Matokeo matatu ya kuoa au kuolewa na mwanamke/mwanaume uliyezini naye

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,592
15,387
1: Ataendelea kuzini na wengine akipata nafasi.

2: Msingi wa ndoa utakuwa ni mashaka na kujishtukia. Msingi huo utaarika kurogwa na limbwata kwa mwenzi ili ajiongezee konfidensi.

3: Tendo la ndoa ndani ya ndoa huarika malaika wa baraka na utele. Tendo la ndoa nje ya ndoa au kabla ya ndoa huarika majini ya majanga, majuto na uharibifu. Ndoa ya wazizi huunganishwa pamoja na majini yao.

Nini cha Kufanya.

Usioe mwanamke uliyezini naye. Usiolewe na mwanaume uliyezini naye.

Ni hayo tu.
 
Unatamani kuwa mtu flani mwalimu, mshauri na mwelekezaji katika masuala ya kiroho.
Boresha kiwango chako cha kiroho kwa kujifunza zaidi.

Jisomee neno la Mungu kupitia biblia na vyanzo vingine kama vile vitabu vilivyoandikwa na wanathiolojia nk.

Jifunze kuomba.

Mafundisho yoyote yasiyo na rejea ni sawa na bure na hautaeleweka.

Siku zote kumbuka unapoleta hoja, somo au andiko ujue kuwa unapaswa kuwashawishi watu kukuamini.

Hili huwezi kufanikiwa ikiwa hutatambua kuwa kuna watu wenye uwezo mkubwa wa hicho unacho deliver kuliko wewe.

Huu ni ushauri wangu wa upendo kwa vile nilishatambua mwelekeo wako unakotamani kwenda au kuwa.
 
Jidomee neno la Mungu kupitia biblia na vyanzo vingine kama vile vitabu vilivyoandikwa na wanathiolojia nk.

Jifunze kuomba.

Mafundisho yoyote yasiyo na rejea ni sawa na bure na hautaeleweka.

Siku zote kumbuka unapoleta hoja, somo au andiko ujue kuwa unapaswa kuwashawishi watu kukuamini.

Hili huwezi kufanikiwa ikiwa hutatambua kuwa kuna watu wenye uwezo mkubwa wa hicho inacho deliver kuliko wewe.

Huu ni ushauri wangu wa upendo kwa vile nilishatambua mwelekeo wako unakotamani kwenda au kuwa.
Asante sitamani kuwa hivyo.
Mimi ni raia wa kawaida kabisa na sihitaji mtu anifuate. Hivyo ninaandika bila kuvizia watu wanipende na kunifuata.
Ndio maana situmii identifications ambazo zingenipeleka huko.
 
1: Ataendelea kuzini na wengine akipata nafasi.

2: Msingi wa ndoa utakuwa ni mashaka na kujishtukia. Msingi huo utaarika kurogwa na limbwata kwa mwenzi ili ajiongezee konfidensi.

3: Tendo la ndoa ndani ya ndoa huarika malaika wa baraka na utele. Tendo la ndoa nje ya ndoa au kabla ya ndoa huarika majini ya majanga, majuto na uharibifu. Ndoa ya wazizi huunganishwa pamoja na majini yao.

Nini cha Kufanya.
Usioe mwanamke uliyezini naye. Usiolewe na mwanaume uliyezini naye.

Ni hayo tu.
Wewe ni mfano wa mafarisayo wa zamani
 
Unatamani kuwa mtu flani mwalimu, mshauri na mwelekezaji katika masuala ya kiroho.
Boresha kiwango chako cha kiroho kwa kujifunza zaidi.

Jisomee neno la Mungu kupitia biblia na vyanzo vingine kama vile vitabu vilivyoandikwa na wanathiolojia nk.

Jifunze kuomba.

Mafundisho yoyote yasiyo na rejea ni sawa na bure na hautaeleweka.

Siku zote kumbuka unapoleta hoja, somo au andiko ujue kuwa unapaswa kuwashawishi watu kukuamini.

Hili huwezi kufanikiwa ikiwa hutatambua kuwa kuna watu wenye uwezo mkubwa wa hicho unacho deliver kuliko wewe.

Huu ni ushauri wangu wa upendo kwa vile nilishatambua mwelekeo wako unakotamani kwenda au kuwa.
Nakazia 🔨🔨🔨🔨🔨
 
Jamaa huwa anasimuliwa na yeye anakuja kutusimulia
 
1: Ataendelea kuzini na wengine akipata nafasi.

2: Msingi wa ndoa utakuwa ni mashaka na kujishtukia. Msingi huo utaarika kurogwa na limbwata kwa mwenzi ili ajiongezee konfidensi.

3: Tendo la ndoa ndani ya ndoa huarika malaika wa baraka na utele. Tendo la ndoa nje ya ndoa au kabla ya ndoa huarika majini ya majanga, majuto na uharibifu. Ndoa ya wazizi huunganishwa pamoja na majini yao.

Nini cha Kufanya.
Usioe mwanamke uliyezini naye. Usiolewe na mwanaume uliyezini naye.

Ni hayo tu.
A: Sperms hutumika sana kuvunja nguvu za kiroho baina ya Ke na Me kiuzinzi.

B: Kuaminiana/Uaminifu ni 0 baina ya Ke na Me waliozini kabla ya ndoa sababu ya kumbukumbu za jinsi walivyozini kabla ya ndoa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom