kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Samia : Utafiti unaonesha Zaidi ya nusu ya Tanzania wenye umri wa kuoa au kuolewa hawajaingia kwenye ndoa . Je sababu yako ni nini ?

    Ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 21, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye Ibada Maalumu ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani. “Kwa wakazi wa...
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana msikimbilie kuoa kabla hamja jitambua!

    Ni kweli vijana hawaoi mapema kama zamani . Raisi kaongea haya kama vile ni tatizo la jamii kwa mawazo yangu tatizo ni yeye kutokuelewa Dunia imebadilika. 1. Utamaduni wa zamani wa wazazi kukutafutia mchumba umepitwa na wakati 2. Kuwa na wake wengi pia kumepitwa na wakati kwasababu wanawake wa...
  3. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamme anawazia kuoa mwanamke mlevi!

    Kama hujaolewa na unataka kuolewa na mume na sio mtu aliyejikatia tamaa, jua hii inakuhusu... Wewe tolewa out badala ya kula msosi na kunywa juice/soda au basi ka glass kamoja kawine; unafakamia mapombe halafu utegemee kuolewa na mtu mtakayejenga maisha pamoja??? Mbaya zaidi ukute msichana hana...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wanatuchanganya kuhusu kuoa

    Mitandaoni na mitaani wazee wetu wanatushauri kutokuoa wanawake wasomi. Wakati huohuo hao wazee wanawasomesha mabinti zao, inamaana hawataki mabinti zao waolewe?
  5. Da'Vinci

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

    Salute NB. Ujumbe huu ni maalumu kwa ajili ya vijana wanaotafuta mwanamke wa kufanya nae maisha yaani Kutunza na kulea familia wakati mume akiwa katika harakati zake za kutafuta kipato cha kutunza familia na sio kwa wale wanaotafuta wanawake ambao watasaidizana kiuchumi. Ningependa kuongea na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa anayefahamu kwa uhakika: Ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza inabidi akae bila kuoa au kuolewa?

    Naomba kufahamu je ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza atalazimika kukaa kabla ya kuruhusiwa kuoa au kuolewa?. Kuna ndugu ameuliza swali hilo ili afanye maamuzi ya kujiunga na jeshi hilo. Tafadhali anayejua kwa uhakika naomba anijuze.
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

    MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani. Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa). Sasa kwa ninyi mliofanya...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

    VIGEZO NA SIFA ZA MWANAMKE WA KUOA KWA 2024 - 2050 Anàandika, Robert Heriel. Mtibeli Pasipo kupoteza muda. Ikiwa wewe ni mwanaume unatafuta mke wa kuoa ili ujenge naye familia basi vigezo na sifa zifuatazo sharti Mwanamke huyo utakayemuita mkeo lazima awe nazo. Ili uishi maisha ya furaha...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka Kuoa japo sijui Namuoa Nani? Mwanaume mwenzangu umeshawai kutokewa na hali hii?

    Habari wadau. Kuna hali inanitokea inanishangaza sana, nimekua na hamu na ndoa ghafla since mwaka jana. cha kushangaza sasa sijui namuoa nani na nipo 35 yrs. Wanaume tunatumia nguvu kubwa kujitafuta na kulea wadogo zetu na wazazi wetu mpaka tunasahau kuandaa spouse. Hapa wanaume tunakosea...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Kabla ya kuoa, ndugu yangu yupo njia panda

    Kuna ndugu yangu mmoja anamchumba sasa kumfuatilia anajiuliza mambo mengi kweli. Mara nyingi tunaamini kuhusu Tabia kurithi kutoka kwa Baba na mama. Sasa katika ndoa kuna mambo mengi hasa utakuta mama anachepuka na kuzaa na ME mwingine na mtoto kumpa mume wake bila kujua au mume akajua baadae...
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliweza vipi kuoa?

    Unajua najiuliza , hivi nyie mliooa mliona nini kwa wake zenu that other women dont , maana mimi kila mwanamke naona the same characteristcs , yani shida shida , ukipata atleast ana a very terrible past , yani kauza sana , mimi na very good history from exs, karibu wote wana admit , wao ndo...
  12. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume unaanzaje kuoa binti ambae uchumbani hajawai ama ni mvivu kukufulia, kukupikia, kufanya usafi wa chumba / nyumba, n.k.

