Serikali inaweza kununua oil tankers?

Serikali inaweza kununua oil tankers?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,622
Reaction score
20,569
Nawaza hapa kwa sauti. Kwa nini tusingenunua oil tankers badala ya ndege za abiria? Leo tungekuwa wachuuzi wakubwa wa mafuta yaliyokuwa refined huu ukanda. Inaweza kuwa na faida tukanunua oil tankers sasa?
Sunray-panamax-TEN-780x470.jpg
 
Nawaza hapa kwa sauti. Kwa nini tusingenunua oil tankers badala ya ndege za abiria? Leo tungekuwa wachuuzi wakubwa wa mafuta yaliyokuwa refined huu ukanda. Inaweza kuwa na faida tukanunua oil tankers sasa?
View attachment 3569527
Sasa wakinunua hizo oil tankers wao kama wafanyabiashara 10% ya kupata hela za Bure serikalini wataitoa wapi?
Yaani viongozi hawa ambao wapo hapo kwa wizi wa kura wawaze kuhusu kuwapunguzia makali wananchi wapumbavu wanaowasupport🤣🤣
 
Back
Top Bottom