kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Serikali inaweza kununua oil tankers?

    Nawaza hapa kwa sauti. Kwa nini tusingenunua oil tankers badala ya ndege za abiria? Leo tungekuwa wachuuzi wakubwa wa mafuta yaliyokuwa refined huu ukanda. Inaweza kuwa na faida tukanunua oil tankers sasa?
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Magari ya Japan (Japanese used cars) za kununua 2026!

    Wakuu. Tujaribu kulist magari yaliyotumika Japan ambayo ni rafiki kununua kwa mwaka 2026 (maybe na kuendelea). Nimeanza mimi kwa kuyaweka hapa, maelezo kidogo, ila unaweza kudiscuss zaidi. Vigezo nilivyotumia: -Gharama (kuna category ya chini ya Mil 20 na nyingine Mil 20+)! -Fuel efficiency...
  3. Jayvpapa

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wakiwa na hela wanakua na obesity wakati ndio wakati mzuri wa kununua vyakula ambavyo ni vizuri kwa afya

    Hii imekua kama utamuduni au ishara ya mtu kuonekana anaishi vizuri lakini ni ndivyo sivyo. Matajiri wengi na wenye kipato ambacho si Cha magumashi hutumia hela zao kwa vyakula visivyo na faida kwao na kuona vyakula hivi vya asili vimepitwa na wakati
  4. Morning Joy Motors

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotaka Kumiliki Kirikuu

    Utangulizi Sidhani kama kuna mkoa ndani ya Tanzania,ambalo halijui show za (Kirikuu) yamekuwa chaguo la wengi wanaoanza au kuendesha biashara ndogo ndogo. Na ni hali ya kawaida kwa wengi ambao wanataka kuanza bishara ya ubebaji mizigo masokoni, kuambiwa kuanza na kirikuu, yaani...
  5. Secret Star

    JamiiForums Tanzania UONGO WA KARNE: "Pesa Haiwezi Kununua Furaha" Neno la Kujifariji La Masikini na Kukaririwa na Wasomi

    Leo naomba tushuke kwenye majukwaa yetu ya usomi na falsafa za akina Socrates, tuingie kwenye hesabu halisi za maisha. Kuna utapeli wa kisaikolojia ambao tumekuwa tukiimba kila siku: "Pesa haileti furaha, utu ni bora kuliko mali." Hii ni kauli mbiu ya kujifariji iliyotengenezwa ili kuwafanya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tuzingatie kitu gani tunapokwenda kununua simu ili tupate simu bora?

    Huu wakati ambao asilimia kubwa ya vitu tunategemea simu aidha kama njia ya mawasiliano, wengine simu ndio ofisi yaani wanatumia kuingizia kipato au wengine kama vifaa vya kujiburudisha kwa kuchezea magemu inahitaji ujuzi na akili kubwa kuweza kufanya machaguo ya wakati wa kuingia sokoni. Sasa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Simu Bora za Kununua nchini Tanzania kwa Mwaka 2026

    Ili kupata uzoefu wa simu za kiwango cha juu (flagship) nchini Tanzania kwa mwaka 2026, Samsung Galaxy S26 Ultra ndiyo chaguo namba moja. Inapatikana madukani kwa makadirio ya TZS 3,500,000 (GB 256) hadi TZS 3,900,000 (GB 512). Kwa wanunuzi wanaozingatia bajeti, mnaweza kuangalia Nothing Phone...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nakerwa na Kampuni hii kuni-SMS kila wiki kutaka kununua mkopo wangu wa HESLB wakati mimi siwajui

    Juzi kati niliona kuna Mdau amelalamika kuwa kuna kampuni imekuwa ikimtumia ujumbe na wakati mwingine kumpigia kwamba wanataka kununua mkopo wake uliosalia kutoka Bosi ya Mikopoy a Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), sasa nami nimeona niweke hapa kero yangu inayoendana na hiyo. Kuna hii kampuni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nimesisitiza kutolimbikiza viporo vya kero na migogoro, kwani inatishia undugu wetu

    Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
  10. Kamanda

    JamiiForums Tanzania Rostam kununua Nation ni mradi wa Ruto

    Nimemsikia na kumuona mfanyabiashara wa Tanzania, Rostam Aziz akitangaza kuinunua Kampuni ya Media ya Nation (NMG) ya Kenya. Amenunua hisa za familia ya Aghakhan zinazozidi asilimia 50. Kutokana na taratibu za biashara, Rostam saa ndiye mmiliki wa vyombo vyote vya habari vya NMG ambavyo viko...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Suala la kuifungia star tv na redio free africa ni kuuwa nchi kiuchumi na kiteknolojia inaonekana kuna muhuni amekataliwa kununua hiyo kampuni

    Suala la kuifungia star tv na redio free africa ni kuuwa nchi kiuchumi na kiteknolojia inaonekana kuna muhuni amekataliwa kununua hiyo kampuni. Kwa hii serikali haramu sishangia kusikia star tv imekataliwa iuuzwa kwa wahuni na hakuna utawala wa kisheria ndio sababu kuu ya kuanza kuiba na...
  12. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kununua ardhi halafu huna pesa ya kujenga ni ujinga, Bora hiyo hela ufanyie biashara

    Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
  13. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Koneksheni ya tenda ya kukusanya/ kununua/ kusafirisha mifugo ya kuchinja Eid (ng’ombe/ mbuzi/ kondoo)

    Habari zenu, Assalam alaykum, Shalom. Baada ya kumshuru Mwenyezimungu, shukrani zangu za dhati ziende kwa admini wa group kisha kwa wanakundi kwa support muliyonipatia kijana mimi wa miaka 25 nilipoandika andiko langu la kwanza la Kutafuta muwekezaji. Nashukuru nilifanikisha kupata na biashara...
  14. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Tanganyika inaruhusu mtu binafsi kununua Dhahabu na kuhifadhi?

    Wajuvi wa mambo naomba kufahamishwa. Hivi sheria ya Tanganyika inaruhusu mtu binafsi kununua Dhahabu na kuituza mwenye? Natanguliza shukrani
  15. VN Warehouse Limited

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa Biashara huonekana pale watu wasiokujua wanapoanza kununua

    Habari wana JF, Kuna kipimo ambacho wafanyabiashara wengi hawakiangalii wanapopima ukuaji wa biashara zao. Wengi huangalia: •Mauzo yameongezeka? •Stock inaisha? •Faida ipo? Lakini kuna swali moja la msingi sana: Ni wateja wangapi wanaokuja kwako ambao hawakuwahi kukujua kabla ya kuanzisha...
  16. Bullshit

    JamiiForums Tanzania Kwanini kubeti inaoneka haram lakini kununua hisa halali?

    Kusema ukweli mimi napenda kubet zaidi na nimependzi wa kubet magoli. Vile vile mimi Nani is hisa, ila hisa ndo ilianza kitambo kabla ya kubet ila kubet napenda sana kuliko kununua hisa. Shida inakujua ukimwambia mtu una bet anaona unafanya jambo la ajabu yaan anakushangaa kwanini una bet ila...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kununua gari kwa mbongo ni mtihani, wauzaji wengi wanaficha matatizo yaliyowashinda, mnunuzi anaachiwa apambane nalo

    Hata ukienda na fundi ni ngumu kukagua matatizo yote. Gari inaweza kukazwa vizuri unapoenda kuinunua na ukaitesti ukajisifu umevuta chuma ila kuna matatizo hutaweza kuyaona kwa muda huo, utayajua baadae Gari kunywa sana mafuta Enhine kumaliza oili haraka kila miezi mitatu unabadili Gari...
  18. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua kiwanja Zanzibar

    Hatua gani nifuate nimiliki hata 20 kwa 20 hapo zenji, mimi ni mtu wa kupenda sana maeneo, mashamba, vitu kama hivyo yani. Kwa ukubwa wa 20 kwa 20 meter, zanzibar nnje ya mji inaweza kua shngapi?
  19. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kununua kitu cha wizi?

    Huu msala omba tu usikukute aisee unaweza kuondoka na Mali zako zingine ambazo hata hazihusiani kabisa na wizi. Mimi kwa mara ya kwanza nimekutana na huu msala nimenunua tv nch43 nimenunua ikiwa mbovu kioo ili nivune spea almanusura inipeleke ndani. Japo muhusika au mwenye Mali kasema ilikuwa...
  20. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua za kumwagilia mpunga

    Kwa mwenendo huu wa changamoto za maisha huku maporini nahitaji kama 10 zitanisaidia kwenye ukombozi. US$20,000 = 50,000,000tsh
Back
Top Bottom