Hellow,
Mlio wahi kuagiza vitu kupitia alibaba hali ipoje je ni kweli bei ina uhalisia na je mzigo uwa unachukua muda gani kukufikia yaani ki ujulma nataka kujua zaidi usalama uaminifu na muda wakupokea mzigo.
WAZIRI ADAIWA KUMWAGA NOTI KUNUNUA KAWE BEACH, NHC YASEMA HAIJAUZWA NI MALI YAKE NA KAMPUNI YA DUBAI
WAZIRI mmoja mwandamizi, anadaiwa kuibua hali ya sintofahamu kwa wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wa eneo la Kawe Beach, kwa kuwalipa mamilioni ya fedha ili waondoke kupisha...
Pertamina Seeks Majority Share in Tanzania’s Mnazi Bay
Jayany Nada Shofa
June 22, 2023 | 3:43 pm
Foreign Affairs Minister Retno Marsudi shakes hands with her Tanzanian counterpart Stergomena Tax in Jakarta on June 22, 2023. (Photo Courtesy of the Foreign Affairs Ministry)
Indonesia is seeking...
Ili wa Tz waweze kumiliki rasilimali zao IPO haja ya hizi taasisi kuwa wanauziwa hisa , Bakwata, TEC, CCT, Bodi ya madaktari, ma engineer, cwt,TLS,nbaa, PSPT nk , ili tuepukane na Wana siasa uchwara.
Makampuni iwe TPDC, TPA, nk nk
Nipo hapa Iringa kikazi kwa wiki hivi, kuna dogo niliemuasa sana asubiri nirudi Mbeya mwenyewe nimnunulie simu ila tamaa imemponza kaagiza wamsafirishie kwa basi.
Hapo Mbeya hilo duka kuna kipindi niliwahi kwenda kuulizia hio simu anayoitaka, kulikuwa na ambayo imebonyea bonyea, kwenye kona ni...
Tusipotezeane muda niingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nilikuwa nanunua LUKU nikawa nimekosea namba moja nikawa nimenunua kwa mita namba nyingine.
Nimepiga simu nirejeshewe fedha yangu naambiwa hadi niandike barua. Hivi TANESCO hawawezi kuwa na mfumo kama wa mitandao ya simu ya...
Akizungumza katika tamasha la Simba Day, Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa ahadi yake ya kutoa motisha kwa vilabu vinavyowakilisha Tanzania Kimataifa inaendelea
"Ahadi yangu ya kununua magoli kwa watakaofanya vizuri kimataifa iko palepale, nendeni mkatuletee ushindi."
MWEKEZAJI: HAUWEZI KUNUNUA BANDARI, TUTAKUWA WAJINGA KUKATAA UWEKEZAJI HUU
Nazir Karamagi, mmoja wa watu ambaye ametajwa muda mrefu kuwa mmiliki wa Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Bandarini (TICTS), iliyokuwa ikifanya kazi ya kupakia na kupakua makontena ya mizigo katika Bandari ya...
Habari
Kwa mmiliki wa suzuki carry, nahitaji kukodi kwa malipo ya mwezi au uniuzie kwa malipo ya kila mwezi..
Tutaandikishiana na dhamana zipo.
Kama unayo unaweza kunichek DM tukaelewana.
Naishi Kigamboni, Dar es salaam
Biashara ya kununua mbegu za Wanaume imeonekana kunoga na kushika kasi katika Kaunti ya Murang’a nchini Kenya ambapo baadhi ya Wanawake wanawalipa Wanaume hadi Ksh. 300,000 (Tsh. mil 5.1) ili wafanye nao mapenzi na kuwapachika mimba.
Wanaume wanaopendelewa zaidi katika biashara hiyo ni walio na...
Hizi gari za kununua South Africa MAKABURU na WAZULU wameshazitembelea kilometres za kutosha mpaka sio poa. Kukuta gari imetembea 400,000 kms huko sio jambo geni sijui jamaa wanaendesha kwenda wapi? Ukinunua sawa ila tahadhari ndio hiyo.
Bila shaka kila Mtu ameshawahi kununua kitu alafu baadae akajihisi kama anajutia kukinunua Aidha Kwa sababu hakina umuhimu au kimemuingiza gharama zisizo za msingi.Hapa mara nyingi vitu kama simu,vifaa vya usafiri,nguo na vitu vingine ambavyo ni luxurious huwa vinahusishwa.
Mimi Kwa utafiti...
Kama wewe ni mkulima, mfanyakazi au mfanyabiashara, katika mihangaiko yako umedunduliza ukanunua gari... kama huwezi kulifurahia hilo gari bila kupata stress za mafuta, vipuri, uoshaji na services zake nyingine. Basi tambua umevamia pori; hukustahili kumiliki chombo hicho cha usafiri.
Nini...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
Wiki iliyoisha nilikuwa na mtoko wa kuelekea mahali fulani,nikasema siwezi kwenda huko bila kutupia mitupio ya Ki-Jentromeni,nikaona isiwe tabu nielekee Kariakoo ambako ningepata mavazi mazuri kwa bei nzuri iliyoendana na bajeti yangu.
Sasa nilipofika...
Sawadogo bado nikijana mdogo Sana bado anajitafuta anandugu wamamtegemea tusaidiane wanatanzania kumpazia sauti apate stahiki zake.Msikilize anavyoongea Kwa uchungu, nimelia Sana, Ndugu wachambuzi mlimpamba Sana wakati anakuja sasa hivi mpambanieni apate haki yake. Mumemuomba apunguze hela...
Bei ya mafuta ya petrol nchini Kenya ni ksh 195.5 huku Tanzania ikiwa ksh 165 kwa pesa ya Kesha ikiwa ni pungufu kwa 30.5 ksh kwa Lita moja hii ni baada ya serikali ya Kenya kuongeza ushuru wa 8% kutoka ule wa 8% wa awali na kuwa 16% kwa Lita .
Maeneo yote yanayopakana na Kenya kwa siku za hivi...
Kwa muda nimejaribu kutafuta hivi vigari vidogo kama IST, Vits , Allex nk
Vingi madalali wanauza Mil 10 mpaka 13 almost bei ya kuagiza mil 14 - 16 Japani.
Hapo ukishanunua Bongo jiandae tena na mil 2 za kurekebisha gari angalau uweze kutembelea.
Kwa ushauri tu usikimbilie kununua gari used...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.