kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Papa aruhusu Mashemasi kuoa huko Ufilipino. Je, itafaa Afrika?

    Vatikani imeidhinisha ombi la maaskofu wa Ufilipino la kuwaruhusu kuwatawaza Wakatoliki waliohitimu, wakiwemo wanaume waliooa kuwa mashemasi wa kudumu ili kusaidia kuangalia uwiano wa mapadre na katoliki unaoongezeka nchini humo. Papa Francis alikubali ombi la Baraza la Maaskofu Katoliki...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wetu hasa hawa wa kiume wanahamasishana kila kona na kampeni yao yenye hashtag #KATAA NDOA Sababu wanazotoa zinachekesha mno na kwakweli hazina mashiko.. Kubwa ikiwa ni kuogopa kusalitiwa lakini pia kuna la uchoyo na kukwepa majukumu ila haya hawayasemi kwa...
  3. Kichwamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume anayepinga kuoa na ndoa halafu yupo magetoni anahangaika na masufuria kupika, ni masikini wa akili

    Ukweli usemwe, mwanaume yeyote ambae yupo maghettoni na anahangaika na Masufuria kupika ni mjinga wa kutupwa. Akili ni nywele ndio nao hao wakataa ndoa wanaopika na kuhangaikia na Masufuria huko maghetoni ni masikini wa akili. You hate toilets yet you're the most frequent toilet user, that's...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana hawatongozi na hawataki kuoa kwa sababu hii

    Kwema Wakuu! Kuna Memba kauliza na kutaka kujua ni Kwa nini Vijana WA siku hizi wamepunguza kutongoza na wengi hawataki kuoa. Nikasema nichangie kidogo. Vijana hawatongozi na hawataki kuoa Kwa sababu zifuatazo; 1. Supply ya papuchi Kwa sasa ni kubwa, automatically demand itakuwa ndogo na...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa Kuna Siri gani kuhusu ukiwa na hela unapoteza shauku ya Kupata kitu mfano swala la kuoa Mtu ukipata hela unalisahau kama huwa lipo.?

    Nilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela. Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia...
  6. Unique Flower

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

    Bora ningeolewa na mchagga wangu ambaye hawezi simamisha kuliko haya ninayoyapitia walahi . Aisee unakutana na vioja hadi unazima. Kha! Hii ni mbaya walahi nimekutana na abunuasi . Na hadithi zake . Aisee hii ni critical mtu kapinda pinda hadi ujui umnyooshe wapi.
  7. R-K-O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

    Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga. Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia. Kufikia Leo Fredi ana miaka 41 huku Recho ana 40, unaweza kuhisi Fred alioa dada yake. Fred ni rafiki yangu, anakiri kwamba...
  8. Exile

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa Zabron Singers unaweza ukatamani kuoa kutokana na vibe lake

  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuoa Zanzibar

    Habari zenu wana jamvi. Nisiwachose sana. Ni hivi, sauti yangu ya ndani inanishuhudia nioe mwanamke wa kizanzibari.. Kuhusu dini Mimi ni Mkristo mwenye vinasaba vya uislamu. Nipo tayari kusilimu wakati wowote ule. Kwanza I am not even a church going person. Ukristo wangu ni ukristo wenye...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe kijana usikubali kuoa au kuwa katika mahusiano na binti anayeigiza kukupenda.

    Habari Kwa nchi za Afrika Tanzania ikiwemo kuna trend kubwa ya wanaume kufa mapema kuliko wake zao. Wakati naishi Uswahilini nyumba nyingi nilizopanga au nyumba za majirani nyingi hazina wanaume (baba mwenye nyumba). Hii yote sababu kuu ni wanaume kujiingiza katika mapenzi au ndoa na wanawake...
  11. R-K-O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi na heshima utayapata kwa mgeni wa mapenzi uliemzidi umri, Tafuta binti mwenye 16 hadi 20, usije kufanya kosa la kuoa mwanamke mliefanana umri

    MUHIMU: Sheria za Tanzania zinaruhusu kuao binti mwenye miaka 15 Kwanza kabisa nisema binti wa miaka 15 sheria zinaruhusu aolewe, ni kwa wakristo tu sheria za makanisa yaliyoanzishwa ulaya hayakuwa na budi kufata sheria za ulaya, kwenye biblia binti akifika miaka hata 13 mwanaume anaweka order...
  12. Gulio Blog

