoa huduma...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mpya: Askari polisi wa kituo cha Mbalizi Mbeya wafanya Ibada kituoni kuomba Mungu atuepushie janga la Corona

    Askari polisi wa kituo cha Mbalizi mkoani Mbeya leo wamefanya Ibada kituoni hapo kutimiza maelekezo ya Rais Magufuli ya kufanya maombi dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Ibada hiyo iliongozwa na mkuu wa kituo afande Lusekelo na kuhudhuriwa na mkuu wa wilaya. Source ITV habari. My take; Tukio hili...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Dodoma, utaratibu huu mpya wa kuomba fremu za biashara katika stendi mpya ya mabasi na soko jipya unastahili pongezi

    HALMASHAURI ya jiji la Dodoma imezindua mfumo rasmi kwa njia ya mtandao ambao utatumika kila mwananchi kujaza fomu ya maombi ya kupata kibanda cha biashara katika miradi ya soko kuu la Job Ndugai pamoja na stendi kuu iliyopo Nzyuguni ikiwa ni jitihada za kupambana na ugonjwa wa COVID-19. Hayo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania NACTE lini mtafungua dirisha la kuomba vyuo?

    Kwa kawaida Mwezi March huwa linafunguliwa dirisha la vijana kuomba vyuo. Kuomba huku ndiko huwa kunapelekea vijana kuanza masomo mwezi wa kumi (10). Hii ndiyo huwa MAJOR intake. March imeisha na hakuna tangazo lolote la kufungua dirisha la udahili na vijana kuomba vyuo, kunani NACTE?
  11. Maboso

    JamiiForums Tanzania Isabella Mwampamba, mgonjwa wa kwanza kugundulika Corona Tanzania aomba msamaha kwa Watanzania

    Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia ya simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Kabudi ya kuomba msamaha ni nzuri kwa taifa

    Waziri Kabudi amekuja US kukutana na wawakilishi wa serikali ya Trump na World Bank. Kwenye World bank alikuja kwa unyeyekevu na kuwahakikishia bank kwamba Tanzania itaweka shule maalumu za kulinda watoto waliopata mimba na hii wamehakikisha kapiga sahihi kabisa. Pili amepeleka ujembe kutoka...
  13. Mr Big

    JamiiForums Tanzania Maombi: Dini mbalimbali, kabila tofauti ndani ya Tanzania, tuungane kwa umoja kuomba Mungu atuepushe na ugonjwa wa Corona

    Wakuu nawasalim, Ni dhahiri kwa sasa kila pande ya dunia ugonjwa wa corona madhara yake yamekuwa makubwa zaidi na kila nchi inajaribu kupambana kwa uwezo wake wote ilimradi tu kuuondoa au kupunguza madhara ya huu ugonjwa. Idadi ya vifo ni vingi zaidi, licha yakuwa taarifa zinazotolewa na...
  14. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuomba mkopo wa ada ya masomo ya Shahada ya kwanza katika taasisi za kifedha hapa Dar es Salaam

    Heri ya mwaka mpya 2020 waungwana. Mimi ni mwanachuo kikuu hapa Dar es Salaam. Ninasoma Shahada ya kwanza katika Uhasibu na Fedha (BAF). Nipo hapa kuomba ushauri kuhusu mada tajwa hapo juu maana mimi sikufanikiwa kuomba mkopo kutoka Bodi ya Mikopo (HESLB) na ndugu zangu hawako interested na...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Baada ya watu kuugua matumbo kwa chakula cha msibani sasa Serikali yapitisha amri ya watu kuomba kibali cha kukusanyika kwenye misiba

    Wakazi wa Mtumba wakimzika marehemu Edward Mabumba ambaye msiba wake umekuwa wa watu 55 kulazwa hospitali baada ya kudaiwa kula chakula chenye sumu. Picha na Habel Chidawali Dodoma. Serikali imetoa amri ya muda kuzuia mikusanyiko kwenye misiba mtaa wa Mtumba jijini hapa. Amri hiyo inawataka...
  16. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli. Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Chadema wafanye maridhiano na wabunge na madiwani wao waliomwandikia barua Dr. Bashiru kuomba kuhamia CCM

    Binafsi naona kuna tatizo kubwa la kuhamahama kwa viongozi wa Chadema pasi na sababu za kueleweka na kuaminika. Juzi kaondoka mzee Sumaye na kabla ya hapo Dr Bashiru akiwa Zanzibar City alisema ana barua nyingi tu za wabunge na madiwani wa Chadema wanaoomba kuhamia CCM. Ni vema basi Chadema...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: ACT itaendelea kumheshimu mzee Sumaye na hawatasita kuomba ushauri wake itakapolazimu

    Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amesema chama chake hakijafanya mazungumzo yoyote na mzee Sumaye kuhusu Waziri mkuu mstaafu huyo kujiunga na chama chao. Zitto amesema mzee Sumaye ameweka wazi msimamo wake wa kupumzika siasa za vyama na kwamba atabakia kuwa mshauri kwa vyama vyote...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ufaransa agoma kuomba msamaha baada ya kuitusi NATO

    PARIS, UFARANSA RAIS Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa kauli yake kwamba Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) limepatwa na kifo cha ubongo ilipiga kengele ya hatari kwa nchi wanachama na kwamba hataomba radhi kwa kutoa matamshi hayo. Matamshi hayo makali ya Rais Ufaransa...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa kuomba msaada?

    Ni matarajio au matamanio ya kila mtu kusaidiwa kukamilisha jambo fulani. Iwe kazini au kwenye shughuli yoyote ya kijamii, utahitaji watu wenye ujuzi na maarifa tofauti tofauti kufanikisha malengo yako. Mfano, wachezaji wakiwa uwanjani wanacheza kwa kusaidiana kila mmoja katika nafasi yake ili...
Back
Top Bottom