kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kuishi na mpenzi (bila ndoa) au kufunga ndoa?

    Kuna scenarios nyingi ambazo kwa mtu mwenye uelewa anaweza jiuliza bila ya kupata majibu. Mfano; 1. Unakuta mwanamke amezaa na mwanaume watoto 3 na wanaishi pamoja ila mwanamke analalamika kwamba bado hajaolewa na anatafuta mwanaume wa kumuoa. 2. Mwanamke anaishi na mwanaume kwa zaidi ya miaka...
  2. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

    Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita. Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi...
  3. MKATA KIU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia za wavivu wengi zimesababisha soko la wanawake wa kuolewa na wanaume wa kuoa liwe gumu sana. Watu wanaogopa kupata wakwe na mashem wategemezi

    Habari wadau. Ukweli mchungu soko la mwenza wa ndoa limekuwa gumu sana Tanzania hasa kwa watu wanaojielewa na waliojipata. Mtu kuoa ama kuolewa anatazama mwenza wake yukoje , kwao anapotoka pakoje, na ndugu zake ama ukoo wake ukoje? Je wana maisha ya kujitegemea. Yale mambo ya kuoa mwanamke...
  4. Uwesutanzania

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada yangu zingatia sana kuolewa liwe jambo lako la kwanza

    Ewe dada yangu, mama yangu, shangazi yangu. Katika maisha yako weka sana kipaumbele kuolewa. Hata na wewe baba yangu jitahidi sana kupambania kuozesha mabinti zako kwa hali na mali. Huo mzigo unaoung'ang'ania ipo siku utakuja nikumbuka. Ukiona una mabinti wawili watatu wapo tu...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke awe Msukuma au Mhaya

    Wandugu baada ya miaka mingi ya kuzurula au niseme kuhama kambi moja kwenda nyingine, rasmi nimeamua kuoa. Nimeamua kuoa serious kabisa na sina utani hata kidogo! Makabila yote nayajua ila nimeamua kuchagua Msukuma. Kwa sasa sioi kwa sababu ya ngono, ila naoa kwa sababu ya maisha. Mwanamke...
  6. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Habari naitwa flavian natafuta mke wa kuoa. Umri wangu nikati ya 36-39. Nimejiajiri, dini mkristu. Mke awe mwenye hofu ya Mungu, umri kuanzia 33 na kuendelea. Kwa mawasiliano zaidi PM au ni text kwa 0624942380. Nipo serious kwahili barikiwa sana kwa atakae jitokeza.
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kuoa mke mwenye sura Personal na akakupasua kichwa tuu!

    Kwema Wakuu! Kuna ile kasumba ya wanaume waoga, wasiojiamini wanaosema kuwa, Kuoa Mwanamke mzuri ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya Kayumba. Acheni uoga vijana. Yaani uache kuoa Pisikali imenyooka kisa misemo ya waoga, wasiojiamini au Watu waliokataliwa na warembo. Labda sio...
  8. Mr Why

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, wanawake wa Sumbawanga wana yapi kwenye mahusiano

    Ndugu zangu kila kabila lina mazuri na mabaya yake mnaombwa ushauri na kaka yenu kaniomba mimi nikashindwa nimshaurije nimebaki kimya nikaona nilete kwenu nanyi mumshauri Huyu braza kapata demu wa Sumbawanga anaishi Mbezi na anasimamia Gest ya baba yake sasa akashindwa achukue hatua gani je...
  9. Travis Kitengo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli kuoa mke mrembo ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi?

    Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe kuoa ni kugumu hivi? Aisee mniombee niko hoi bin taabani

    Hivi nyie wana mliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi mmefanyeje aisee? Yaani sio poa wakuu yaani niko hoi bin taabani ndiyo kwanza ndoa yangu ina wiki mbili tu aisee najihisi kuchoka na kukata tamaa wakuu. Majukumu yamenizidi, nakosa uhuru wa kuamua mambo yangu eti lazima mshirikishane wote...
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bwana harusi amegoma kuoa siku ya harusi sababu mke mtarajiwa hana bikra huku amlimdangaya anayo

    Habari wadau. Video inajieleza vizuri
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyo Mpenzi uliyenaye atakuvumilia katika Matatizo? Mpenzi wa Fei Toto aliolewa wakati wa Sakata la Fei na Yanga

    Akizungumza katika 'Intavyuu' maalum na Mwananchi Feisal Salum maarufu Fei Toto amefunguka yafuatayo kuhusu mahusiano yake. "Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini imekuwa kawaida kwa vijana wa kikristo kuwa wazinzi waliokubuhu kwa kuwa na watoto na mahusiano lakini wanachelewa ama hawataki kuoa ?

    Ndoa za kiafrika na za kiislam, vijana wengi wakifika miaka 22 wanaanza kuoa. Kijana wa kikristo ana miaka 30, ana mtoto wa nje ya ndoa na yupo kwenye mahusiano na mwanamke anaemgharamia na pengine kuishi nae lakini hataki kuoa ?? Kwanini uzinzi umezoeleka sana kiasi hiki ??
  14. Clepatina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zamani kuoa Mzungu ilikuwa Dili lakini siku hizi kijana usije ukajichanganya.

    Hamjambo! Zamani kidogo nchi yetu ilikuwa maskini Sana. Yaani ninaposema Maskini namaanisha Maskini Mno, fukara, apeche Alolo. Kama huelewi nazungumzia nini nasi nikusaidie kuunda picha kichwani Mwako. Fikiria zamani kuwa na Luninga ikionekana ni Tajiri. Fikiria kuwa na baiskeli au Pikipiki...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri wa mtu mzima ambao haruhusiwi kuolewa au kuoa ni upi

    Mwenye kuifahamu sheria ya ndoa tafadhali! Kuna mama ana miaka 70 anataka kuolewa hii imekaaje?
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nina watoto, najua kupika, na kazi zote za ndani, napata maokoto ninavyotaka sasa sina sababu ya kuoa

    Hii iwafikie wote wanajua haki za binadamu na uhuru binafsi katika kuishi maisha kwa raha bila kuvunja amani na usalama wa nchi na raia wake. Katika hali ya kuwa vizuri kiakili, kiuchumi na kuwa baharia mpambanaji wa nguvu, napata kila kitu Kwa wakati na muda wote, najua kufanya kila aina ya...
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama kuoa ni raha basi tusiwaone na michepuko sehemu za starehe na kwenye Magest

    Mawakala wa kampeni ya kuoa na ndoa ni raha, tafadhari jiheshimuni sana, endapo kuoa ni raha na ndoa pia ni raha basi tunawaonya iwe ni marufuku tusiwaone kwenye sehemu zetu za bata na kwenye Magest mkiwa na michepuko. Hio mizunguko tuwaone mkiwacna wake zenu wa ndoa. Sauti iwafikie popote...
  19. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuoa au kuanzisha familia jitahidi sana uyafanye haya

    Kwa ambao bado HAWAJAOA au Kuwa na FAMILIA (MAJUKUMU) ------------------------------ Ndugu yangu kabla ya kuoa Jitahidi sana kuyaandaa mambo haya utakuja nikumbuka baadae. Rafiki maisha ya sasa ni magumu sana hivyo unapaswa kujiandaa ipasavyo kabla ya kuyaendea majukumu ya kifamilia...
  20. jastertz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa au kuolewa kabla ya dada/kaka

    Habari wana JF! Hivi mdada kuolewa kabla ya dada yake kuna shida yeyote?? Maana wadada wengi huwa hawataki ikiwa dada yao alietangulia hajaolewa. Kwahiyo kama dada haeleweki ndo mdogo mtu asiolewe?/ Na akitangulia kuna tatizo??? Nasoma comment
Back
Top Bottom