kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Insidious

    Kipi cha kuzingatia wakati wa kununua gari kwa mtu

    Kwema wanajukwaa? Je ni kipi cha kuzingatia pindi unapotaka kununua gari kwa mtu? Kiufundi na masualabya kufanya muamala baina ya muuzaji na mnunuaji.
  2. M

    Ni kwanini watanzania wengi bado wanapenda magari ya zamani yenye gearbox za 4AT badala ya gearbox za kisasa yenye CVT ?

    Magari mengi yenye gearbox za 4at ni yamiaka zaidi ya 15 iliyopita Magari ya CVT ni ya kisasa zaidi na yanatumia mafuta kidogo Lakini unawakuta watu wapo radhi kununua gari yenye 4at yenye gharama kubwa zaidi kuzidi yenye cvt. Kwanini watanzania wanaogopa CVT ?
  3. Mad Max

    Kipi ni Bora kwako: Kununua nguo/kiatu kimoja brand/OG kwa bei kubwa au kununua copy nyingi kwa bei ndogo?

    Wakuu. Upi mtazamo wako kwenye bei inapokuja swala la kununua mavazi, nguo au mikoba nk? Kuna viatu vinauzwa zaidi ya $200 (zaidi ya Tsh 500,000) wakati kiatu iko iko kwa muonekano unakipata Kariakoo kwa Tsh 50,000! Pia kwa mikoba ya brand maarufu kama LV, Gucci, Hermes nk unakuta unauzwa hadi...
  4. Analogia Malenga

    Benjamin Fernandes atangaza nia ya kununua benki Afrika Mashariki

    Je anunue benki gani CEO wa mama Nala?
  5. R

    Ni njia ipi bora ya kufanya malipo ya kununua bidhaa online? debit au prepaid card?

    Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2026.. ninaomba kupata elimu kidogo kuhusu suala la kulipia vitu mitandaoni, nataman kujua ni njia ipi salama zaidi nitumie kati ya debit card ya benki, prepaid card au card hizi wanatoa mitandao ya simu.. na pia kuhusu prepaid za usd nimeona ni benki...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    Mwaka unaisha, ni kitu gani cha thamani umefanikiwa kununua mwaka huu?

    Twende kazi, mwaka huu umenunua kitu gani cha thamani zaidi?
  7. Kimbesa11

    Tanzania si nchi ya kununua unga wa ugali nyie mliokuja kijijini msiondoke bila kulima eka 1 ya shamba la mahindi

    Nianze na kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 kwa kuenzi falsafa ya Mwl Nyerere ya Siasa na kilimo. Toka aingie madarakani Mh. Rais ameendelea kugawa matani kwa matani ya mbolea za ruzuku kwetu sisi wakulima. Asante sana Rais WETU🙏 Mtanzania kununua unga wa ugali na hii ardhi nzuri...
  8. M

    Wasanii kwisha habari yao, tuhamie kwa waandishi wa habari, hakuna kusoma, kusikiliza na kununua magazeti yao

    Mbiu hii ipigwe kote kwenye viunga vyote vya mitandao ya kijamii, kila alipo mpenda haki tarifa hizi zimfikie kwa namna yoyote ile Nani asiyejua? Vyombo vya habari ni chombo kikiamua kutekeleza majukumu yake, nchi inaweza kushinda vita dhidi ya adui bila hata kutumia silaha Cha ajabu katika...
  9. kingphisher

    JE, HUWA UNAZINGATIA NINI UKITAKA KUNUNUA SUBWOOFER(SABUFA)

    VITU VYA KUZINGATIA PINDI UENDAPO KUNUNUA SABUFA (RADIO) Je, huwa unazingatia nini ukitaka kununua sabufa? leo nimekuja na elimu bora ya kuwajuza vitu vya kuzingatia ukitaka kununua radio. wengi wenu hudhani kuwa radio yenye watt kubwa ndo radio bora. ukweli ni kwamba Watt peke yake haitoshi...
  10. Multi-skilled

    Ushauri wa Bure: Usinunue gari hizi mkononi

    Ewe mtanzania mwenye kuhitaji gari BAJETI NDOGO ya mkononi kwa mtu kwa ushauri usijaribu kununua gari mkononi mwa mtanzania mwenzako isipokuwa kwa gari zifuatazo. 1. Toyota premio, Toyota allion, Toyota corolla x, corona premio, Axio, Toyota carina ( Mafundi tele, spare tele na cheap, zina...
  11. Mkanaani

    Usiteseke na joto, njoo upate AC kwa kulipia kidogo kidogo, kukodisha au kununua cash.

