kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

    Habari za wakati huu ndugu zangu na wanajamvi la Hoja mchanganyiko? Nitaomba radhi kwa yule nitamkwaza ila acha niliweke hili swala hapa jukwaani tulijadili. Mimi nimebahatika kulelewa na wazazi wote wawili mpaka nimekuwa mtu mzima. Kufika kwangu hapa ni Juhudi za bila kuchoka za Mama na Baba...
  2. luchelele mzunguko

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya kuoa au kuolewa na sogea tukae

    Wakuu mimi ninavyofahamu ni kwamba ndoa ni makubaliano ya mwanaume na mwanamke ya kuwa mume na mke. Lakini makubaliano haya yawe yamedhibitishwa eidha na watumishi wa Mungu au viongozi wa kimila kwa mujibu wa ndoa za kimila au na Hakimu kwa mujibu wa ndoa za kiserikali zote hizi wakiwepo...
  3. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hamtafikia hii hatua mana mnapenda Slope(Neutral)

    Za kazi wadau. Maisha yanahitaji fedha sana kuyaendesha.Ila wasichana mmekua na tamaa na kuweka wazi shida zenu mapema zaidi. Kamati kuu kama tulivyokubaliana, hakuna kuwaoa watu wa dizaini hii, chezea dump kule.
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mabraza mliooa, mnaweza tupatia ushauri gani sisi ambao tunataka kuoa?

    Wakuu habari. Moja kwa Moja kwenye mada. Mabraza mliotangulia kuoa, ni ushauri gani mfupi mnaweza kutupatia sisi ambao tunatazamia kuoa hivi karibuni? Vitu kama umri wa kuoa, kushare mishahara na mke, kujenga nyumba na kuandika majina yenu wote, kuchanga na kununua gari, kurudi home mapema au...
  5. kibovu

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumgegeda kila nikilala nashtuka, nimekoma

    Igweeeeeeeeeee, Ndugu zangu kuanzia leo nimeacha kabisa ulevi kunywa beer pamoja na kuchukua wanawake tofauti tofauti. Ndugu zangu wiki lililopita nilikutana na mwanamke mmoja jijini Dar es salaam tuliwahi kukutana nae kwa mara ya kwanza manispaa ya Kahama kwenye bar inayoitwa The fox bar and...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Naweza kuoa mwanamke kutoka nyumba alipooa kaka yangu?

    Habari za muda huu wana JF! Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza hapo. Nimempenda mdogo wake na mke wa kaka yangu. Je naweza kuoa? Kimaadili imekaaje hii? Msaada tafadhali.
  7. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Wanaume ambao hawana mpango kuoa hebu njooni mtueleze nini kiliwafanya mfikie maamuzi hayo

    Kama kichwa cha habari kinavuojieleza ilikuweje ukafikia hatua ya kufanya maamuzi ya hutokuja kuoa au hiutokaa Luciano Je, tazizo ni nini?
  8. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna wanaoamini mapenzi ya kweli kama mimi?

    Licha ya kwamba marafiki zangu wengi Ni dungadunga na madungwadungwa,mm sijaathiriwa na hiyo tabia, bado nimetulia zangu nikiwa single nikitafuta anayeendana na mimi; mwenye mapenzi ya kweli na uaminifu kwenye mahusiano. Kwa bahati mbaya madem waaminifu kuwapata ni vigum, hata ukiwapata...
  9. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

    Mambo vp jamiiforums. Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja (mama yao mmoja). Mama wa kambo ambaye ni ndugu wa mama mzazi anatunza watoto wa dada yake kwa roho ya upendo sana kuliko mama wa kambo ambaye si ndugu. Wale mliolelewa na...
  10. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna athari kuoa mwanamke anayeanza mahusiano kwa vizinga

    Ukweli bado vijana wengi tuna dhana ile tunaamini mwanamke ambaye hakuombi hela ndo anafaa kuwa mke sasa limeibuka wimbi kubwa la wanawake wapiga mizinga ukisikiliza maoni ya vijana wanasema wanawake hawa ni hit and run hawafai kuolewa. Sasa nimeamua kuleta mada ili tupeane uzoefu kwa wanaume...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Baba hataki nimuoe binti kisa baba yake mkubwa alikuwa mwizi!