    Naandika uzi huu kwasababu nazidi kujionea baadhi ya ndoa hizi za kizazi kipya zimekuwa za ajabu sana, hata ile tafsiri ya kuvuta jiko imeanza kupotea. Na tuache masikhara, ndoa zetu za kiafrika mwanamke ana majukumu yake na mwanaume ana majukumu yake na kuna majukumu ya wote kwa pamoja...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakataa ndoa na kuoa halafu unatoka kimapenzi na wake au waume za watu ndio mazuzu walivyo

    Kampeni ya kataa ndoa na kuoa inamantiki kwa wasiotoka kingono na wake au waume za watu nje hapo hawa wanachama Ni mazombi. Ukibisha utapaa mbinguni na mapepo
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti ninyi waoaji, mnapotaka kuoa huwa mnazingatia kigezo kipi kati ya Uzuri, akili na kipato cha mwanamke?

    Kuna maoni mseto katika kila kigezo. Uzuri unaweza kutoweka kwa magonjwa ama ajali. Akili inaweza isifanye kazi kutokana na mazingira na jiografia ya eneo anapoolewa. Kipato chake kinaweza kutoweka kwasabb zozote zile. Ikiwa kila kigezo kina shida zake, ni kipi basi mtu anapaswa kukizingatia...
  15. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Padri asioruhusiwa kumbariki marehemu mkatoliki ambae amefariki bila kuoa leo hii anaruhusiwa kubariki mashoga wakitaka baraka.

    Roman Catholic imekua comedy sasa. Yaan nakumbuka kuna mzee mmoja mtaani nilipokulia alikuaga mkatoliki mzuri ila alikua na wake wawili. Alipofariki yule mzee alizikwa na katekista tu, padri akasusia msiba hata hakuja kutoa baraka. Vile vile marehemu Ruge tuliona namna maaskofu wa bukoba...
  16. matunduizi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matokeo matatu ya kuoa au kuolewa na mwanamke/mwanaume uliyezini naye

    1: Ataendelea kuzini na wengine akipata nafasi. 2: Msingi wa ndoa utakuwa ni mashaka na kujishtukia. Msingi huo utaarika kurogwa na limbwata kwa mwenzi ili ajiongezee konfidensi. 3: Tendo la ndoa ndani ya ndoa huarika malaika wa baraka na utele. Tendo la ndoa nje ya ndoa au kabla ya ndoa...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unataka kuoa au kuolewa haraka soma ujumbe huu

    HABARI NJEMA KWA WANAUME NA WANAWAKE WANAIHITAJI MKE AU MME Kama wewe ni manadada unatamani kuolewa lakini hakuna WANAUME walio serious kukutongoza ili wakuoe Sasa tatizo Hilo linatatuliwa Kwa HARAKA sana Kwa kutumia dawa unakuwa umepata mchumba WA uhakika WA kukuoa na SIO kuchezewa Kwa...
  18. tpaul

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake wa kuoa wanapatikana mtaani sio kwenye ulokole, shauri yako!

    Naingia kwenye mada straight away bila kuwachosha. Mada hii inatokana na utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni. Ndugu zangu mabachela mnaotafuta wanawake wa kuoa nawaomba muwe makini sana na mchukue tahadhari ya kutosha. Wanawake safi wa kuoa hupatikana mtaani sio kwenye makanisa ya kilokole...
  19. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kumbe kuoa sio lazima

    Hapo vip!! Kwawale ambao walikuwa hawafahamu kama mimi,ni hivi kuoa sio lazima. Hivi hata Mungu wetu hajalazimisha watu waoa ila amekataza uzinzi,uwasherati n.k Ninachoamini Furaha kubwa katika ulimwengu huu ni ile hali ya kuwa na furaha ambayo haitokani na watu au mtu..independent...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mahakama zisituingilie ndoa za kikristo, ni kifo ama usaliti ziwe sababu za kuvunja ndoa ama kuoa tena, adhabu ya kukiuka iwe kifungo cha maisha

    Ndoa tumekubaliana kufunga ya kikristo na tumekula kiapo ni mpaka kifo ama moja akisaliti, iweje tukimbilie mahakamani kuzivunja kwa sababu zilizo nje ya kiapo ? Nashangaa mahakama zinaingilia sana mambo ya dini za watu badala ya kuyaachia makanisa kusolve ndoa za kikristo. Sheria za kanisani...
Back
Top Bottom