    Habari zenu wapendwa, tukiwa msimu wa joto naomba kuwakaribisha wote wenye uhitaji wa AC kutoka Baridi Baridi ili kupambana na joto nyumbani, ofisini, hotelini, supermarkets n.k AC zetu unaweza kupata kwa; KULIPIA KIDOGO KIDOGO, hapa unakua unafungiwa AC na unakua unalipia kidogo kidogo kila...
  12. Fbn

    Hii inamaanisha tukiacha kununua magari watu wa UKIMWI tutawapoteza?

    Ina maana madawa ya ukimwi yanategemea kodi ya magari sasa. Kwa nini kusitafutiwe vyanzo na ubunifu mpaka mkafikiria huko.
  13. Replica

    Wakamatwa kwa kujitangaza kutoa huduma ya internet ya Starlink Instagram

    Kamanda Murilo leo ametangaza kukamata watu wawili, mtanzania na mchina kwa kuingiza vifaa na kutangaza kutoa huduma ya internet ya starlink. Polisi wamesema wameuza vifaa hivyo bila kuidhinishwa na TCRA. Naona kama mitandao yetu wanaipiga pini starlink by fire, by force 😅 Kwanini Serikali...
  14. Hance Mtanashati

    Hakuna kununua chochote kwenye biashara ya msanii, iwe ni nguo, vipodozi, msiishie tu kuwa unfollow

    Boashara yoyote inayofanywa na msanii hakikisha haumuungishi, mkiacha kuwaungisha mauzo yatashuka, mwisho wa siku ataishia kufunga tu biashara yenyewe. Na si hivyo tu, hakikisha pia bidhaa zozote zinazotangazwa na msanii hununui, mauzo yakiporomoka ubalozi atavuliwa.
  15. M

    Badala ya kununua Helikopta za kisasa za kuzimia moto wao wananunua za kufanyia doria

    Doria ya nini? Hakuna majibu. Nasikia Hekkopta za kijeshi zinafanya doria miji mikubwa kama Arusha na mingineyo. Kwa nini wasinunue helkopta kama hizi ili kuzima moto kwenye majanga makub2a kama huko mlima Hanang ?
  16. H

    Mahakama kuwataka wateja wake kununua "flash" kwaajili ya hukumu ni sawa??

    Kumekuwa na tabia ya mahakimu na makarani wa mahakama za Tanzania kuwataka wateja wao kununua flash au kutoa anwani za barua pepe zao ili kuwatumia hukumu zao. Hivi jamani 80% ya watanzania waishio vijijini wanauelewa na hivi vitu wanavyokaa tu viongozi wa mahakama na kupanga kwa maamuzi yao...
  17. S

    Wafadhili watubane tu mpaka ifike mahala kununua kilo ya unga iwe ni mtihani halafu tuone hawa polisi, TISS na Jeshi kama wataendelea kulinda watawala

    Mimi naomba tu nchi wafadhali na mashirika ya fedha duniani, waungane wasitishe mikopo na misaada kwa asilimia 100 kama ambavyo umoja wa ulaya teyari umeonyesha mfano. Uchumi uvurugike, tushindwe kununua hata kilo ya unga na hata mishahara iiwe shida kulipa, halafu tuone kama hivi vyombo vya...
  18. Hance Mtanashati

    Diamond aweweseka, aanza kununua maroboti yamjazie idadi ya followers

    Dozi inaanza kumuingia taratibu Diamond, kila akipost hapati comments wala like za kutosha kama mwanzoni hivyo inadhihirisha nguvu yake ya ushawishi inazidi kuporomoka. Kuna post mbili alipost kupromote nyimbo zake na zote hizo post kapata mwitikio mdogo. Kaja na drama zake na kizuchu wake...
  19. G

    Kununua gari used

    Habarini wakuu, Nataka kununua gari used kutoka kwa dalali. Ni vitu gani kuwa navyo makini nisije pigwa? (Niko based Arusha)
  20. kiss ov love

    Nataka kununua godoro kampuni hii, ushauri

    Nataka kununua godoro la spring kampuni hii, ushauri kwa waliowahi kutumia
Back
Top Bottom