    Habarini za wakati huu mabibi na bwana wa JF.......! Mimi ni kijana wa kwanza kuzaliwa kwa wazazi wangu. Kwa sasa nina umri wa miaka 27, kama mjuavyo huo ni umri sahihi kabisa wa mimi kuwa na mwenza wa kusaidiana nae kulisongesha gurudumu la maisha...! Na mzee wangu amekua mastari wa mbele...
  12. Athman Profesa

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuoa mzazi mwenzangu, bado ninatamani wanawake wengine

    Mim nikijana nIna 26. Kuna dada nIlimpata chuo ananipenda sana kanizalia katoto kana mwaka 1.5 sasa. Mahusiano yetu yana miaka mi3. Na nimda sana ananipigia kelele kuhusu ndoa. Nami ninamthamini sana kwakuwa anamapenzi yakweli kwangu. Tatizo mimi ninatamaa sana ninawatamani sana wadada wengine...
  13. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hawezi kuoa binti anayejua kila kitu

    Nani aoe shida Jamini? Unaoa binti anajua kila kitu siasa yeye, mpira yeye, ujasiliamali yeye, kubeti yeye, Movie yeye, biashara yeye, hadi Harakati yeye. Hii haitakuwa ndoa sasa. Hawa tunawaacha humu waendelee kupush ajenda! [emoji56][emoji56][emoji56][emoji119][emoji119][emoji119]
  14. H

    JamiiForums Tanzania Katika harakati zangu za harusi nimepata idea ya App

    Ni katika wakati ambao nilikuwa nawaza ni kwa namna gani nitaweza kukusanya michango ya ahadi kutoka kwa marafiki zangu walio mbali au nje ya nchi kwa njia rahisi kwa shughuli hiyo na ndipo nikapata wazo la kutengeneza web App ambayo itakuwa ikifanya management ya weeding and kitchen party...
  15. Muuza simu used

    JamiiForums Tanzania Ukichelewa kuoa unapunguza Muda

    Naam! Ukichelewa kuoa unapunguza muda wa maumivu na mateso ya kujitakia bila sababu! Kama ni watoto utawapata kwa single mother! Nikifikisha miaka 45 ndio nitaanza kujifikiria kama kutakuwa na ulazima wa kuoa ama hapana! Kama waliooa wake zao kila siku wanapishana maghetto ya wajuba mimi ni...
  16. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani magumu uliyowahi kuyafanya katika mahusiano yako?

    Unapokuwa katika mahusiano yoyote huwa kuna nyakati zinafika au unapitia unaona hapa bora nichukue uamuzi mgumu lolote liwe. Mimi niliwahi kumwambia mpenzi wangu niliwahi kumpenda tuachane baada ya toxic relationship kubadili mwelekeo wa maisha yangu ilibidi ni kuvunja mahusiano kwa mtu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Umri unaenda sijisikii kabisa kuoa

    Umri wangu ni miaka 34 kwa sasa, Nina kazi as mwalimu, nafanya biashara na kilimo sana, nina nyumba zangu nilizojenga na nyingine za urithi, Nina mtoto mmoja namhudumia, mzazi mwenzangu nilishamtolea mahali yote kifupi kwa maisha ya kitanzania kwangu si Haba sana. Changamoto niliyonayo kubwa...
  18. Nduka Original

    JamiiForums Tanzania Usifanye makosa haya kwenye kuoa au kuolewa

    Natoa tip kwa wale ambao hawajaoa au kuolewa usije fanya kosa hili kubwa kwenye maisha yako. Mpende sana mtu wako na kumheshimu siku zote, love should always be unconditional and not conditional so avoid being submissive to your love yani maana yake usikae na mtu kwa sababu ya status yake so...
  19. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaotaka kuoa single Mother hebu pitieni hapa

    Kama wewe ni kijana upo ktk mahusiano na single Mother kabla hujamuoa jiulize maswali haya........ . 1.unafahamu chanzo cha yeye kutengana na mzazi mwenzake 2.ushawahi kupata nafasi ya kuzungumza na mzazi mwenzie akupe story zake kiundani mpka walifikia hatua ya kutengana 3.jina la mtoto wake...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume hawapendi kuoa experienced woman?

    Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh. Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni...
Back
Top Bottom