The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,459
- 17,265
Kampuni ya kutengeneza processor za simu za kiwango cha juu ya Taiwani, Taiwanese Semiconductor Manufacturing Company au TSMC imesema haitapoea ombi lolote wa kuiuzia processor zake kampuni ya Huawei kuanzia September 14, 2020 ili kutokumbana na vikwazo vya Marekani.
Marekani imezuia kampuni yoyote Duniani inayotumia teknolojia yake kutengeneza bidhaa zozote kutokuiuzia hiyo bidhaa kampuni ya Huawei ya China bila ruhusa kutoka Washington.
TSMC ndie anaongoza kutengeneza processor za simu za makampuni makubwa kama Huawei, Apple, Samsung, One Plus na mengine. Sehemu kubwa ya processor zake hunuliwa na hayo makampuni hasa Apple na Huawei.
Marekani amedhamiria kuiondoa Huawei Sokoni.
TSMC Will Cut Off Supply to Huawei In September