sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Kama hukuwahi kwenda unaeza ukajikuta unaenda siku moja aisee, Matatizo yakikupata unahaha mpaka unakufuru ili upate nafuu ukashawishika kwenda kwa mtaalam, wengine ndio mwanzo wa kupeleka kila shida kwa mganga ila wengine wakijionea sanaa zao huwarudi tena.
Kuna wataalam wa kweli lakini wengi sana ni matapeli waliojaa tamaa, Dada zetu wanaotafuta watoto wamekuwa wahanga, Mtaalam anadanganya kuingiza dawa kwa kumuingilia, Waungwana Waugwana namtoa huyu jini Subiani huku chini kwa huyu mwanamuke mumutoe, tokaaa tokaa wewe eee, toka humo kwenye shimoooo, kama hutoki ngoja NYOKA wangu asie na macho anakuja kukutemea sumuuu ufeeeeeeeee, unagoma kutokaaaa ee haya subiriiii, HAYAAAAA AAAAH AAAHH NYOKA ANAMWAGA SUMUUUUU UWIIIIIIIIIII.
Binafsi nimeenda kwa mganga mara mbili lakini pia nimepata fursa ya kushuhudia watu kadhaa wa kadhaa wa matabaka tofauti wanaokwenda kwa waganga live kwa macho yangu sio kusimuliwa, Shamba nililokuwa nalima halipo mbali sana na kwa Mtaalam,
Vitu vinavyowapeleka watu kwa waganga:

- Wagonjwa wanaohisi wamerogwa hasa baada ya kuzunguka mahospitalini, makanisani, misikitini.
- Mazindiko / kinga / hirizi za mwili, nyumba, biashara, kazi, n.k.
- Wafanya biashara wanaotaka pesa za kafara.
- Maofisini kwa wanaohitaji kujilinda dhidi ya kurogwa na kupandishwa vyeo
- Malimbwata ya mapenzi
- Kutafuta mtoto (wataalam hula tunda kimasihara kusingizia kuingiza dawa)
- Kulipa visasi
- Mvuto (vijana wengi sana)