Somesha wanao wasije kuhangaika kununua PhD

Somesha wanao wasije kuhangaika kununua PhD

Emmanuel kant

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2026
Posts
257
Reaction score
730
Ndugu zangu ushauri sio shuruti PhD ya kununua naona haikati kiu kila siku utanunua. Muhimu usomeshe wanao.
1775911457281.png
 
Mada yako ni nini au ukitaka kuandika nini ?

Ushaambiwa mwanasiasa usitegmee cleanest kwa kundi Hilo

Hata wewe ukiingia huko hautakuwa wewe wa Sasa .
 
Narudia, hakuna watu wanapata tabu Dunia hii kwa Sasa kama haters wa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Hakika wanateseka sana. Inafurahisha kweli kuyaona maumivu ya haters.
 
Waafrika tuna obsession na vyeti ata kama havina faida katika maisha yetu ya kila siku.

Yaani mtu anasikia raha tu akiitwa msomi, Dr, PhD, MSc, Engineer, Wakili, CPA and other nonsensical titles. Labda kwa sababu access to education bado ni privilege fulani hivi.

Kama huna qualification, unaendesha maisha poa ambayo hayaitaji cheti; you are not missing anything in life unaweza kujifunza mengi tu bila ya formal education leo, if curiosity drives you.

Tuna kasumba tu na hivi vyeti.
 
Ukituambia una PhD, tuna kliki google kuangalia machapisho/makala za kitaalamu unazoziandikia dunia, kama hazifiki 50, hiyo sio PhD​
 
Back
Top Bottom