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Miaka yangu ni 28 Naishi mkoa wa Iringa Kazi yangu kwa sasa ni machinga Natafuta mke wa kuoa Miaka 22-25 Asiwe na mtoto Awe muwazi na mkweli Mwenye kuheshimu kila mtu Elimu yoyote Awe na nia ya kweli kuanza maisha na mimi
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Makambako (Jah People) atangaza kuwachangia Fedha Vijana watakaotaka Kuoa au Kuolewa

    Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema Kijana yeyote ambaye atahitaji kuoa au kuolewa ofisi yake itamchangia fedha ili kumuunga mkono katika kufanikisha ndoa yake lengo ikiwa ni kuhamasisha utaratibu mzuri wa kuoana pamoja na kuongeza idadi ya Watu Mkoani humo...
  14. DR nijilekukasi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida za kuoa mke zaidi ya mmoja katika jamii yetu kwa wanaume na wanawake

    Zifuatazo ni faida za kuoa mke zaidi ya mmoja 01. kupunguza wimbi kubwa la machafu ya uzinifu kwenye jamii....sababu wanawake asilimia kubwa watakuwa kwenye stara 02. Kuongezeka kwa uchumi na kukua maendeleo katika jamii ,hili jambo linatokana na baraka kutoka kwa Mungu wetu tutapowastiri...
  15. Hamza Nsiha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kuoa

    Ndugu wana JamiiForums ninapenda kuomba ushauri hivi nikitaka kuoa nizingatie sifa zipi (characteristics) Kwasababu hivi sasa hakuna ndoa imekuwa ni complex organization ambayo inaundwa na vipengele vidogo vidogo vingi. Unaweza oa kwa kuangalia hiki, then mkashindwana kwa kile. Hivyo basi...
  16. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika vijana waliopatia kuoa Bilnas yumo, ndoa yake na Nandy ni mfano wa kuigwa na vijana wa kisasa. Ina win win nyingi sana

    Habari wadau. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza billnass amepatia sana kumuoa nandy. Kwa sababu zifuatazo 1. Same Purpose kwenye maisha kati yao billnass na nandy. Wote wana passion na muziki. Billnass anajua kuandika nyimbo na mke wake nandy anajua kuimba. Wameji complete hapa. Nandy...
  17. Kichwamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikitaka kuoa nitatembea nae kwanza kisha ntampima kwa maadili, heshima na ubunifu

    Habari zenu wadau! Ikitokea naondoka kwenye chama cha mabaharia na wala bata Tanzania na kusaliti kwa kufanya ufala wa kuoa basi potelea mbali kwanza nitatembea nae vya kutosha, pia ntamfanyia interview na uchunguzi wa maeneo matatu ya msingi nayo ni. 1. Maadili 2. Heshima 3. Ubunifu Mengine...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Vijana walioshindwa kuoa kisa mahari sasa wamelipiwa ili waweze kuoa, wengi wao watoka Dar es Salaam

    Mkurugenzi wa Al-Hikma Foundation, Sheikh Nurdin Kishki amesema kati ya mabwana harusi 70 wanaofungishwa ndoa nusu yao wametoka Mkoa wa Dar es Salaam. Hayo yamebainika wakati mkurugenzi huyo akitaja maeneo watakayopeleka mahari ikiwamo Dodoma, Lindi, Mtwara, Pwani, Mwanza, Morogoro, Manyara...
  19. Kichwamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

    Habarini nyote, Maarifa na ufahamu ni kitu cha bure, napenda kuwajuza ya kwamba haifai kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kama mume alokuwa nae bado yupo. Ni nuksi mbaya na ni dhambi ogopa nuksi. Itoshe kusema hayo chukueni tahadhari. Yangu ni hayo tu.
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tayari nimepata mwanamke wa kuoa ila kuna vitu sijaelewa wakuu. Nishaurini tafadhali

    Wakuu leo naandika nikiwa na mawazo mengi sana. Mara nyingi nimekuwa nikileta nyuzi za masuala ya kitaifa ila leo huu uzi ni wa ishu yangu binafsi. Mimi kada mtiifu wa CCM kwa sasa kuna mambo nimeshindwa kuelewa kabisa kwa huyu mwanamke ambaye nimetangaza nia ya kumuoa. Nataka ushauri wenu...
Back
Top Bottom